Mtu mwenye degree kufanya kazi ya Mtu wa form four serikalini.

fab280391

Senior Member
Jul 29, 2015
122
31
Habari, Naomba tumsaidie ndugu yangu.. Elimu yake ni degree katika fani ya procurement & Supply. Kutokana na changamoto za ajira ameamua kuomba kazi ya mhudumu wa ofisi serikalini ambayo inahitaji mtu aliye na elimu ya kidato cha nne. Yeye Alificha vyeti vyake vya degree.
Je akifanikiwa kupata kazi ndani ya miaka 3 ya ajira ataweza kufanyiwa job recotegorization akionesha vyeti vyake vya degree ambavyo awali alivificha.
 
Kwanini anaficha vyeti? Si aombe kazi hiyo hiyo kwa elimu yake?

Huyo ni punguani, shule haijamsaidia kufuta ujinga.
 
Tena ashukuru kapata hata hiyo kazi ya uhudumu, maana kwa sasa hakuna ajira ya kuajiriwa kabisa.

Lakini inakuwaje pamoja na kumaliza chuo bado uwezo wake ni mdogo wa kuweza kujiajiri mpaka alazimishe kufanyakazi ya kuajiriwa ambayo haihitaji kufika hata darasa la saba?
 
Kujiajiri inahitaji mtaji na kipaji cha biashara.. Jamaa ametembea na bahasha ya kaki kwa miaka 3 sasa... Hadi kaamua kuapply kazi hiyo
 
Kwanini anaficha vyeti? Si aombe kazi hiyo hiyo kwa elimu yake?

Huyo ni punguani, shule haijamsaidia kufuta ujinga.

Anaficha vyeti kwa sababu hataki vionekane
Hataki kuomba kutokana na elimu yake
huyo sio punguani, elimu imemfuta ujinga.
 
Tena ashukuru kapata hata hiyo kazi ya uhudumu, maana kwa sasa hakuna ajira ya kuajiriwa kabisa.

Lakini inakuwaje pamoja na kumaliza chuo bado uwezo wake ni mdogo wa kuweza kujiajiri mpaka alazimishe kufanyakazi ya kuajiriwa ambayo haihitaji kufika hata darasa la saba?

huenda tatizo ni mtaji.
 
Hilo nalo neno.. Bt sijui ingesaidia vipi kwa upande wa pili wakati kazi imehitaji cheti cha form four

Kuambiwa cheti cha "from iv" huwa ni "minimum" qualification.

Nchi inaanza kuwa na wasomi wengi hilo usishangae, sasa hivi hata shule za msingi tunataka walimu wenye digrii.

Nchi zilizoendelea na zenye wasomi wengi hata uhudumu wa restaurant (waiters) huwa ni kazi pia na huku wanaendelea kutafuta fani walizosomea na husema kweli wala hawafichi. Sioni sababu ya huyo punguani kuomba kazi akaficha elimu yake.
 
Angeweka vyeti vyake vyote asingepata hio kaZi.
Kama yupo willing kufanya hio kaI basi afanye akipata mtaji aanIshe biashara zake.
Huo ndio ushauri wangu.
 
Kuambiwa cheti cha "from iv" huwa ni "minimum" qualification.

Nchi inaanza kuwa na wasomi wengi hilo usishangae, sasa hivi hata shule za msingi tunataka walimu wenye digrii.

Nchi zilizoendelea na zenye wasomi wengi hata uhudumu wa restaurant (waiters) huwa ni kazi pia na huku wanaendelea kutafuta fani walizosomea na husema kweli wala hawafichi. Sioni sababu ya huyo punguani kuomba kazi akaficha elimu yake.

binafsi sijwahi kuona punguani kama wewe,unafananisha kazi Tanzania na kazi katika nchi zilizoendelea?wewe ndo hiyo elimy ya upe uliyosoma haijakusaidia.

1.kazi hapa tanzania ni kama msaada na siyo haki.so inabidi uinyenyekee na kuitukuza ili uendelee kuwa nayo.
2.nchi zilizoendelea mtu ana uwezo wa kuchagua kazi na siyo kazi kuchagua mtu.hapa nchini hakuna kazi za kuchagua kwani ni chache mno ndo maana unakuta kwa asiliamia kubwa watu hufanya ambayo hakusomea.mfano unakuta mtu ana degree ya sheria na ni mwanajeshi.
3.nchi kama tanzania hakuna haki katika mapato.mtu unafanya kazi sana lakini hulipwi kulingana na jasho lake.na kuna sheria kandamizi katika kazi.unakuta sheria inasema kima cha chini ni kiasi flani lakini hapo hapo sheria inasema moja ya sifa ya sifa ya kuongeza mshahara ni kama mwajiri anao uwezo wa kulipa.

yapo mambo mengi sana kuhusiana na kazi na ajira katika nchi hii.huyo kijana kajitambua,yeye aombe kwa kutumia form 4 yake,akipata baada ya kuthibitishwa kazini aweke vyeti vyake mezani.
 
hamuwezi kuifanya tanzania kuwa kama nchi zilizoendelea halafu bado mnataka kuilinganisha na nchi zilizoendelea.bogasi
 
binafsi sijwahi kuona punguani kama wewe,unafananisha kazi Tanzania na kazi katika nchi zilizoendelea?wewe ndo hiyo elimy ya upe uliyosoma haijakusaidia.

1.kazi hapa tanzania ni kama msaada na siyo haki.so inabidi uinyenyekee na kuitukuza ili uendelee kuwa nayo.
2.nchi zilizoendelea mtu ana uwezo wa kuchagua kazi na siyo kazi kuchagua mtu.hapa nchini hakuna kazi za kuchagua kwani ni chache mno ndo maana unakuta kwa asiliamia kubwa watu hufanya ambayo hakusomea.mfano unakuta mtu ana degree ya sheria na ni mwanajeshi.
3.nchi kama tanzania hakuna haki katika mapato.mtu unafanya kazi sana lakini hulipwi kulingana na jasho lake.na kuna sheria kandamizi katika kazi.unakuta sheria inasema kima cha chini ni kiasi flani lakini hapo hapo sheria inasema moja ya sifa ya sifa ya kuongeza mshahara ni kama mwajiri anao uwezo wa kulipa.

yapo mambo mengi sana kuhusiana na kazi na ajira katika nchi hii.huyo kijana kajitambua,yeye aombe kwa kutumia form 4 yake,akipata baada ya kuthibitishwa kazini aweke vyeti vyake mezani.
Hapo hata mimi umenisaidia kifikra, asante sana.. Ubarikiwe
 
Kuambiwa cheti cha "from iv" huwa ni "minimum" qualification.

Nchi inaanza kuwa na wasomi wengi hilo usishangae, sasa hivi hata shule za msingi tunataka walimu wenye digrii.

Nchi zilizoendelea na zenye wasomi wengi hata uhudumu wa restaurant (waiters) huwa ni kazi pia na huku wanaendelea kutafuta fani walizosomea na husema kweli wala hawafichi. Sioni sababu ya huyo punguani kuomba kazi akaficha elimu yake.

Sio degree tu kuna watu wana masters ni walimu wa msingi.
 
Asahau hamnaga hio kitu sana sana itambidi akasome tena na akijulikana anatakiwa achukuliwe hatua kwa kukosa uaminifu na kudanganya
 
Hakuna mashitaka ya hivo. Ni kwamba utaajiliwa kwa form 4 yako then ikitokea Kazi ya degree unaomba. C kisa ktk utumishi
 
Back
Top Bottom