Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mtu na dada yake wamejaliwa uzuri

Mnavyojua tena wakuu, mimi huwa napenda vitu vizuri vizuri vyenye mng'ao mng'ao, na vinavyotamanisha kuliwa.

Kuna kipindi nilikuwa kwenye mahusiano, na mlimbwende mmoja na tulidumu kwenye mahusiano kwa muda wa miaka mitatu hivi; katika uhusiano wetu tulifanikiwa kupata mtoto, na kwa sasa naendelea kuhudumia katika matunzo.

Kwa bahati nzuri huyu mrembo, ana dada yake ambaye naye pia ni kifaa kweli kweli. Nikiwa kwenye mahusiano na mdogo wake, kuna muda tulikuwa tunatoka naye 'out' yeye, mdogo wake pamoja na mimi.

Imepita zaidi ya miezi sita bila kuwa na mawasiliano na huyu dada mtu; sasa leo mtoto wangu alipelekwa na mama yake aende kwa mama yake mkubwa ili acheze na mtoto wa hapo, kwa sababu sasa hivi shule zimefungwa.

Mimi sijui hili wala lile, leo nikapigiwa simu na namba ambayo siijui;baada ya kupokea, nasikia sauti ya mwanamke, nami nikawa namjibu tu kama namfahamu; ndipo akaniuliza unajua unaongea na nani, nikamjibu naomba unikumbushe; ndipo aliponiambia mimi ni fulani, nimemuona mtoto wako hapa nikakukumbuka.

Tuliongea naye kama dakika 25 hivi; kutokana na sauti yake nikivuta picha na umbo lake, akili ikaniambia nitafute siku angalau nichakate hii kitu.

Sasa wakuu, hapa nawaza; nikiichakata hii kitu haiwezi kunipa shida kwa malezi ya mtoto wangu?, Hasa pale akiwa mkubwa, na kujua nilitoka na mama yake mkubwa?
huona kama unajitayarishia matatizo mbeleni?siyo kila shimo unaingia mzee, hasa kwa hao ambao ni ndugu...acha heshima itawale
 
Yaaah ni scientific proved....
Sasa why nisiamini vitu ambavyo vina onekana 😂😂😂😂😂😂
Hakuna cha scientific proved; kama ni hivyo kwa nini hatuishi miaka 200; wakati enzi za wanabii walikuwa wakiishi mpaka miaka 800?
 
Hakuna cha scientific proved; kama ni hivyo kwa nini hatuishi miaka 200; wakati enzi za wanabii walikuwa wakiishi mpaka miaka 800?
Changes zinatokea ety....😂😂😂😂 Unajua me
Poor brain alafu unataka tujadili mambo magumu ili iweje unataka uni dhalilishe wee mkuu😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom