Nomadiq
JF-Expert Member
- Jan 5, 2025
- 8,561
- 22,876
Hii nzuri 🙌Au ndo mimi Jamani maana napenda sana.
Nikiwa napata Serengeti Apple zangu za Baridi.
Muziki kwa sana basi mimi ndo burudani zangu.
Hii nzuri 🙌Au ndo mimi Jamani maana napenda sana.
Nikiwa napata Serengeti Apple zangu za Baridi.
Muziki kwa sana basi mimi ndo burudani zangu.
You can't tell me nothing. Njoo unipige sasaNina ombi kwako unaweza ku stop ku quote kama hutojali because I don't like bro
Ana chuki binafsi na mimi na simwachi mpaka alieKwa nini unamfanyia hivyo bwashee, una mnyima haki yake ya uhuru ujue
Mbona mimi ni mjuaji pia ila haufanyi hivyo?😅 hi sio hakiBwashee sipendezwi na mtu mjuaji like huyo bwana mdogo ukijumlisha na hiyo Avatar yale iliyokaa kiwaki 😆😆
Ni vile I'm out JF kwa muda fulani ila isingekua hivyo direct ignore shesnzii zake🤣🤣
😅😅😅😅 bwashee wewe huna mambo ya kiwaki kama huyo dogo aisee huyo noma sanaMbona mimi ni mjuaji pia ila haufanyi hivyo?😅 hi sio haki
Kukua kiakili ni kutambua hata mimi kuna mda nina mambo ya kiwaki , mwenyewe najijua , ila huyu umemuonea tu😅😅😅😅😅 bwashee wewe huna mambo ya kiwaki kama huyo dogo aisee huyo noma sana
Ngoja tumuache bwashe 😁Kukua kiakili ni kutambua hata mimi kuna mda nina mambo ya kiwaki , mwenyewe najijua , ila huyu umemuonea tu😅
Sticker nazipenda ila kuna time mtu akijibu sana kwa Sticker anakera punguza maa🥰🤣Wenye sticker mnatoa wapi? Nazipenda huko wasapu kuna watu watanicancel soon sababu almost kila kitu najibu kwa sticker.
Bi mzuri, tunazitoa hapa ➡️ GIF & StickersWenye sticker mnatoa wapi? Nazipenda huko wasapu kuna watu watanicancel soon sababu almost kila kitu najibu kwa sticker 🤦🏻♀️
Wanazitoa kwangu,Wenye sticker mnatoa wapi?
Kufanya scrubbing ili nibaki na sura 1Mheshimiwa Baba mtakatifu.
Utaanza kufanya nini Leo?
Njoo pm nikujazie sticker mpk uchokeWenye sticker mnatoa wapi? Nazipenda huko wasapu kuna watu watanicancel soon sababu almost kila kitu najibu kwa sticker 🤦🏻♀️
Ni kweli 🥰 na hasa nikiwa sijisikii kuchatSticker nazipenda ila kuna time mtu akijibu sana kwa Sticker anakera punguza maa🥰🤣
Utanitapeli janja janja FC wewe!Njoo pm nikujazie sticker mpk uchoke
Naogopa wanaumeWanazitoa kwangu,
Karibu PM uje ujizolee za kutosha.