Mtu kama Albert Msando, kwanini anateuliwa kuongoza watu Wilayani?

Ni mpuuzi tu anayeweza kujisifia hayo yote uliyotaja dhidi ya mtu usiyemjua!Shame!
Nmekupima tu unayoandika nkajua unawivu,chuki,kisirani,dharau,stress,ntimanyongo,majungu,ubishi navitu hivyo huwapata watu wenye njaa,hawajasoma,hawana exposure nk. Pole.
 
Kwani aliweka kwakupenda? au niajali wahuni walimrusha mitandaoni?? Ninyi mnatakaga mtu ata ajiue pale anapokosea acheni unafiki!! Wewe hujawai kuchepuka au kupapasa mbeibe? Vipi MTU angekufotoa akakurusha ndiyo ingekuwa dhambi sana? Mazuri yako yote yangepoteza maana maisha yooote? Poor mind!!
NO MAN IS AN ANGEL WE ALL MAKE MISTAKES!!
True
 
Back
Top Bottom