Mtu mweusi alitoka wapi?

Hili jambo lina utata sana nijuavyo mimi ADAM ndiye aina-binadamu wa kwanza kuishi duniani na kwa mtazamo huo ADAM hakuwa binadamu bali alikuwa MTU na sisi woote tuliopo duniani si watu ila ni bin-adam(yaani watoto wa adamu) baada ya kuurithi ubini huo kutoka kwa adamu,nashawishika kuamini kuwa adam alikuwa aina -binadamu wa kwanza kuishi duniani lakini si kiumbe wa kwanza kuumbwa(kwa mujibu wa imani yangu) na hakuwa mtu mweusi..Baadhi ya watu huamini kuwa ngozi nyeusi ilitokana na laana aliyoipata Ham(the father of canaan).Katika kitabu cha mwanzo 9:18 mpaka 9:28 kinaeleza habari za nuhu aliyetoa laana kwa moja kati ya wanawe kwa kutazama utupu wake wakati alipokuwa amelewa!.Mtoto huyo alilaaniwa na nuhu na ndiye huyo huyo aliyekuja kuanzisha kizazi cha watu weusi(Genesis 10:6 And the sons of Ham ; Cush and Mizraim,and Phut and Canaan)ambao walisambaa na wengine wakaja mpaka africa...Cush (au kushi kwa kiswahili) iliyotajwa hapo ni nchi ya Ethiopia ya leo... Historia nayo pia ina mambo yake kuhusu asili yetu.Inasema binadamu wa kwanza kabisa kuishi duniani aliishi africa katika bonde linaloitwa Olduvai George lilopo nchini Tanzania mkoa wa Arusha,na alikuwa na maumbile tofauti kidogo na yetu,na alitoka katika jamii ya sokwe mtu.Homo-sapiens au zinjantropus ndivyo anavyojulikana zaidi,alianza kuadapt changes na mabadiliko ya mwili kutokana na aina ya shughuli alizofanya na hali ya hewa mfano alipungua nywele mwilini baada ya kuvumbua moto kwa kupekecha vijiti viwili (uwimbombo na ulindi),alianza kutembea kwa miguu miwili badala ya minne yaani pamoja na mikono kutokana tu na shughuli alizofanya hasahasa uwindaji,inasadikika pia alikufa mchana kwa kuumwa na kitu chenye sumu!-Ugunduzi huu ulifanywa na Dr.Leakey pamoja na mkewe mwaka 1959.Now back to the question ni vigumu sana kutoa straight answer kwenye swali lako kutokana na ufinyu wa data zilizopo na ambiguity concerning our originality,ila kinachofanyika mara nyingi ni kuunganisha matukio,na watu wengi hutoa majibu kulingana na hisia zao.I think some how i have answered ur qn mtoa mada
 
Kama unaamini Bible wacha nikujibu kwa Bible.

Ni kweli labda ulipokuwa mtoto ulioneshwa picha za Adam na Hawa wakiwa weupe...lakini kwa sasa mambo yamebadilika na si ajabu ukipitia tena vitabu vya aina hiyo hiyo wakati huo uliyooneshwa utaona baadhi yake ambavyo vina picha ya Adam na Hawa weusi tu kama wewe au wakionekana kama Wahindi, Wa-aborigines,Wakorea,Amerindians,Wa-siberians n.k. Kwa kifupi hayo yalikuwa mambo ya kupita tu. Wala sidhani kama kuna mwenye udhibitisho wa rangi haswa ya Adam na Hawa ilikuwaje kwani ukirudi kwenye evolution theory utaambiwa mwanadamu wa kwanza aliishi Africa na hilo litakupa uwezekano mkubwa kuwa alikuwa mweusi au light skin kama baadhi ya Wahabeshi au Wasomali.

Kuhusu kama walioana dada na kaka ni kweli kabisa ndivyo ilivyo kuwa kwani hata baadhi ya wazee wa imani kama Abraham mke wake alikuwa ni dada yake waki-share baba na mama tofauti; soma Gen:20:1-13 utaelewa kidogo kuhusu hilo. Sheria za kukataza ndugu koana zimekuja baada ya Wayahudi kutoka Egypt rejea Lev: 18:1-30 utaona huu ufafanuzi.
Kuhusu kwamba hakukuwa na wasichana na tunaambiwa kuwa walikuwa wanaume tu nadhani hapo umeteleza kidogo.

Biblia walipewa Wayahudi na kwa Wayahudi mara nyingi watoto wa kile hawapewi uzito sana kama wanaume wanavyopewa lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya kwamba hakukuwa na watoto wa kike enzi hizo. Hao walikuwepo tena tele. Kwa mfano tunajua Yakobo alikuwa na watoto 12 tena wote wavulana lakini ukumbuke alikuwa nao na wa kike wengi tu mfano wa mtoto wake wa kike ni Dina rejea Gen: 30: 21(lakini ukipenda soma Chapter 30 yote ili uelewe zaidi.)

nimekupa thanks mkuu, kama ingewezekana ningekupa thanks zaidi ya mia kwa elinu hii uliyotufadhili hapa jamvini bure kabisa. ubarikiwe sana.

kwa wanajamvi nasema kuwa hakuna majibu mengine bora zaidi ya haya kwa swali hili.
 
duniani hakuna mtu mweusi wala mweupe, njano wala kijani,
mwekundu wala wa kijivu, n.k

bali kuna watu wenye ngozi zenye rangi tofauti kulingana mahali walipo,
sasa labda swali lako liwe hivi, wapi alitoka mtu mwenye rangi nyeusi?
Ili tupate swali sahihi, lakini mtu kama mtu hakuna mweusi cheusi ni giza tu,

tuondoe ile dhana kuku mweusi, sijui mbuzi mwekundu, n.k bala ya
kusema kuku mwenye manyoya meusi ama meupe, ama mekundu,
kama ilivyo kwa watu na kwa kuku pia kuku ni kuku tu chenye rangi ni manyoya
 
Duh! swali rahisi sana limechakachuliwa wee!

nenda kwanza kisayansi, halafu umaliziea kidini uone kuwa kama zina make sense

Sayansi:

Mtu wa kwanza tena mweusi alitoka africa-central of africa

Historia:

Mtu wa kwanza aliishi Tanzania-Zinjathropus

Hapa tunaona sayansi na historia zina endana, sasa je dini inasemaje?

Je uuambaji wa Mungu na jinsi ulivyoandikwa kwenye biblia una maswali mengi aidha

1, Hatuelewi hasa kimeandikwa nini na mtazamo wake ukoje leo hii, mfano inawezekana kabisa ile ni lugha ya picha tu kuhusu uumbaji wa mwanadamu, I mean: kujua source ya mwanadamu, mwandishi wa vile vitabu ni Mussa, na alikiandika kitabu akiwa kwenye maono, exactly kama Yohana kwenye ufunuo!!!
 
Mtu wa kwanza aliumbwa na Muumba kwa udongo mfinyanzi uliovunda (source Qur'an)

Logically and scientifcally udongo ukivunda unakuwa "mweusi" hivyo Adam Alikuwa Mweusi hiyo ndio origin ya watu wote, weupe walitokana na weusi...

Yes, zamani hizo kabla ya kuja sheria na taratibu kutoka kwa Muumba yaani (Zaburi, Torauti, Injili na Qur'an) watoto wa Adamu waliruhusiwa kuoana hint! Adamu na Hawa walizaa pacha (jike na dume), pacha jike wa aliolewa na pacha dume wa pili na pacha dume wa pili alimuoa pacha jike wa kwanza etc..

Walipokuwa wamekuwa wengi baada ya kuishi muda mrefu (kumbuka zamani walikuwa wakiishi hadi miaka 1000! watoto wengi wanazaa vilevile...inawezekana mabadiliko ya hali ya hewa yamewafanya wawepo waarabu, wahindi, na wazungu
 
Nadhani wengi mumesikia hii habari : Kwa mujibu wa wazungu wakoloni walipoingia hapa Afrika walituambia kua Watu wote tulikua weusi kwa sababu ya dhambi zetu, sasa Mungu akataka kututakasa ndipo akaweka bwawa kubwa la maji safi matakatifu watu wakaanza kuingia bwawani. Walioingia kwenye kina kirefu wakaoga kamili na wakatasika mwili wote na wakatoka weupe kweli ndio wazungu, Watu wengine wenye weupe wa wastani kama Wahindi, Wachina, Waarabu - hawa waliingia kwenye maji ya kina kifupi mpaka kiunoni na wakaya chafua kidogo maji kwa hiyo hawakutakata sawa sawa. Waafrika tukaishia pale maji yana kina cha chini kabisa kiasi to nyayo zetu na viganja vya mikono ndio vikapata maji na vikatakata. Kwa hiyo bado tuna dhambi ndio maana tunaishi kwa taabu kuliko wenzetu - haya yote kwa mujibu wa waheshimiwa wazungu.
 
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Naomba lisiwe na chembe za udini japo source yake imetoka kwenye bible bible hivi..
Nikiwa nimekulia na kulelewa katika mazingira ya dini ya kikiristo tulikuwa tukionyeswa vitabu
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba
Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza
Kabisa kuishi duniani je mie mtu mweusi nilitoka wapi? Maana siamini mzungu na mzungu wanaweza kuzaa mtu full black kabisa.
Kingine kinachonichanganya je zamani waliruhusiwa kaka na dada kuoana? Maana kama adamu na hawa ndo wakwanza it means waliozaliwa ni watoto je walijijenerate namna gani
Na isitoshe waliozaliwa tunaambiwa walikuwa wa jinsia moja wanaume tupu sasa hapo ndo sielewi kabisa msaada jamani!!!

kama mwenyezi Mungu aliweza kumuumba Adam from no where,then its no suprise kuweza kutoa watu weusi ,wazungu,wahindi,wachina etc from watu haohao aliowaumba.trying to search mtu wa kwanza alikuwa mweusi au mweupe haitosaidia kitu sababu kwanza hilo jibu hautolipata kwa sababu kwa sababu hakuna fact ambayo inasema mtu wa kwanza alikuwa ni race gani zaidi ya postulates tu .kama wazungu walitumia ujanja wao kumtawala mwafrica haimaanishi na wewe utafute njia to satisfy ur own ego.wat if the first person was dark skined?who cares?
 
naomba kueleweshwa kwa mwenye ufahamu na hili ni katika kueleweshana
Na vitabu amabayo tulikuwa tunafundishiwa ni vile vyenye picha za adam na hawa na wengine wote ambao inaonyesha kwamba
Walikuwa ni watu weupe ambao niliamini niwazungu. Sasa najiuliza kama original ya adam na hawa walikuwa ni wazungu na ndio tunaaminishwa kwamba walikuwa ni wanadamu wa kwanza

Swali lako zuri sana na pia maswali ni mengi sana mno kujua mtu mweusi alitoka wapi? Jiulize pia kwenye vitabu vya dini tunaona watakatifu wote ni weupe (wazungu) hata pia Malaika ni weupe (wazungu) lakini ukiangalia picha ya Shetani ni Mweusi kama Mkaa kwahiyo uliza pia swali hili je mtu mweusi naye ni kizazi cha SHETANI????

:wink2: nimeipenda hiyo ya shetani..so sie weusi ni product ya mashetani @ndalo?
 
Huwezi kupata ukweli isipokuwa kutoka kwenye Biblia na true science combined.Kukataa ukweli huu ni kwamba you prefer lies.Link ninayokupa itakupa ukweli wa biblia and true science.
Nenda The Origin of Race - A biblical explanation of race. by Cooper P Abrams, III. Kuwa mwangalifu na ushauri unaopata kutoka JF hasa kwa mambo kama haya some people in JF ni Freemasons,wanapindisha ukweli ili kumtukuza mungu wao.ambaye ni shetani.It's only the bible and true science which can give you the truth.Ninasema true science makusudi kwasababu kuna ujinga kama evolution ambao uliletwa makusudi ili ku-downgrade kazi ya Mungu ya umbaji.
Kaka una uhakika na hilo neno kwenye red hapo juu? evidence please.
 
Since i am a chemist and believes in chemical Principles! MATTER CAN NEITHER BE CREATED NOR DESTROYED BUT CAN BE TRANSFORMED FROM ONE FORM TO ANOTHER!! Hivyo chembe chembe zilizosababisha rangi za binadamu zilikuwepo! hivyo mwafrica alikuwepo katika namna nyingine na amebadilishwa na mazingira kuwa kama tulivyo! Hivyo hivyo kwa rangi nyingine!
 
  1. From ~1.2 million years ago for at least ~1.35 million years, the ancestors of all people alive were as dark as today's Africans.
  2. The descendants of any prehistoric people who migrated North from the equator mutated to become light over time because the evolutionary constraint keeping Africans' skin dark decreased generally the further North a people migrated. This also occurs as a result of selection for light skin due to the need to produce vitamin D by way of the penetration of sunlight into the skin (the exception being if dietary sources of vitamin D are available, as is the case among the).
  3. The genetic mutations leading to light skin, though different among East Asians and Europeans, suggest the two groups experienced a similar selective pressure due to settlement in northern latitudes
  4. click here for more information http://en.wikipedia.org/wiki/Human_skin_color
 
Kama unaamini Bible wacha nikujibu kwa Bible.

Ni kweli labda ulipokuwa mtoto ulioneshwa picha za Adam na Hawa wakiwa weupe...lakini kwa sasa mambo yamebadilika na si ajabu ukipitia tena vitabu vya aina hiyo hiyo wakati huo uliyooneshwa utaona baadhi yake ambavyo vina picha ya Adam na Hawa weusi tu kama wewe au wakionekana kama Wahindi, Wa-aborigines,Wakorea,Amerindians,Wa-siberians n.k. Kwa kifupi hayo yalikuwa mambo ya kupita tu. Wala sidhani kama kuna mwenye udhibitisho wa rangi haswa ya Adam na Hawa ilikuwaje kwani ukirudi kwenye evolution theory utaambiwa mwanadamu wa kwanza aliishi Africa na hilo litakupa uwezekano mkubwa kuwa alikuwa mweusi au light skin kama baadhi ya Wahabeshi au Wasomali.

Kuhusu kama walioana dada na kaka ni kweli kabisa ndivyo ilivyo kuwa kwani hata baadhi ya wazee wa imani kama Abraham mke wake alikuwa ni dada yake waki-share baba na mama tofauti; soma Gen:20:1-13 utaelewa kidogo kuhusu hilo. Sheria za kukataza ndugu koana zimekuja baada ya Wayahudi kutoka Egypt rejea Lev: 18:1-30 utaona huu ufafanuzi.
Kuhusu kwamba hakukuwa na wasichana na tunaambiwa kuwa walikuwa wanaume tu nadhani hapo umeteleza kidogo.

Biblia walipewa Wayahudi na kwa Wayahudi mara nyingi watoto wa kile hawapewi uzito sana kama wanaume wanavyopewa lakini hilo haliwezi kuwa sababu ya kwamba hakukuwa na watoto wa kike enzi hizo. Hao walikuwepo tena tele. Kwa mfano tunajua Yakobo alikuwa na watoto 12 tena wote wavulana lakini ukumbuke alikuwa nao na wa kike wengi tu mfano wa mtoto wake wa kike ni Dina rejea Gen: 30: 21(lakini ukipenda soma Chapter 30 yote ili uelewe zaidi.)

majibu yantosheleza haja ya ufahamu. nakushukuru uliyeuliza hili swali na wewe mkuu kwa elimu nzuri na ya uhakika. hakika na wengine tumepata si haba na sasa tumeyafungua mapazia ya maarifa kuhusu human races. ubarikiwe sana ndugu
 
ngoja nikwambie ndugu ila tu tuingie kwenye imani kidogo.Ni kweli kabisa kuwa Adamu na Hawa walikuwa weupe, ila suala la watu weusi kutokea ni kama ifuatavyo, baada ya kuumbwa adamu Mungu alimtengeneza mwenzake kupitia Ubavu wake wa kushoto kipindi hicho wapo peponi huko, sasa baada ya kufanya ile dhambi Mungu ndo hakawaambia kuwa nawashusha duniani ila kila mmoja nimshusha mahali pake(sikumbiki Adamu alishushwa wapi na hawa alishushwa wapi) ila walishushwa nchi tofauti na wakaambiwa kwakuwa mmetenda zambi hivyo nawashusha ardhini na mtatafutana hadi siku mtakayoonana, basi wakashushwa huku dunian wakiwa peke yao but in diffent places,wakatafutana mpaka siku wapoonana hapo hapo Mungu akamtuma malaika kwao na kuwaambia kuanzia leo mmeharalishwa kuwa mtu na mkewe ila Hawa Utazaaa kwa uchungu na Adamu utatafuta kwa Jasho,(hiki ndo kisa mpaka leo ukitaka kupata mke lazima uangaike) basi baada ya hapo Hawa akapata ujauzito lakini mimba zake alikuwa anazaa mapacha kila mimba (kwa uzezo wa Mungu) alizaa mapacha kalibia 30 lakini kila pacha alikuwa mwanamke na mwanaume ila walikuwa Rangi Tofauti Tofauti(mweupe, mweusi,mwekundu, n.k) baada ya hapo Mungu aliwaamlisha adamu na hawa kuwa kila kizazi chenu lazima waoane But ni marufuku pacha kumuoa pacha mwenzie na ni ruhusa kwa pacha mmoja kumuoa dada au kaka wa pacha mwingine(sijui unanipata mtu wangu) sasa issue inakujaje kuna Pacha mmoja dada yake alikuwa mzuuri vibaya mno akaleta mgogoro kuwa haiwezekani dada yangu aolelewe na mtu mwingine nataka nimuoe mwenyewe kutoka na dada wa mwenzie kuwa mbaya ndo ibilisi akaja na kumwambia ukitaka ufanikiwe na umoe dada yako lazima umuue yule jamaaa (hapo ndo kikaumbwa kifo)jamaa akamuua ndugu yake baada ya kumuua hakujua nini cha kufanya ndo pembeni akaona njiwa wanapigana baada ya muda njiwa m1 akafa yule njiwa mwinginne akafuka kashimo akamfukia mwenzie ndo jamaa alivyoona hivyo nae akamchukua mwenzie akamfukia ndo kisa ahadi leo Tunawafukia wenzetiu KWA HIYO NI KWELI KUWA WALIKUWA WANAOANA NDUGU ILA KWAKWA NJIA WALIYORUHUSIWA NA MWENEYEZI MUNGU. NA KATIKA VIZAZI HIVYO NDANI YAKE KULIKUWA NA PACHA AMBAYE ALIKUWA MWEUSI n.K,, NDO MAANA HADI LEO HII KIZAZI CHEUSI KINAENDELEA MTU WANGU.
 
Adamu na Hawa hawakuwa weupe bana...
walikuwa weusi kulingana na mafundisho yanayopatiakana ktk biblia na quran
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom