Bachelor ll
JF-Expert Member
- Dec 15, 2019
- 4,103
- 6,700
Umesomea nini ?Mm niliend TPA nikaambiwa hivyo kama w[emoji24][emoji24]
Aiseee afadhali hata unapata movies
Umesomea nini ?Mm niliend TPA nikaambiwa hivyo kama w[emoji24][emoji24]
Aiseee afadhali hata unapata movies
Njoo PM na maelezo yote mkuuNaikumbk connection uliyonipa ila mpaka sasa ubao unasoma 0
Nilichosomea mkuu kiukweli hakiendan na TPA japo nilitaka hata ukarani tuUmesomea nini ?
NakujaNjoo PM na maelezo yote mkuu
Jamaa wa Ikuru ni rafiki yake na shemeji yangunaona jamaa wa ikulu ajahusika kabisa
[emoji1787][emoji1787]Ukichunguza shuhuda nyingi humu utagundua connection na back up zimewabeba wengi,wewe ng'ombe wa maskini usie na back up mtegemee mungu ipo siku yako.
Watu mnabahati zenu aiseeMr wenrer huyu mwamba namshukuru hadi kesho kutwa alienda mwenyewe office ya Hr to handout my application afu akasema kaa utulie everything is settled [emoji41]
Dah kina binadam mnapata matokea mapema tu aisee..tushikane mikonoJamaa wa Ikuru ni rafiki yake na shemeji yangu
Ipo hivi jamaa wa Ikuru alikuja job kuna vitu nikamsaidia for free baada ya muda akajua Mimi ni shemeji yake na shemeji yangu ambae ni rafiki yake hapo ndio mazoea mm na yeye vikazidi
Bro ni Mungu tuWatu mnabahati zenu aisee
NimekupataNilichosomea mkuu kiukweli hakiendan na TPA japo nilitaka hata ukarani tu
Nimepiga Community Economic Development
Nimekuja inboxNimekupata
Kweli ila.mkipata hizo nafasi jaman nasisi tushikane mkono sio mpaka tujuane mungu atakubarikiBro ni Mungu tu
Khaa ilikua mkuu mbona unajuta??Kuna jamaa aliniunganishaga kazi ya ulinzi najuta kuipokea ile kazi hadi leo.
Mwamba alitaka kunitawala yani anataka kila akinihitaji nimsaidie analazimisha hapo hapo ukimwambia now sina mda nina kazi au nimechoka nahitaji kupumzika si unajua sijalala anaanza kuongea kwa nguvu mbele za watu kuna watu unawaunganisha kazi halafu wanaanza kukuvimbia.Afu isitoshe kila mshahara ukitoka alikuwa anataka kitu,mshahara wa kwanza nilimpa 30k nikabaki 100k mshahara wa pili nilimpa 50k nikabaki na 80k na huo ndo huo ukawa mwisho wangu wa kufanya ile kazi.Nikaenda kutafuta maisha sehemu ingine,wakati nipo huko nikasikia jamaa kabeba funguo zangu kwa mama mpangaji mwenzetu kauza vitu vyangu vya ndani vyote ety anafaidia lawama alizopewa mm kuacha kazi😂.Khaa ilikua mkuu mbona unajuta??
Yawezekana akielezea mazingira ukaona jinsi hoja yake ulivyo valid.Alikupa connection au sio ,nyie ndio hamna shukran kwa wanaojitoa kuwasaidia
Jamani, mateso hayo...Mwamba alitaka kunitawala yani anataka kila akinihitaji nimsaidie analazimisha hapo hapo ukimwambia now sina mda nina kazi au nimechoka nahitaji kupumzika si unajua sijalala anaanza kuongea kwa nguvu mbele za watu kuna watu unawaunganisha kazi halafu wanaanza kukuvimbia.Afu isitoshe kila mshahara ukitoka alikuwa anataka kitu,mshahara wa kwanza nilimpa 30k nikabaki 100k mshahara wa pili nilimpa 50k nikabaki na 80k na huo ndo huo ukawa mwisho wangu wa kufanya ile kazi.Nikaenda kutafuta maisha sehemu ingine,wakati nipo huko nikasikia jamaa kabeba funguo zangu kwa mama mpangaji mwenzetu kauza vitu vyangu vya ndani vyote ety anafaidia lawama alizopewa mm kuacha kazi[emoji23].
Nishacheki mzee ✊Hiyo bird box Barcelona nime ona trailer ni 🔥🔥, Kuna Uzi nime kutag Kuna job kacheck.