Mtu kupigwa na kuchomwa moto mbele ya askari mwenye silaha nzito, nini maana yake? Tuna Jeshi dhaifu?

Hiyo video mimi nimeikuta tu, hata hivyo binadamu sote ni ndugu katika level flani, sasa kama unaamini kumchoma mto mwizi ni haki kwanini wabunge hawapeleki muswada bungeni ili sheria ipitishww na watu wawe wanachomwa moto kwa mujibu wa sheria? Bado adhabu ya moto ni kali sana, na pia hata wewe unaweza ukachomwa moto kwa wizi wa kusingiziwa, kumbe hata hujaiba, ila wahuni wakifika hawaulizi kaiba nini na kamuibia nani, wao ni leta tairi, petrol, wanakulipua, ipo siku utayakumbuka haya maneno kipindi unaiva kama mshikaki huku ukijiona kwa kosa la kusingiziwa, remember these words.
Sheria haiwezi kuruhusu na haitakiwi iruhusu maana kuna hatari ya mtu kuhukumiwa kimakosa sababu raia hawanaga muda wakusikiliza ujitetee hilo tu ndo ubaya wa hukumu ya raia vinginevyo mwizi ni halali kupata adhabu yakuchoma moto ingewezekana mahakama iwe inachunguza makosa hayo akishakutwa ni mwizi mzoefu wananchi wapewe nafasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hiyo video mimi nimeikuta tu, hata hivyo binadamu sote ni ndugu katika level flani, sasa kama unaamini kumchoma mto mwizi ni haki kwanini wabunge hawapeleki muswada bungeni ili sheria ipitishww na watu wawe wanachomwa moto kwa mujibu wa sheria? Bado adhabu ya moto ni kali sana, na pia hata wewe unaweza ukachomwa moto kwa wizi wa kusingiziwa, kumbe hata hujaiba, ila wahuni wakifika hawaulizi kaiba nini na kamuibia nani, wao ni leta tairi, petrol, wanakulipua, ipo siku utayakumbuka haya maneno kipindi unaiva kama mshikaki huku ukijiona kwa kosa la kusingiziwa, remember these words.
Umetumwa ww...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mtoa mada bila shaka Uyo mwizi atakua Ndugu yako.

Hivi kweli unayajua Machungu ya KUIBIWA Wewe?

SUBIRI SIKU MWIZI AKUPULIZIE DAWA UKIWA USINGIZINI,

USOMBEWE KILA KITU NDANI YA NYUMBA ULIYOLALA HADI KITANDA UNACHOLALIA,

AFU,
URUDI HAPA KUTETEA HUU UPUUZI WA WIZI.

Sent using Jamii Forums mobile app
Na kuna wezi wengine on the process ya kuiba wanajeruhi mpka kuua,kuna mtu alichomwa kisu na vibaka walipojaribu kumuibia simu na laptop,huyu alifariki,leo umtetea wakati na yeye hua anaua wakati anafanya mambo yake,hapa ni JINO KWA JINO au UPANGA KWA UPANGA hakuna kuwalea vibaka,au wabodaboda wangapi wamepoteza maisha wakati pikipiki zao zinaibiwa?,halafu leo unakuja front kuwatetea,au unafaidika na huu wizi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sitetei wezi, ila adhabu ya kumchoma mtu moto ni kali sana na haikubaliki, kama mmeamua kumhukumu kifo extra-judicially kwa wizi basi mpigeni jiwe moja zito la kichwa afe papo hapo na sio kumtesa binadamu mwwnzeno kwa kiwango cha mateso makali namna hiyo, daah!
Unaongea vitu gani wewe!?

Watu wamefilisiwa biashara zao na MABENKI kisa hao wezi.

Mjane maisha yamemuwia magumu.

Kaamua kaweka rehani Nyumba ya familia kachukua Mkopo 20M benki kafungua M-PESA,
Jizi linatoka huko linakupiga mil.19 on-spot.
Nyumba Inapgwa mnada, watoto wanakosa pa kulala, Ada ya shule hamna.

AFU UJE UTETEE MWIZI?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Basi heading ya video ni misleading, in any case, kama pangekuwa na mtu hapo si angechomeka mbele ya askari?
kakwambia naniii kwamba angechomwaaaa? mwenzako anamiiko na taratibu zake za kazi swala si kisa kapna pikipiki inachomwa ajipigie ju tuu
 
Vitu vingine vinatia hasira sana, serikali imekupa mafunzo ya kijeshi, ikakununulia na silaha nzito uitumie kulinda maisha ya watz, hata mwizi ni raia na ana haki ya kufika mahakamni kujibu mashtaka, nimejisikia hasira sana kuona huyu askari akishindwa kufyetua risasi hewani, na atakaemgusa sheria inamruhusu kumfumua ubongo!

==========================
Update: Possibly hapakuwa na mwizi kwenye pikipiki iliyochomwa kama heading ya video kwenye youtube inavyosema.
Kama ni mwizi acha afe maana ninahasira nao hao sana....

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unaongea vitu gani wewe!?

Watu wamefilisiwa biashara zao na MABENKI kisa hao wezi.

Mjane maisha yamemuwia magumu.

Kaamua kaweka rehani Nyumba ya familia kachukua Mkopo 20M benki kafungua M-PESA,
Jizi linatoka huko linakupiga mil.19 on-spot.
Nyumba Inapgwa mnada, watoto wanakosa pa kulala, Ada ya shule hamna.

AFU UJE UTETEE MWIZI?

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama ni umeamua kumuua kwa hasira ulizonazo, mpige nondo ya kichwa moja ya uhakika na afe papo hapo, halafu tofautisha mwizi na jambazi.
 
Mwizi haki yake ni kuuwawa we unaetetea hujawahi kuibiwa, huku mtaani kwetu wezi wanatulaza macho mtu umetafuta mali kwa shida halafu yeye anakuja kuiba na pengiza anaweza kukujeruhi halafu unamtetea hujajuwa uchungu wa kuibiwa. Ndo maana jpm alisema majambazi wanyang'anywe silaha haraka haraka. Hadi mda huu naandika sijalala nasubiri kulala SAA 10 alfajiri halafu wewe unasema wasichomwe. We p.u.m.b.u kweli

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Vitu vingine vinatia hasira sana, serikali imekupa mafunzo ya kijeshi, ikakununulia na silaha nzito uitumie kulinda maisha ya watz, hata mwizi ni raia na ana haki ya kufika mahakamni kujibu mashtaka, nimejisikia hasira sana kuona huyu askari akishindwa kufyetua risasi hewani, na atakaemgusa sheria inamruhusu kumfumua ubongo!

==========================
Update: Possibly hapakuwa na mwizi kwenye pikipiki iliyochomwa kama heading ya video kwenye youtube inavyosema.
Yaonekana na wewe ni mwizi! Hujui uchungu wa kuibiwa mkuu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom