Mtu mwingine hawezi kuelewa maumivu unayopitia

toplemon

JF-Expert Member
Mar 26, 2017
4,581
4,631
Kiukweli mtu hawezzi kuelewa maumivu mtu unayopitia

Kuna wakati mambo yanakupiga hadi kisaikolojia unakua haupo sawa

Unaweza kumtukana mtu kumkerejeri namna uwezavyo lakini mwisho yeye ndo anajua anachopitia.Kuna wakati mtu unakwama hadi unashangaa utu uzima ni jalala na ndo uhalisi wa hali mpaka mtu anatoboa ni km nyani mzee aliekwepa mishale mingi

Mateso ya mtu anayajua mtu mwenyewe
 
Mmh maumivu acha tu!!!. I thought my problems are worse until I met a friend who is still paying a wedding loan even after divorce
 
Take this
FB_IMG_1706513225014.jpg
 
Kiukweli mtu hawezzi kuelewa maumivu mtu unayopitia

Kuna wakati mambo yanakupiga hadi kisaikolojia unakua haupo sawa

Unaweza kumtukana mtu kumkerejeri namna uwezavyo lakini mwisho yeye ndo anajua anachopitia.Kuna wakati mtu unakwama hadi unashangaa utu uzima ni jalala na ndo uhalisi wa hali mpaka mtu anatoboa ni km nyani mzee aliekwepa mishale mingi

Mateso ya mtu anayajua mtu mwenyewe
Nini kimekupata mkuu? Pole sana!
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom