gigy money

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    JamiiForums Tanzania Gigy Money aitwa BASATA

    Gigy anasema ana taharuki hajui kaitiwa nini, ila kaahidi akitoka atakuja kusema maana siyo muongo, pia kasema acha aende huenda anaweza kupewa cheo hata cha kusimamia wanayama Pia soma: Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki
  2. Mkalukungone Mwamba

    JamiiForums Tanzania Gigy Money Waziri Katambi alitupa elfu 50 za kula. Aendelee kutuita tu kila wiki

    Haya friji la Gigy money aligandishi kabisa :) Kwa madai aliyatoa msanii wa muziki wa Bongo Fleva Gigy money amesema baada ya kuitwa na Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi walipewa elfu 50 za kula. Ila Katambi kwahiyo bwebwe zote hizo uliwapa hadi hela ya kula Soma Pia: Malu...
  3. Miss Halima

    JamiiForums Tanzania Malu, pipytida, Dudu baya, Gigy money, Anko T, Noel na Mwijaku waitwa central station

    Waziri wa Mambo ya Ndani, Mhe. Katambi amewaita wasanii na wanamitandao mbalimbali katika kikao maalum ambacho kitafanyika Central Police Station jijini Dar es salaam. Mpaka sasa agenda za kikao hicho hazijawekwa wazi. Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi Patrobas Katambi amesema kikao hicho...
  4. X factor

    JamiiForums Tanzania Gigy Money anaumwa kalazwa Muhimbili ICU

    Kupitia ukurasa wake wa Instagram Gigy Money, uongozi wa msanii Gigy Money umeeleza kuwa msanii huyo anaumwa na anahitaji maombi kutoka kwa mashabiki wake. Taarifa hiyo imekanusha uvumi kuwa amepigwa au amehusika katika ugomvi wowote, ikisisitiza kuwa habari hizo ni za kupuuzwa. Gigy Money...
  5. NALIA NGWENA

    JamiiForums Tanzania Hivi Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) Huwa hamuoni Ujinga na Upumbavu unaofanywa na wasanii Wenu?!!

    Matusi yamekua mengi sana mitandaoni na hao wasanii Wajinga Wajinga wanaojiita kioo Cha jamiii Nimesikitishwa sana na hii video ya gigy money akiwa ndani ya Gari akiimba na Wenzake nyimbo yenye lugha chafu na zamatusi Je Baraza la sanaa Tanzania (BASATA) mnasubiri mpaka mtu ajirekodi...
  6. The Watchman

    JamiiForums Tanzania Wema, Gigy Money wana jambo lao kwa Pacome Gigy asema anampenda sana

    ACHANA na ufundi wake uwanjani. Hii ya sasa ni kali zaidi na nyota wa Yanga raia wa Ivory Coast kazua balaa jipya kwa wasanii wa kike wa Bongo Fleva na Bongo Movie ikiwa ni siku chache tu tangu Stephanie Aziz Ki kuangukia kwa mjasiriamali, Hamisa Mobetto na kuamua kufunga ndoa. Pacome amekuwa...
  7. Waufukweni

    JamiiForums Tanzania Tuzo za Dullah Makabila zawavunja mbavu mastaa, Ruby, Ray the Boss wamaindi

    😂😂 hivi huyu Dulla Makabila ana nini kwani? Jamaa amekuja na tuzo zake "Makabila Awards" na ametangaza vipengele tisa vilivyojaa utani, kuna UVUMILIVU, FITNA YA MUZIKI, CHAWA BORA mpaka KUPENDA WAGANGA 😂😂 Sema Ruby na Ray the Boss kama hajapenda hivi. Wakasuka kwenye comments na kumpa vidonge...
  8. FRANCIS DA DON

    JamiiForums Tanzania Unaelewa nini ukiangalia picha hii ya Gigy money?

  9. Tea Party

    JamiiForums Tanzania Mtandao wa Nigeria wataja ngoma 100 bora za muda wote Tanzania. Diamond, Gigy Money wamo

    Mtandao mkubwa wa muziki nchini Nigeria Notjustok.com umezitaja ngoma bora 100 za muda wote hapa Bongo kuanzia 2012 - 2022 na kwa mara nyingine Diamond Platnumz kawaburuza wenzake. Kwenye article yao wameitaja ngoma ya Diamond My Number One kuwa ndio ngoma namba bora na iliyoleta impact zaidi...
  10. Nyani Ngabu

    JamiiForums Tanzania Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

    Ni Albert Msando. Look at him. Wamekosekana kabisa watu wenye maadili na wanaojiheshimu mpaka kupelekea huyu ateuliwe? What was he doing there? Fingering her? What the hell is wrong with you Samia? Do you just flip a coin when picking these people? Do you conduct any background checks on...
  11. warumi

    JamiiForums Tanzania Mastaa wasusia Party ya Gigy Money

    Huyu nae Kila Siku hajifunzi tu, kila siku mastaa wenzie wanamkimbia kwenye shughuli zake , ye kutwa kushoboka na za wenzie. Hizo pesa za kufanyia sherehe bora ungeenda kula na watoto yatima ukapata thawabu mbele za Mungu , unawaalika watu wanakunywa pombe za bure na kula bure halafu wanakusema...
  12. warumi

    JamiiForums Tanzania Gigy Money aharibu tena Nairobi kwenye show ya Wife Material

    Huyu Gigy Sijui alirogwa au kajiroga mwenyewe kila anapogusa ni nuksi tu, show ya watu huko imehairishwa tena chanzo kikiwa ni yeye mwenyewe, Sijui linajikutaga nani, Yan linaudhi, kila sehemu likiwepo lazima lisababishe mkosi, na linavyoongeaga kama litahira kujifanya linajua kila kitu wakati...
Back
Top Bottom