nimharibu reception ashindwe kuchekea wadada😅😅😅 hili nalo Neno sisy..🤣mvunje meno ya juu ya mbele ili aseme thatha🤓
Ni yule mwenye unafiki wakujificha,anajionyesha rafiki kwako,huku anawaza jinsi ya kukuangamizaMtu wa Sura Mbili ni nani?
Ni mtu mwenye maisha ya aina mbili. Uso mmoja wa kuonyesha watu, na uso mwingine wa kweli anaouficha.
Mbele ya watu ni malaika. Maneno yake ni kama asali. Anaweza kukushika mkono na kusema "mimi niko nawe 100%".
Lakini nyuma yako ndio shetani halisi anayekumaliza taratibu.
Huo huo mkono unashika kisu. Anapanga jinsi ya kukutoa, jinsi ya kuchafua jina lako, na jinsi ya kujenga mafanikio yake.
Na watu hawa hupatikana kila sehemu.
Mbele za watu hujifanya ni watu bora na wanyenyekevu,Lakini ndani ya kuta za nyumba ni dhalimu na wanyanyasaji.
Ofisini anapiga kelele za "tufanye kazi pamoja". Lakini usiku anapanga fitina za kuwamaliza wenzake.
Kwenye biashara anacheka nawe vizuri akisema "tuungane". Wakati huo huo anaenda kwa wateja wako kuwaambia wewe ni mwongo na bidhaa yako ni mbovu.
Lakini kumbuka hili: Kila mwenye sura mbili ana mwisho wake.
Kila mask ina tarehe ya kuisha. Kila uongo una saa yake. Siku moja mask itaanguka yenyewe. Siku moja watu watajua ni nani kweli.
Siku ikifika, hakuna cheo,pesa, wala hakuna unafiki utakaoweza kukuficha. Utaanguka kwa aibu kubwa mara mbili.
Chagua leo. Kuwa mtu Mkweli.
Kuliko kuwa watu wawili wa uongo ambao mwishowe utabaki peke yako.
Je Umewahi kukutana na mtu wa aina hii wapi? Nyumbani, kazini au kwenye biashara?
Well from my pov I see a child crying for help😂Natania walahi i am not serious at all.
Mwamba unataka kuchinja nini?Ila iwe tu ni parachichi
What made you think this way, may be we can have a talk.Well from my pov I see a child crying for help😂
Yaan mimi niende kuyanunua Makebo makubwa niwe nayagonga halafu nipite najitangaza au najichukua picha na video kuonyesha ufahari jinsi gani nayagonga?Je Umewahi kukutana na mtu wa aina hii wapi? Nyumbani, kazini au kwenye biashara?
How can we talk about your sensitive issues here? You know where to find meWhat made you think this way, may be we can have a talk.
Here.
lol i have nothing sensitive to talk about… fr fr!How can we talk about your sensitive issues here? You know where to find me
Or maybe there is something special I wanna ask you would you be comfortable to answer here?lol i have nothing sensitive to talk about… fr fr!
Everything can be a public knowledge.
Now this is alarming…Or maybe there is something special I wanna ask you would you be comfortable to answer here?
Yeah, that's the only optionNow this is alarming…
I will definitely know where to find you. 😅
Ila neno makebo jamani 😅😅😅😅Yaan mimi niende kuyanunua Makebo makubwa niwe nayagonga halafu nipite najitangaza au najichukua picha na video kuonyesha ufahari jinsi gani nayagonga?
Siwezi kufanya hivyo hio sura ya pili ni yangu in my privacy sio ya kumuonyesha kila mtu faragha yangu,
Najua hapo umezungumzia vitu viwili kwa upana ila kwa lengo la kulenga mtu ambae anakujengea ubaya pasipo wewe kujua hii inatokea na inatutokea kila siku wale tunaowaamini wengi wao ndio wanaotusaliti na hii ipo kila mahala sio kwenye biashara, ajira, kazi, nk
ipo kila angle yule unae mwamini sana na kumwambia ukweli wako halisi ndio anguko lako lilipo inafika hatua anakwambia kwamba wewe hauna siri yaan hauna cha kumficha, mtu huyo akifikia kwenye hatua hio maana yake ana moles wengi wanaokuzunguka
Tuwe na mipaka kua na sura ya pili sio dhambi ila isiwe kwa ajili ya kuwaumiza wengine bila sababu zozote, mimi nagonga wenye Makebo makubwa kwa sababu nawapenda wanawake wenye Makebo makubwa