Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 9,357
- 12,351
- Thread starter
-
- #141
Muhubiri 3:Umetisha sana😀😀
Ngoja nikufanulie:Sisomi utumbo
Ukiwa mlokole tu sijadili chochote na wewe , hivyo pia sitasoma.Ngoja nikufanulie:
3. Hukumu na haki ya Mungu (Mstari 16–17)
Ingawa mara nyingi chini ya jua tunaona uovu na udhalimu hata mahali pa hukumu, bado Mungu ataamua haki.
Kuna majira na wakati wa kila kusudi, ikiwa ni pamoja na hukumu ya mwisho.
4. Hatima ya mwanadamu na wanyama (Mstari 18–21)
Kifo huwapata wanadamu na wanyama vile vile. Wote hufa, wote hurudi mavumbini.
Lakini kuna tofauti ya roho: roho ya mwanadamu huinuka juu kwa Mungu, ilhali ya mnyama hubaki chini (aya 21).
5. Mstari 22
Muhubiri anasema: ni bora mwanadamu afurahie kazi ya mikono yake, kwa kuwa hiyo ndiyo fungu lake alilopewa na Mungu.
Maisha ni mafupi na hayana uhakika, hivyo tumtumikie Mungu kwa furaha na hekima.
Hili andiko maana yake kwasasa:
Kila jambo lina wakati wake, lakini Mungu ndiye anayeweka maana kwenye majira ya maisha yetu.
Tufanye mema, tufurahie kazi za mikono yetu, na tumche Mungu, maana mwisho wa yote atatuhukumu kwa haki.
Maswali yako ni ya kawaida sana, kama ilivyo kwa binadam hao viumbe vingine nao wana yao.Na kabla ya kuzaliwa ulikuwepo wapi?
Na kwanini sisi na wanyama tonatofautiana ufahamu?
Na kwanini ufe kama vile ulivyozaliwa bila ya utashi wako? Unajikuta tu umezaliwa.
Na kwanini wengine wapitie mateso hapa duniani na angalia wengine wanaishi vizuri?
Kama vile ilivyokuwa huwezi kujibu maswali hayo basi aliyekuumba alishakwambia kuwa ukifa unakwenda wapi na utalipwa kwa Yale uliyotatenda.
Kila hatua utakayo idiriki katika maisha yako iwe njema au iwe mbaya wewe ndio utakaye i experience.
Jiandae usiishi kwa mazoea hukuumbwa Bure Bure ufanye yako vyovyote ujiskiavyo alafu useme hakuna malipo.
Ukiachana na maandiko we unadhani mtu akifa anaenda wapi?Sio story ni kweli mkuu. Jaribuni kujifunza vitu msiishie kusoma elimu za Biology, Physics na Chemistry pekee. Hiyo elimu haitoshi kwa mwadamu kuwa na maarifa.
Tuache porojo kidogoMtu akifa unaenda wapi ? Hili swali lenyewe limekaa kiwehuwehu tu bwashee.
Sijakuelewa una maanisha niniTuache porojo kidogo
Hii hofu ambayo binadamu kaikuza kupitia uzoefu wake kwa mda nadhani ni njema
Kwanini, hatuna sababu ya kujua wapi tunaenda lakini kwa kuchagu hofu hii kuliko hayawani wa mwituni kumetufanya binadamu kuwa jinsi tulivyo.!
Hebu fikiria kidogo, ikiwa binadamu kazaliwa asipopachagua na akakutana na Elimu ya kisekula bila hofu yeyote ile na akaamua kujitosheleza kwa tamaa yake unadhani nini kingetokea.!
Mfano, mtu kazaliwa marekani kahitimu harvard hana hofu ya lolote Wenzake wakamshauri ongezeko letu la watu hapa marekani linaathiri maeneo tunayoishi Baada ya muda tutakuwa hatuna eneo la kutosha la watu wote.! Na Afrika ikawa pendekezo lao unadhani nini kingetokea.!?
Hakuna hasara bali kuna faida kubwa sana.Najiuliza kwani mtu akiwa amekufa ndio ikawa nitolee bila hiyo mbinguni na jehanam kuna hasara gani, kwanini watu wanatamini zaidi kuendelea kuishi baada ya kufa ? Kwani ukifa ukawa tu kama hukuzaliwa kuna tatizo gani?
Jamii nyingi za mataifa wasio endekeza hizi imani wana ishi kwa amani na upendo sana , hasa nchi za ScandinavianHakuna hasara bali kuna faida kubwa sana.
Siku binadamu wote tutakapojua kuwa hakuna cha Firdaus wala kuzunguka kiti cha enzi ndo siku chuki ya binadamu dhidi ya binadamu mwenzake itapungua.
Ndo siku binadam wengi watafurahia haya maisha to the fullest wakijua ni mafupi na ukifa hakuna mengine.
Maujinga mengi yataisha.
Namaanisha hii si hofu tu kama ilivyozoeleka kikawaidaSijakuelewa una maanisha nini
Haya hiyo hofu imesaidia kitu gani hapo mashariki ya kati?Namaanisha hii si hofu tu kama ilivyozoeleka kikawaida
Ikiwa hofu inakufanya kuwa kiumbe bora basi ina ukweli ndani yake, au unaonaje.?
Hamna mkristo wala muislam atakupa jibu la haya maswali.Watakuchanganya tu kwa quotes za vitabu vyao.Kabisa na hakuna haja ya kujiuliza ukifa unaenda wapi na wakati ulipotoka yenyewe haupajui .
Yani mimi niweje roho inayodaiwa haifi halafu yote haya nisiyajue ?
Na kama ukifa unakua roho na sio mwili iweje yesu baada ya kufufuka alichomoka na mwili wake kaburini , au ule mwili uliliwa na fisi akachomoka kama roho?
Shangaa wewe🤭Hamna mkristo wala muislam atakupa jibu la haya maswali.Watakuchanganya tu kwa quotes za vitabu vyao.
Kuna saa watu wa dini wanaongea vitu unajiuliza hivi huyu mtu yeye mwenyewe anaelewa anachonielewesha!
unazungumziaje waumini kuwa waovu na wasio waumini kutokua waovu -- unaonaje mkuu?Namaanisha hii si hofu tu kama ilivyozoeleka kikawaida
Ikiwa hofu inakufanya kuwa kiumbe bora basi ina ukweli ndani yake, au unaonaje.?
Wale nahisi kuna kizazi kiliwakinai Baada ya kuonesha kukataa Ufahamu, wana DogmaHaya hiyo hofu imesaidia kitu gani hapo mashariki ya kati?
na pande zote zinasema unabii unatimia 😁Haya hiyo hofu imesaidia kitu gani hapo mashariki ya kati?
sio free will mkuu? 😁Wale nahisi kuna kizazi kiliwakinai Baada ya kuonesha kukataa Ufahamu, wana Dogma
Vita vipo ,mauaji kila kona , ukatili bado umejaa mpaka makanisani, ufisadi wa kutisha , na wanaofanya ndio wana hizo hofu za jehanam ,je imesaidia kitu gani ? Nchi ambazo hawaamni hizi mambo kwa kiasi kikubwa kuna utulivu mkubwa, unajua hilo?Wale nahisi kuna kizazi kiliwakinai Baada ya kuonesha kukataa Ufahamu, wana Dogma