Deeboyfrexh
JF-Expert Member
- Apr 3, 2015
- 3,240
- 5,251
Embu acheni dharau msiongee kwasababu nyie mlipata watu wa kuwafanyia mipango mkapata ivyo vikazi mnavyolingia sasa, kiukweli ajira ni tatizo na utaanzishake biashara bila ya mtaji utakuta nyie mnaosema afanye biashara hamna ata iyo ya genge tu
Kaka bora we umeligundua hili,kuna wenzetu wana dharau kichizi yani hadi sio mzuka.Kama kazi zingekuwa rahisi hivo wengi wasingevuliwa chupi ama kulipia fadhila ya 10% katika mshahara wa miezi miwili ya mwanzo.