Mtoto wangu wa Kiume kweli siku bambikwa

Nakushauri yaache kama yalivyo, kwani hujawahi kulea yatima wewe? acha mambo yaende hivyo hivyo swala la damu yanko au si yako sioni kama ni point, mwachie MUNGU na wewe fanya nafasi yako kama Mzazi mengine mwachie MUNGU ashughulike na mkeo, usimapngie Muumba
Huwezi jua huyo anawezakuja kuwa ndio mkombozi wako, siku hizi watoto nao wana akili bhana, take my word
 
Mchukue mtoto kisiri kampime DNA huyo!!!!!!! Kosa si kuzaa nje, Kosa ni kukufanya ***** wewe kwa kutogundua mtoto si wako na uzombii wako wa kumuamini kupitiliza. Ukute hata hao weupe baba yao mweupe kama wewe!!!!!!!
Mmmh, nafikiri procedure za kupima DNA zipo complicated sana. Huendi tu kama unakwenda kupima malaria. Ni lazima ufuate procedure kadhaa ambazo zitashirikisha wazazi wote. Anyway sina ufahamu mzuri wa hizo procedures, but najua kwamba kuna procedure kabla ya kukubaliwa kupima DNA.
 
Nakushauri yaache kama yalivyo, kwani hujawahi kulea yatima wewe? acha mambo yaende hivyo hivyo swala la damu yanko au si yako sioni kama ni point, mwachie MUNGU na wewe fanya nafasi yako kama Mzazi mengine mwachie MUNGU ashughulike na mkeo, usimapngie Muumba
Huwezi jua huyo anawezakuja kuwa ndio mkombozi wako, siku hizi watoto nao wana akili bhana, take my word
Wakati mwingine ni bora kuyamaliza mapema, maana ni dhahiri baba wa huyo mtoto anajua kabisa kwamba ana mtoto wake kwa mke wa jamaa. Sasa niambie akiamua kesho na keshokutwa kuibua timbwili, labda ni baada ya kusomesha umemaliza ndiyo babake anajitokeza na anataka mtoto wake. Utafanyeje. Unaweza kukuta jamaa kwa mke wake mitoto yote mijinga, lakini aliyezaliwa kwenye nyumba yako ndiyo intelligent. Nakwambia utanyang'anywa anapoingia university. Na gharama zote za kutunza zinakuwa ni bure.
 
hah hah haha....kweli una kibamia kaka..yaani hata mtoto wa miaka 5 amekuzidi...
 
nimependa.....'kibamia'....duh....mwanawane......
kibamia hiki hiki ninachokifahamu au kuna kingine.........?

Ni kile kile cha kijani chenye utelezi hivi,wengine huwa wanakipika kinakuwa kama mlenda!
 
Aaah kaka acha maskhara, kwa hiyo kama wewe mfupi na mamake mfupi, mtoto akazaliwa mrefu, atakuwa sio wako?
 
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa anamsema vibaya, wewe mtoto mbona matatizo, umri huu tu hivi je ukiwa mkubwa utaishi na mke kweli

Mimi Baba mtu kibamia, mtoto kafanana na mama yake kiasi Fulani, kwangu ayupo kabisa, kipindi cha nyuma kabla ya mtoto huyu kuzaliwa, mama yake alishawahi nitukana kwamba mimi mwanaume suruhali, nina kipiriton. Kingine mimi na mama yake weupe ila uyu mtoto mweusi

Je naweza kwenda pima DNA na nikitambua mtoto sio wangu itakuwaje? Ili hali nimeudimia mimba na mpaka umri aliofikisha.

Kikubwa naitaji kumlea ila nataka mama yake atambue mtoto sio wangu kama itabainika. Je nitatumia njia hipi kumshawishi mpaka akubali kupima DNA. Na jee nikigundua mtoto sio wangu alafu mimi ninakibamia, je nitafurahia kweli tendo la ndoa. Au ndio dhana ya kitanda akizai haramu.

Duuh kweli hii dunia haiishi vituko!!! Kama kweli uko tayari kumlea huyo mtoto(either awe wako au la!!!) huna haja ya kwenda kupima DNA.
 
Kweli ndoa ndoano, mtoto wangu wa mwisho wa kiume anamiaka 5 sasa kati ya watoto 3 nilio nao. Ila tatizo huyu mtoto mashallah kajaliwa hasa, akimka asubuhi kitu kikisimama mpaka mama yake huwa anamsema vibaya, wewe mtoto mbona matatizo, umri huu tu hivi je ukiwa mkubwa utaishi na mke kweli

Mimi Baba mtu kibamia, mtoto kafanana na mama yake kiasi Fulani, kwangu ayupo kabisa, kipindi cha nyuma kabla ya mtoto huyu kuzaliwa, mama yake alishawahi nitukana kwamba mimi mwanaume suruhali, nina kipiriton. Kingine mimi na mama yake weupe ila uyu mtoto mweusi

Je naweza kwenda pima DNA na nikitambua mtoto sio wangu itakuwaje? Ili hali nimeudimia mimba na mpaka umri aliofikisha.

Kikubwa naitaji kumlea ila nataka mama yake atambue mtoto sio wangu kama itabainika. Je nitatumia njia hipi kumshawishi mpaka akubali kupima DNA. Na jee nikigundua mtoto sio wangu alafu mimi ninakibamia, je nitafurahia kweli tendo la ndoa. Au ndio dhana ya kitanda akizai haramu.

Simple:

1. Kumpima mtu DNA ni suala la kisheria na unahitaji kuwa na sababu muhimu ambayo itakuwa imethibitishwa na Authority husika juu ya issue husika.

2. Katika issue yako husika ongea na mwenzi wako, akiafikiana nawe ni rahisi zaidi. Akikataa unaweza ukafanya Legal Approach.

3. Mwone Mwanasheria ataandika demand notice na kisha kuwaandikia watu wa DNA kukutambulisha wewe, wife na mtoto kwa ajili ya vipimo. I think ni kama TZS 900,000.

4. Kuwa makini kuangalia uhusiano hautetereki maana mna familia.

5. Ni haki ya msingi na kuzaliwa ya kila binadamu kujua asili yake ni akina nani.

6. Muhimu pia yanapokuja masuala ya kitabibu au ajali ambapo damu au utambuzi wa mhusika na wazazi wake hutakiwa kwa ajili ya kufacilitate utambuzi wa ajali au huduma ya matibabu kama damu nk.
 
unajuaje upande wa wajomba zake wana madushelele? kitanda hakizai haramu.
 
nimependa.....'kibamia'....duh....mwanawane......
kibamia hiki hiki ninachokifahamu au kuna kingine.........?

Nami nauliza hivi:-
  1. Ni kibamia hicho hocho kilichosababisha hao wengine wawepo duniani?
  2. Hicho kibamia kimegundulika lini kwamba sio 'functional'?
  3. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni SIO, basi akapime DNA za watoto wote.
 
Kama huyo mtoto niliyemlea akikubali kuchukuliwa na babaye akiwa mkubwa wa kuingia chuo kikuu

Na hali akijua kabisa nimemlea kwa mapenzi yote, let it be

Wakati mwingine ni bora kuyamaliza mapema, maana ni dhahiri baba wa huyo mtoto anajua kabisa kwamba ana mtoto wake kwa mke wa jamaa. Sasa niambie akiamua kesho na keshokutwa kuibua timbwili, labda ni baada ya kusomesha umemaliza ndiyo babake anajitokeza na anataka mtoto wake. Utafanyeje. Unaweza kukuta jamaa kwa mke wake mitoto yote mijinga, lakini aliyezaliwa kwenye nyumba yako ndiyo intelligent. Nakwambia utanyang'anywa anapoingia university. Na gharama zote za kutunza zinakuwa ni bure.
 
nimependa.....'kibamia'....duh....mwanawane......
kibamia hiki hiki ninachokifahamu au kuna kingine.........?
ni hicho hicho kibamia!!ila usiku kinakuwa tango!!!umefika lakini na ile buibui yako!!!
 
Mkuu kaona dogo ana muhogo wa kufa mtu,mshua unasubiri
hapo dogo ana 5yrs,lazima uogope,may be wife alichoka na hicho kipisi cha sigara mkuu
kampime dogo DNA fasta
 
Tatizo limekuja pale kitinda mimba wa miaka 5 anapomzidi baba yake dushelele

Akiamka tu mtoto, kitu kinasimama kuanzia saa 12 asubuhi hadi saa 3 asubuhi, kuna wakati inabidi wakiwekee maji ya baridi ili kipoe

Babu Dark City, hebu ita na wazee wenzako mje mponye hii ndoa, naona iko hatarini

Nami nauliza hivi:-
  1. Ni kibamia hicho hocho kilichosababisha hao wengine wawepo duniani?
  2. Hicho kibamia kimegundulika lini kwamba sio 'functional'?
  3. Kama jibu la swali la kwanza hapo juu ni SIO, basi akapime DNA za watoto wote.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom