Mtu akifa anaenda wapi?

Safi, binafsi naona sababu bado haijapatika na huenda mambo yapo hivi hivi tu bila sababu yoyote ,pia huenda hakuna mwanzo wala mwisho , maisha yapo kwenye cycle tu🤔
Kama tunaogelea boti moja indeed
 
Hizo zote ni story za kutungwa mtu akifa haendi popote zaidi ya kuoza na kirutubisha ardhi na kufanya maisha yaendelee duniani
Hivi umeshawai kujiuliza hizo alama za kwenye mwili wako Finger print,DNA n.k ziliwekwa kwa sababu gani na kiteknolojia ya nani.
 
Hivi umeshawai kujiuliza hizo alama za kwenye mwili wako Finger print,DNA n.k ziliwekwa kwa sababu gani na kiteknolojia ya nani.
Na hiyo alie weka na yeye kawekwa na nani , na nan kawekwa na nan,,,,,,?,,,,,,,?,?
 
Uo uzao wa kaini ni uzao wa nyoka.
Ulianza baada ya nyoka na hawa kujuana kimwili kisha kumjua tena mumewe na kupata mapacha wenye tabia mbili tofauti.

Sababu kuu ya kifo ni kuufuta pandikizi la uzao wa nyoka katika uhai wa wanadamu.

Hao hata wasikie vipi neno hawaamini,hata mungu awafanyie nini.
Na ndio wengi mnooo.
Ho ndio walioandikiwa hukumu,wapo ili wale wafanye dhambi,wafe hawana muda na Mungu.
Na hawawezi kujisaidia wala kusaidiwa
Hao makanisani wapo,baa wapo,matusi wapo,wizi na ufisadi wapo, kamari wapo na kanisani wahubiri,wengine wanajiiita mitume,manabii,mapadri n.k

Yesu alisema enyi uzao wanyoka mnadhani mtaweza kuikimbia hukumu ya Mungu
 
Na hiyo alie weka na yeye kawekwa na nani , na nan kawekwa na nan,,,,,,?,,,,,,,?,?
Allah anasema katika Sura Al-Ikhlas (112:1-4): "Sema: Yeye ndiye Allah, Mwenye umoja. Allah ni wa milele, hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hakuna yeyote kama Yeye."
 
Allah anasema katika Sura Al-Ikhlas (112:1-4): "Sema: Yeye ndiye Allah, Mwenye umoja. Allah ni wa milele, hakuzaa wala hakuzaliwa. Wala hakuna yeyote kama Yeye."
Sisomi ujinga🚮
 
Swali tu lina sound ki uchizi uchizi, hivi bwashee kuku akifa aaenda wap?
Binadamu aliubwa maalumu na siyo kijumuiya kama kuku na alipuliziwa uhai yani pumzi siyo kama kuku
Aliumbwa kutawala kazi yote iliyofanywa na Mungu sasa kumuweka kundi moja na kuku
 
Binadamu aliubwa maalumu na siyo kijumuiya kama kuku na alipuliziwa uhai yani pumzi siyo kama kuku
Aliumbwa kutawala kazi yote iliyofanywa na Mungu sasa kumuweka kundi moja na kuku
Jitulize uandike tena
 
N
Siti ya mbele kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…