Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 28,865
- 58,683
Ni biological adaptation...🤓🤓😂😂😂Kwa nini ukiamka asubuhi lazima uende toilet? Huo ni ustaarabu?
Sio ustaarabu ila inatokea tuu

Ushauri utafanyiwa kaziHaijalishi madhali ulishazini nae mpaka ukamzalisha,nakuambia hauna haya wala mipaka,leo utatamani shem wako kisa kakuonesha uchangamfu utamla utaendelea hivyo hivyo utakula mpaka wako wababa wangapi wanatembea na watoto wao na watoto wa ndugu zao mtu unatakiwa Uwe na mipaka ya matamanio yako usiendeshwe na nyege wanawake wapo kibao.
Ndio hivyo hivyo na huko kwingineNi biological adaptation...🤓🤓😂😂😂
Sio ustaarabu ila inatokea tuu
😂😂😂😂😂 Vijana hovyo sana...Ndio hivyo hivyo na huko kwingine
We uliumbwa au ulizaliwa?😂😂😂😂😂 Vijana hovyo sana...
Humu jf wee ni miongoni mwao..
Kuna mada ukifika tuu😂😂😂😂
Mtu unajua hapa kishafika kichwa cha mtumba 😂😂😂😂
Mkuu si unipigie pasi tu .Ushauri muhimu mkuu, au unaona nitafaidi sana? 😀 😀
Tatizo wanataka maweMkuu si unipigie pasi tu .
KiivoKi vipi?
Mi sikushauri kitu, sambi sako mwenyewe!Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.
Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.
Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.
Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.
Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.
Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.
Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Mwenyewe huo mnyepo nimeukubali sema unakuna na harufu babkubwa humo😄Tatizo watu wanakutana na mwajuma ndala ndefu wakiamini labda wote duniani wana mfanano huo 😀😀😀
Amekwambia kuwa anataka kuchakatwa na wewe? Au kupigiwa simu ndiyo ukajiona hendisamu?Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.
Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.
Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.
Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.
Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.
Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.
Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Ila mashemeji wengine wana mitego sana, unamkuta shemu ni pini haswaaa, sura sura anamshepu kama wote halafu anaanza kukushobokea.Mtu anae mtamani Dada wa mzazi mwenzie hana mipaka hata kumla mwanae hatoshindwa, kwani wewe mwenyewe unaonaje tu sio kwa mwanao family? Muumba wako, wanawake wote waliopo ukamvunjie heshima mzazi mwenzio???!!! Unajua utaleta mtafarufuku kiasi gani.
Kwani wanaotaka kuchakatwa huwa wanasema au wanakupa ishara?Amekwambia kuwa anataka kuchakatwa na wewe? Au kupigiwa simu ndiyo ukajiona hendisamu?
Sawa wenginw hawasemi, lakini haujatuonyesha hizo dalili kwenye story yakoKwani wanaotaka kuchakatwa huwa wanasema au wanakupa ishara?
Hakuna picha ni umbea🤣Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.
Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.
Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.
Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.
Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.
Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.
Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
Anaongea kwa sauti ya kumtoa nyoka pangoniSawa wenginw hawasemi, lakini haujatuonyesha hizo dalili kwenye story yako
Hapana, ni kupita tuMtoto atajuaje??
Au una mpango wa kuzaa na dada mtu?!