Mtu anisaidie kupata Leseni ya Udereve nitamlipa

mleta mada hakuna leseni rahisi kupata kama D,labda hukusoma chuo mm binafsi nilienda tra wakaniambia niende polisi nikarudi chuo wakaniambia hamna haja walifanya yao nikaenda kuchukua leseni,mtiti nilikutana nao PSV
 
Sawa Mkuu, Hiki chuo chenyewe hawako hata professional!
 
  • Thanks
Reactions: Sax
Back
Top Bottom