Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

What the hell is wrong with you Samia?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF?

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Mkuu Nyani Ngabu , kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tuu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.
Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

P
 
Tuseme wazi, Msando hafai kupewa ukuu wa wilaya, mama Samia alikosea kwa 100%. Ukosefu wa kimaadili ndio shida kubwa ya Msando. Hicho kilichoonekana kwenye hiyo video ndio sehemu ya maisha ya Msando ya mara kwa mara akiwa katika miji ya Arusha na Moshi. Ni mhuni wa kawaida sana.

Hivi kweli Morogoro nzima alikosekana mtu mwenye hekima, upeo na uadilifu miongoni mwa wananchi na watumishi wa umma ili kuwa mkuu wa wilaya mpaka kwenda kuokota mhuni huko Arusha na kumleta kuwaongoza wananchi wa Morogoro?

Tulisema wazi wazi wakati Magufuli akiwapa vyeo wakina Bashite, Sabaya, Muro, Mnyeti na hata kuteuliwa kwa Gwajima kugombea ubunge wa Kawe kuwa hao ni wahuni na waovu, inatoa sura mbaya kwa umma kuwa, utumishi wa kuwatumikia wananchi hauhitaji kuwa na sifa njema kwa jamii. Tunazika maadili yetu.
 
hili tukioa kama alilifanya akiwa ndani ya uongozi basi hana maadili na hafai kuwa kiongozi hta wa fammilia yake! ukiwa kama mama wa familia ya watanzania (mh. samia) please concern.:confused:
 
Wakati mwingine hua inatokea kwamba anayepata chansi ni anayejulikana na siyo kwakua ana uwezo.

Wenye uwezo ni makeyboard warrior na anonymous id wataonekana saa ngapi? Wanaojulikana Msukuma, Kheri James, Gwajima n.k.
Kama ni hivyo iko shida kubwa mahali.aidha ya mwenye mamlaka yakuteua na wanaotafuta watu wakuteuliwa Au tuseme hizo nafasi hazina maana sana kwa taifa lenye dira yakujikomboa kiasi ambacho anaweza akakaa mtu yoyote kwasababu tu ni maarufu au unajulikana.maana uko nyuma ambako kulikua hakuna mitandao ya kijamii na vyombo vya habari vyakuwapa watu kujulikana mamlaka za uteuzi zilikua zinapataje viongozi wakuwateua ambao kwa kiasi fulani walikua na uwezo na maadili kuliko hawa tunaowaona sasa.
 
Mkuu Nyani Ngabu , kwanza naunga mkono hoja ya vetting, Mama amepelekewa makorokocho, na yeye bila kujua ni makorokocho, akateua tuu.

Kuna baadhi ya makorokocho hayo, sababu ya uteuzi wao ni mchango wao kwa CCM, Msando amefanya kazi mzuri iliyotukuka kwenye ile kamati ya mali za CCM.

Hayo makorokocho na Gigy ni personal private matter akiwa under influence of alcohol. Kuvuja kwa hizo video ni kuingilia privacy zake, kama tutapekenyeua privacy za kila mtu kwa kutumia a hidden camera, hakuna msafi, na hakuna atakayebaki !.

Mwisho, with due respect, umetumia lugha kali mno na very harsh kwa mtu gentle kama Mama Samia.

Maneno kama
"What the hell is wrong with you Samia?"
"Shameful! Repulsive! Disgusting!"
"shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?"
"Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?"
are unclalled for kwa mtu mwenye sifa kama za Mama Samia, wote tunajua vetting hafanyi yeye, yeye analetewa tuu majina, hivyo maneno makali haya, hayamstahili, mtu mwema, mpole, mstaarabu, mwelewa, mnyenyekevu kama Mama Samia.

Na kwa kuongezea, tofauti kubwa ya mwanaume na mwanamke sio physiological on sex tuu ya being male and female, bali ni psychologogal, men thinks, women feels, ukimtukana mwanaume kwa maneno makali hata matusi, mwanaume can take it na isiwe a big deal, kwasababu ana ngozi ngumu, lakini kwa mwanamke, it's not, hawa wana ngozi laini, naomba usiyalize yale macho, ukayarowesha kwa machozi, utatuumiza wengi!. Please lets spare this lovely lady kwenye baadhi ya mambo.
Just look at her Siku ya Wanawake Duniani: VP Samia Suluhu: "Womanly, Genuine, Humble, Simple na Down To Earth!

Nasisitiza tusimtoe machozi mtu mwenye macho haya...

P
Brother ukifanya mambo ya kijinga ya siri na yakabaki sirini hiyo inabaki kua ni siri yako ila ukifanya ujinga kwa siri na ukatoa hadharani hiyo inakua sio siri tena.sasa unadhani mtu kama huyo atakua na dhima gani yakusimamia maadili mahali pake pa kazi ilhali yeye mwenywe alishakua sio mwadilifu.Tukiendelea kupata viongozi ambao hawakua waadilifu kwenye maisha yao binafsi kamwe usitegemee watakua waadilifu kwenye maisha ya utumishi.sasa athari za hili ni kua na taifa la ovyo.
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
1.Magufuli
2.Sabaya
3. Makonda
4.Msando
5. Kihongosi( wapinzani wanastahili wauwawe)
6. Heri James (tutaua kwa kuwadunga sindano)

Leo hii hawa wamewahi kuwa viongozi, wengine ni viongozi wateuliwa bado unaamini kuna vetting hapa ?
 
Uingereza kulikuwa na waziri alishikwa mtaani akifanya uhuni kama wa Msando. Waziri Mkuu alimfuta kazi na kuteua mwingine kwenye nafasi hiyo bila hata kusubiri utetezi wa muhuni huyo au kusoma barua yake. Albert Msando must go. Kuna waTz milioni 60 hivi, who is this Msando amongst Tanzanians ?! Tuongozwe na muhuni wa hadharani? Hicho kiapo cha maadili atakiapaje wakati wa kuapishwa?!. Mama Samia, tafadhali, futa takataka hii.
Leo hii mnaitumia system ya Uingereza(mabeberu) kama reference bila hata aibu, this shit is weird.
Tumedumu na wateule majambazi na watekaji(Makonda,Sabaya and the likes) na haikuwa issue so why now?
Kama reference ni system ya Uingereza basi mwendazake aliambulia sifuri katika maeneo almost yote kwenye kipindi chake.
Msando ukimlinganisha na majambazi ya kipindi cha mwendazake ni bora yeye mara mia.
 
Ni Albert Msando.

Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe?

What was he doing there? Fingering her?

What the hell is wrong with you Samia?

Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on your appointees? Is there any moral clause in the job description for the positions that you nominate these people for? Any code of ethics to be followed?

Shameful! Repulsive! Disgusting!

And shame on you Samia! Are you proud of appointees like this?

Are you that morally bankrupt? You don’t care? Don’t give a damn?

=====

Hakuna watu wanaomsaidia Rais @SuluhuSamia kufanya vetting ya ma DC kabla ya kuingizwa kwenye PDF? Kama watu dizaini ya Msando anaingizwa kwenye PDF ya Ikulu bila ya kufanyiwa vetting hii ni hatari zaidi ipo siku tutakuja kupata watu wa hovyo zaidi kwenye nafasi hizi za uteuzi.

Soma Gigy Money amponda Alberto Msando kuhusu video iliyovuja akimpima oil
View attachment 1827155
Aibu Sana. Huenda alieditiwa kama Rashid wa Kawe.
 
Back
Top Bottom