Dark City
JF-Expert Member
- Oct 18, 2008
- 16,252
- 11,653
Tatizo limekuja pale kitinda mimba wa miaka 5 anapomzidi baba yake dushelele
Akiamka tu mtoto, kitu kinasimama kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi, kuna wakati inabidi wakiwekee maji ya baridi ili kipoe
Babu Dark City, hebu ita na wazee wenzako mje mponye hii ndoa, naona iko hatarini
Huu ni sawa na yale magonjwa ambayo madaktari huwa wanayatibu kwa kumpatia mtu maji a.k.a placebo!!
Kama kweli anataka kufanya utafiti, bora akapime watoto wote...akimalizana nao, aombe na wazazi wake wapime hiyo hiyo DNA!!
Babu DC!!