Muuzaji Mkuu
JF-Expert Member
- Jun 18, 2022
- 893
- 2,001
Kinoma.Jamani, mateso hayo...
Ila kutafuta kazi kunachangamoto sana
Kinoma.Jamani, mateso hayo...
Ila kutafuta kazi kunachangamoto sana
Dah pole sana mwambaMwamba alitaka kunitawala yani anataka kila akinihitaji nimsaidie analazimisha hapo hapo ukimwambia now sina mda nina kazi au nimechoka nahitaji kupumzika si unajua sijalala anaanza kuongea kwa nguvu mbele za watu kuna watu unawaunganisha kazi halafu wanaanza kukuvimbia.Afu isitoshe kila mshahara ukitoka alikuwa anataka kitu,mshahara wa kwanza nilimpa 30k nikabaki 100k mshahara wa pili nilimpa 50k nikabaki na 80k na huo ndo huo ukawa mwisho wangu wa kufanya ile kazi.Nikaenda kutafuta maisha sehemu ingine,wakati nipo huko nikasikia jamaa kabeba funguo zangu kwa mama mpangaji mwenzetu kauza vitu vyangu vya ndani vyote ety anafaidia lawama alizopewa mm kuacha kazi[emoji23].
Hizi cozi zetu aisee sijui tumesoma sisi tu maan hata wa kujitokeza aliepiga kama hizi zetu atoe mwangaza hayupoKupitia uzi huu na mimi pia naomba mwenye uwezo wa kunipa support ya kazi anisaidie wakuu mtaani pa moto, mtaani zaidi ya miaka saba (7). Course Community Development.
Yalishapita.Dah pole sana mwamba
Mzee ni hatari, interview mkiitwa mnakua watu 6k na kuendelea.Hizi cozi zetu aisee sijui tumesoma sisi tu maan hata wa kujitokeza aliepiga kama hizi zetu atoe mwangaza hayupo
Umepiga na ww ile hahahhaMzee ni hatari, interview mkiitwa mnakua watu 6k na kuendelea.
Mkuu acha tuu.Umepiga na ww ile hahahha
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mwamba alitaka kunitawala yani anataka kila akinihitaji nimsaidie analazimisha hapo hapo ukimwambia now sina mda nina kazi au nimechoka nahitaji kupumzika si unajua sijalala anaanza kuongea kwa nguvu mbele za watu kuna watu unawaunganisha kazi halafu wanaanza kukuvimbia.Afu isitoshe kila mshahara ukitoka alikuwa anataka kitu,mshahara wa kwanza nilimpa 30k nikabaki 100k mshahara wa pili nilimpa 50k nikabaki na 80k na huo ndo huo ukawa mwisho wangu wa kufanya ile kazi.Nikaenda kutafuta maisha sehemu ingine,wakati nipo huko nikasikia jamaa kabeba funguo zangu kwa mama mpangaji mwenzetu kauza vitu vyangu vya ndani vyote ety anafaidia lawama alizopewa mm kuacha kazi[emoji23].
Hawaezagi hawa kitu acha kbsaaJitahidi na wewe usaidie mtu apate kazi mikononi mwako
Sas kaka bila cpa utawezaje kuajiriwa hataukipata gpa ya 4.5 huwezi kupata kaz bila cpa mkuu ..fanya juhudi usome cpa kbla muda haujaenda sanaHe,nyie mnabahati bhana Mimi ninadegree ya accountacy mwaka wa tano huu na aply naona nipumzike,nikiaply Naitwa interview Ila swali ninaloulizwa inakuaje mpaka leo haujaajiriwa na matokeo yako yapo vizuri najitetea pale Ila wengi nahisi wanakuwa hawaamini kuwa Sina kazi wengine wanahisi Kuna tatizo upande wangu nachoka kabisa
Sasa mkuu umesoma ced kweli alfu unaenda kuapply kaz tpa uko serious kweliHVI kweli hapa hata mtu kusema anishike mkono
Kwenye NGOs hakuna kweli au taasisi ama sehem yoyote hakuna kweli
Yaan
Degree in Community Economic Development
Age 25
Status no job
Location mwanza(remote) au popote nafika.
Please help.me
Acha utapeli hapa biashra gani hyo kwann usiainisheMwanangu R. Aliniambia kuna bidhaa flani dili sana, kuna siku tulikua dubai akaniambia walijaribu tafuta kiwanda wakapata ila wanatengeneza kwa oda.
Nikaweka akilini hiyo.
Siku moja nikaona video mtu amepost anauza katika soko letu.
Nikaingia alibaba nika search jina la hiyo product nikakutana na same video nikajua hao wanachukua kwa huyu supplier.
Tukawasiliana nikaagiza mzigo wa kwanza pc 3. Faida laki 9 kila pc.
Zimefika zikaisha.
Nikaongeza 5 zikafika zikaisha.
Sa hivi kila mwezi nina wastani wa kuuza same product angalau pc 5.
Best business ever. Unakaa na mzigo ila siku ukiuza ni kicheko
Tumesoma kwa kuunga Sana,mpaka namaliza hata sikuamini,CPA wengi tunatamani sema ndo hivyoSas kaka bila cpa utawezaje kuajiriwa hataukipata gpa ya 4.5 huwezi kupata kaz bila cpa mkuu ..fanya juhudi usome cpa kbla muda haujaenda sana
Ni sawa ila.niliend kama.connection tuSasa mkuu umesoma ced kweli alfu unaenda kuapply kaz tpa uko serious kweli
Wew unapaswa kujikita kwenye Ngos tu kam action aid,right to play ,wolrd vision ,nk ..nk tra ,tpa ,takukuru ,temesa ,brela latra tuachie sisi mkuu
Pole Mkuu, structure CV yako kwa kuweka job description ambayo iko relevant na field yako na work experince nenda tafuta hata kampuni au hata pale ulipofanyia field yako ya degree nenda pale mwombe supervisor wako aku recommend kwamba unafanya part time job pale hii itakusaidia zaid kwani kampuni nyingi hazitaki mtu ambae anasema hana kazi jitengenezee historia ya kazi kibongo bongo ni changamoto kufanikisha bila kusema hata uongo kidogo unaoweza kukisogeza.All in all wakati wa Mungu ndio wakati sahihi zaidi mungu atakufungulia milango ya baraka muda ambao hautaamini.🙏
Naomba connection ya babu itiki aisee na me nije kutoa ushuhuda[emoji1431]
Ikitiki mzee usisahau kututikisha na sisiHatimae babu kaniita kesho nikaonane nae. Naombea connection itiki.