lazima afanyiwe assessment na polisi na inachukua mda cz huez enda tu umtoe polisi kituon umpeleke akakusimamiewanakaza wanasema bado nini ili wakupitishie leseni
Ni huyu hapa (mkazaji)Tatizo wakumlambisha ndo simfahamu!
Polisi wanakaza..
hahaha! Hai guarantee, Heri mfanyakazi wa tra mja kwa mojaNi huyu hapa (mkazaji)
👇
Habari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau
Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
Ya! nirahisi kwa kuelezea kwenye maandishiDaraja D unapata huko chuoni uliko jifunza udereva ongea na mkufunzi atakusadia tofauti na hapo;
Huna haja ya kupoteza hela ya kuhonga; kama kweli umejifunza udereva; nenda office ya traffic Mkoani utakutana na vijana wengi tu wanasubiri kumuona Vehicle Inspector; Ingia mwambie umekuja kuomba leseni Daraja la D, mbona chap tu....wanakutuma TRA unalipa shs 70,000 wiki moja unaleseni
Hata kama umejifunza kuendesha mtaani nenda chuo cha Uereva chap ufanye kozi fupi ya udereva hata wiki mbili ili ujue sheria za barabarani na chuo kitakusaidia kupata leseni daraja D
ILA kama hujui kuendesha , usianze kuhonga upate leseni......barabarani sio mahala pa majaribio...
Si uende uongee na vehicle inspector hapo makao makuu! Hiyo rushwa mpelekee yeye utapata leseni yako ndani ya wiki 1.Habari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau
Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
Duuh mimi nahusikaje na mwenye uzi?Hicho cheti cha Udereva umesomea au cha mchongo?
Vishoka sasa hivi wanakufa na njaa...huna haja ya kwenda ofisi ya TRA. ingia website yao, tafuta mahali palipoandikwa taxpayer portal ingia hapo ujisajili kwa tin namba yako then bonyeza driving licence utajaza taarifa kadhaa then utapata control no ya kulipia, ukilipa baada ya mwezi unaenda polisi wanapitisha (class D haina masharti) unaenda kuchukua leseni yako tra.Ukiwa na viambata hivyo sioni umuhimu wa connection tena kwa class D!!
Atakayekuhudumia mpe ngapingapi upate SMS ya kuifuata kesho yake.
BTW:Ofisi za TRA Mkoa vishoka wanarandaranda kwenye korido na parking hata ukimueleza mlinzi getini anakuunganisha nao wanakupitisha kwa mhusika.
Tukutane Gerezani Kariakoo ulizia wanaochapisha vyeti, utanipata.Habari ndugu zangu.
Nina Tin Number, Certificate ya Chuo cha udereva nilichosemea na Learner,. Kama una connection ya namna naweza pata leseni ya udereva class D kwa urahisi. Nicheki PM tukubaliane dau
Napatikana Dar es Salaam, Malipo ni baada ya Kunipa Leseni yangu. Asante!
Mbona hii comment yako kama yakisnitchYangu nilitoa 100,000 nikaletewa baada ya wiki nyumbani na kibahasha..
Niliona nisipoteze muda
Nimekusnitch wewe siyo😅😅Mbona hii comment yako kama yakisnitch
Ushauri mzuriDaraja D unapata huko chuoni uliko jifunza udereva ongea na mkufunzi atakusadia tofauti na hapo;
Huna haja ya kupoteza hela ya kuhonga; kama kweli umejifunza udereva; nenda office ya traffic Mkoani utakutana na vijana wengi tu wanasubiri kumuona Vehicle Inspector; Ingia mwambie umekuja kuomba leseni Daraja la D, utaulizwa maswali kidogo kuhakikisha kuwa kweli umesoma; chap tu wanakutuma TRA unalipa shs 70,000 wiki moja unaleseni
Hata kama umejifunza kuendesha mtaani nenda chuo cha Udereva chap ufanye kozi fupi ya udereva hata wiki mbili ili ujue sheria za barabarani na chuo kitakusaidia kupata leseni daraja D
ILA kama hujui kuendesha , usianze kuhonga upate leseni......barabarani sio mahala pa majaribio, labda kama umechoka kuishi!
Mkuu umeeleza vizuri sanaDaraja D unapata huko chuoni uliko jifunza udereva ongea na mkufunzi atakusadia tofauti na hapo;