Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 11,265
- 24,152
Tatizo aliye kudanganya nae alidanganywa nawewe unaendelea kudanganya wengine nao wakadanganye Watoto wao.Ndani ya mwili wa mwanadam kuna roho na nafsi. Hizo zinaendelea kuwepo milele na milele.
Mtu Akifa anazikwa kama unavyozika mbwa habar yake inaishia hapo.