Mtoto wangu wa Kiume kweli siku bambikwa

Mtoto wangu wa Kiume kweli siku bambikwa

matusi mengine katika ndoa hayafai jamani.kumwambia mume wako kibamia,ni kumfanya asijiamini tena mkiwa 6 kwa 6.muangalie ya kutukana.wakati hicho kibamia chake ndio kinakuburudisha.maybe wote mna matusi yenu.na huyo mzazi nae,alalamike kuhusu dushelee la mtoto wake mwenyewe ambae ni mdogo haifai
 
matusi mengine katika ndoa hayafai jamani.kumwambia mume wako kibamia,ni kumfanya asijiamini tena mkiwa 6 kwa 6.muangalie ya kutukana.wakati hicho kibamia chake ndio kinakuburudisha.maybe wote mna matusi yenu.na huyo mzazi nae,alalamike kuhusu dushelee la mtoto wake mwenyewe ambae ni mdogo haifai

Mimi nikiambiwa nina KIBAMIA namwaga talaka ASAP!!!
 
There ought to be a license for reproducing.
 
Nakushauri umkalishe mkeo chini umuulize aseme ukweli sababu mwanamke siku zote ndie ajuae mtoto baba yake ni nani. Akishakubali na kukomba radhi basi yaishe. Kwani wewe hujawahi kutoka nje ya ndoa? Je, kama nawe umeshazaa huko na hujui? Hili ni swala gumu sanana linaweza kusambaratisha hiyo ndoa lakini ukilichukua kwa hekima unatoka tu hapo!!
 
kwanza namshangaa mtoa mada anauliza eti kibamia kama atafaidi tendo la ndo na mashaka na story yake ni ya kupika we utuulize kama utafaidi na huku umekaa muda mrefu kwenye ndoa na watoto ni wakubwa!

Ujanielewa kidogo, pindi nikigundua kwa DNA kama mtoto sio wangu, nitaenjoy kweli mapenzi na kibamia changu ili hali nikiamini baba wa mtoto alikuwa na dodoki kubwa
 
Pole sana. Jitahidi kupata ukweli juu ya huyo mtoto kama ni wako au la. Kujua mtoto ni wako au si wako ni value by itself. Watu wasikudanganye kuwa hakutakusaidia. Hapana! Kutakusaidia sana kwani kujua ukweli ni value kubwa sana. Ikitokea ikathibitika kwamba mtoto si wa kwako, hapo sasa itabidi uende ngazi ya pili ya kuamua au unamlea kama mtoto wa kambo au baba ya mtoto apelekewe mtoto wake amlee. Yaishe na wewe uendelee na ndoa yako. Kumbe jitahidi kapime hiyo DNA au ongea kwa upole sana na mkeo ili akuambie ukweli wote.
 
Pole kwamtoro, imekutokea wewe ila umewakumbusha wanawake wengi wa JF kati ya kitu ambacho awatapenda waume zao kuhoji mpaka siku wanakufa. All in all Kitanda akizai haramu as wanaume, tunavumilia vingi sana
 
hahahah wasiwasi wa nini wakati kibamia ndio kilitoa hao wa kwanza?? nenda kwa wamasai wakakupe tango uachane na kabamia
 
Kiongozi nakushauri achana na mambo ya DNA unless upo tayari kuchanganyikiwa. Hiyo size siyo lazima inawezekana wajomba zake yaani shemeji zako ndoo wamemlandisha mtoto kujaliwa huko. Pili umeshaingia gharama sana na umeishi kwa amani na mkeo, siku DNA ikikwambia tofauti unawezakujikuta unafukuza mke pamoja na watoto na unachanganyikiwa kichizi.
Na DNA ikisema ndiyo ni wakwako itakuwaje mama mtu atakapomwambia mtoto wako wa kiume kuwa baba yako alishawahi kukukataa mpaka tukaenda kupima ndoo akakukubali? Huyo mtoto hatakaa akutambue kama baba tena kwani si tu umemzalilisha mama yake bali na yeye atajua humpendi ndoo maaana ukafanya yote hayo. Be careful before u decided for DNA
 
Kama unataka kupima DNA mbona ni rahisi vizia mama kalala kata unywele mmoja,mtoto na fanya hivyo nawe uwende hospitali mwenyewe kama unaona unywele tabu basi fanya kila mbinu kupata mate yao nenda nayo.
Mind you, kwakuwa umeanza kwa huyu utafanya kwa kila mtoto na kama utakuta siyo wako utaua? We kuwa mpole, inaonekana hata biology haipo kwako kabisa, katika ukoo wenu na wa kwao na mwanamke hakuna mweusi? Je kwenye ukoo wenu wote mna vibamia? Ngoja nikupe mfano, kwao na bibi yangu ni weupe asilimia 75 ila ni wafupi ila kwao na babu ni weusi asilimia 80 ila ni warefu ajabu 6ft+ majority ila sisi tumechukua weusi wa babu na ufupi wa bibi siyo ule ufupi unaodhani ila ukulinganisha na ndugu wengine upande wa baba kama mi ni 1.78m bila kiatu, We elea wanao tu
 
nimependa.....'kibamia'....duh....mwanawane......
kibamia hiki hiki ninachokifahamu au kuna kingine.........?

Ha ha Preta ni kile ambacho ukiwa katikati ya gemu umenogewa halafu bahati mbaya mwanamke akikohoa tu kinachomoka!!! Wanawake hawavipendi hivi kabisa!! Wewe unafahamu kabamia kapi? Kabamia si unajua ni kadogodogo hivi halfu kembamba? Ni tofauti na tango lililowekewa mbolea ati.
 
Aisee,kama mtoto yuko hivyo huyo mwizi wako ilikuwaje?
alifaidi kweli!! (presha)

Nimeipenda hii, mwizi alikuwa anapewa anapakua, mama anafikishwa mahala pake wewe na kibamia chako buree kabisa, ile unashtuka refa keshaweka mpira kati, natamani kama hata mie ningekuwa mwizi wako, my wife wako/wangu angenipindaje?
 
Kabla ya kwenda kupima DNA, ebu chunguza tabia na haiba ya mwanao, inawezekana ni wa kwako licha ya kuwa umejaa mashaka. Rejea picha hapa chini:
 

Attachments

  • DNA ya nini 2.jpg
    DNA ya nini 2.jpg
    28.5 KB · Views: 35
  • DNA ya nini 1.jpg
    DNA ya nini 1.jpg
    23 KB · Views: 40
  • DNA ya nini 3.jpg
    DNA ya nini 3.jpg
    27.2 KB · Views: 35
Naona kuna mahitaji makubwa ya kupima DNA, ngoja wajasiriamali tuingie huku/
 
Achana na stress zisizo na maana... asilimia 40 ya watoto walioenda kupimwa DNA waligundulika sio wa 'baba' zao... hili ni jambo la kawaida, wala halihusiani na kibamia... mkeo inawezekana anasema una kipiriton, kumbe ni tatizo lake ana dudu kubwa...
Utajisikiaje ukianzisha bifu na mkeo, alafu mkienda kupima ukakuta mtoto ni wako 100%? Sio mara zote mtoto anafanana na mzazi wake kila kitu... so tulia, thamini amani iliyopo katika familia yako...
 
Back
Top Bottom