Mtoto wangu wa Kiume kweli siku bambikwa

Mtoto wangu wa Kiume kweli siku bambikwa

hahaaaaaaa nimecheka sana kweli vibamia kazi....!
 
Mhhh sijakuelewewa! Ina maana mwanao ana mshedede kuzidi wewe? Basi kweli una kapiritoni...LOL

Yani sipati picha iyo dushelele aliyonayo hata kibamia kikubwa! Full kuogelea kwi kwi kwi kwi kwi!
 
Mimi Baba mtu kibamia, mtoto kafanana na mama yake kiasi Fulani, kwangu ayupo kabisa, kipindi cha nyuma kabla ya mtoto huyu kuzaliwa, mama yake alishawahi nitukana kwamba mimi mwanaume suruhali, nina kipiriton. Kingine mimi na mama yake weupe ila uyu mtoto mweusi

Je naweza kwenda pima DNA na nikitambua mtoto sio wangu itakuwaje? Ili hali nimeudimia mimba na mpaka umri aliofikisha.

Kikubwa naitaji kumlea ila nataka mama yake atambue mtoto sio wangu kama itabainika. Je nitatumia njia hipi kumshawishi mpaka akubali kupima DNA. Au ndio dhana ya kitanda akizai haramu.

Kwa mtoro...mtoto wa miaka mi5 kweli size yake ya uume tu ndio ikutishe mpaka kudai si mwanao kisa wewe una 'kipiritoni'? Au kuna mengine hapo huyasemi!? Si lazima baba akiwa kajaaliwa uume mkubwa basi na mtoto atakuwa nao, au kama ana kipiritoni basi na mtoto atakuwa nacho! Wala tofauti ya size ya uume si jambo la kukufanya hudhani si mwanao..

Unapotaka kufanya kipimo cha DNA lazima kuwe na lengo...labda mnagombania mtoto, au unadhani umesingiziwa mtoto unamgharamia, kwa hiyo unataka kujua ukweli hujiepushie gharama, ni jambo limekuathiri kisaikolojia kiasi huwezi tena endelea na mkeo, inabidi kuachana.....wewe hutaki hata moja kati ya hayo!

Kama DNA ikionyesha si wako...humuachi mkeo, humtosi mtoto, na una wasi wasi inaweza hatarisha zaidi maisha yenu ya kingono zaidi ya tatizo hilo la kipiritoni....sa unataka kupima DNA ili iweje!!? Ukikuta ni mwanao je, utakavyoumumbuka...na kipiritoni chako bado kitabaki hivyo hivyo, na mkeo ataona humuamini kabisaaa sababu tu ya 'infiriority complex' yako na kipiritoni chako....unamuambia 'indirect' akatoe nje!

Kwa kweli kama huna pla...usiende kupima DNA.
 
Nimekusoma japo kwa shida.

Sasa hao watoto wengine ni jinsia gani?

Je umeshawai kuwa ktk uzazi wa mpango kabla ya mimba ya huyo dogo au la?

Rangi ya mtoto haina uhusiano na weupe wako au wa mkeo. Nenda google check twins with different colour uone

DNA nimaamuzi yako na mkeo kaeni chini muamue.

Ni vizuri umesema unataka mlea mtoto.

Je toka mtoto amezaliwa hadi anafika miaka 5 ulikua uingii nyavuni?
 
Vitu vinavyofanya usiamini kwamba mtoto ni wako ni:-
1.Rangi ya mtoto,mweusi wkt wewe ni mweupe
2.Mtoto Dushelele yake ina nguvu za kutosha wakati wewe ni mwanamme suruali tu
3.Mtoto kitu Mandingo (8") wakati wewe ni bamia 2"

Nenda kapime DNA!!

We bora nikuite mjinga tu ili niridhishe nafsi, umenikumbusha mbali sana mambo ya "Mandingo" balaa! Duh!
 
Yakhe kitanda hakizai haramu! we meza jiwe hilo leshakuwa lamoto atiii...Ukipima DNA unataka iweje? Nijuavyo unaweza ukawa na kidogodogo lakini cha-upepo halafu ukawa nalo kuuuubwa lakini mdebwedo kwa taarifa yako wanawake hawafikishwi kileleni kutokana na ukubwa wa kandodo, labda uwe umetokelezea na kichwa peke yake!:smiling:
 
wacha mapresha kwa kweli mtoto ni wako ila sio lazima akufananie bwana unajua genes wewe zinapass from one generation to another .
 
Mkuu kaona dogo ana muhogo wa kufa mtu,mshua unasubiri
hapo dogo ana 5yrs,lazima uogope,may be wife alichoka na hicho kipisi cha sigara mkuu
kampime dogo DNA fasta
acha kumshauri mwenzio jambo ambalo linawezq kuhatarisha ndoa yake. kumbuka wana watoto wengine mnataka kuongeza watoto wa mitaani? hao waliopo tu tunashindwa kuwapatia mahitaji yao. hao watoto as long as wamezaliwa katika ndoa ni wake 2. hakuna m2 wakumsumbua.
 
Ila mmmh

Kitusipiki kichakarikani? lazima kinaboa sana
Yaani kama mkia wa kitimoto??Duh!

Yakhe kitanda hakizai haramu! we meza jiwe hilo leshakuwa lamoto atiii...Ukipima DNA unataka iweje? Nijuavyo unaweza ukawa na kidogodogo lakini cha-upepo halafu ukawa nalo kuuuubwa lakini mdebwedo kwa taarifa yako wanawake hawafikishwi kileleni kutokana na ukubwa wa kandodo, labda uwe umetokelezea na kichwa peke yake!:smiling:
 
Kama huyo mtoto niliyemlea akikubali kuchukuliwa na babaye akiwa mkubwa wa kuingia chuo kikuu

Na hali akijua kabisa nimemlea kwa mapenzi yote, let it be
Hehe, nimeshuhudia kwa macho yangu kijana ambaye amegraduate IFM last year amemkataa babake baada ya baba mwingine kujitokeza na kumwambia yeye ndiye babake halali. Tena huyo baba asivyo na adabu alimfuata tu dogo na kumweleza ukweli wote juu ya ubaba wa huyo baba. Dogo akatoka speed kwenda kumuuliza mamake. Mama akakataa, dogo akaita ndugu ili wamuulize mamake. Mama alipobanwa akakubali. Dogo akatamka hapohapo kwamba anashukuru kwamba amempata babake halisi. Baba aliyelea na yeye akasema as far as mama amekubali kwamba yule ndiye mzazi wa mtoto basi yeye hana neno. Na it appears huyu baba mlezi hakuwahi hata kuhisi kwamba yule mtoto si wake. Sasa hapo ndo utakaponiambia machungu yake.
 
Umetumia busara sana kujibu

Yaani huyu mtu hakuna ushauri wa maana waweza mpa, maana curiosity haijatokea tu, lazima kuna mahali anamaswali ila kashindwa kuyaweka hapa

Mhhh! Pole sana.
 
  • Thanks
Reactions: BAK
kwanza namshangaa mtoa mada anauliza eti kibamia kama atafaidi tendo la ndo na mashaka na story yake ni ya kupika we utuulize kama utafaidi na huku umekaa muda mrefu kwenye ndoa na watoto ni wakubwa!
 
Kama mtoto atamsahau baba mlezi, haina hata haja ya mlezi kujutia

Maana watoto wa kambo nao wana tabia za ajbu kweli

Hehe, nimeshuhudia kwa macho yangu kijana ambaye amegraduate IFM last year amemkataa babake baada ya baba mwingine kujitokeza na kumwambia yeye ndiye babake halali. Tena huyo baba asivyo na adabu alimfuata tu dogo na kumweleza ukweli wote juu ya ubaba wa huyo baba. Dogo akatoka speed kwenda kumuuliza mamake. Mama akakataa, dogo akaita ndugu ili wamuulize mamake. Mama alipobanwa akakubali. Dogo akatamka hapohapo kwamba anashukuru kwamba amempata babake halisi. Baba aliyelea na yeye akasema as far as mama amekubali kwamba yule ndiye mzazi wa mtoto basi yeye hana neno. Na it appears huyu baba mlezi hakuwahi hata kuhisi kwamba yule mtoto si wake. Sasa hapo ndo utakaponiambia machungu yake.
 
Ulienda wapi?

Ujue Bishanga nimemteka nyumbani kwangu

kwanza namshangaa mtoa mada anauliza eti kibamia kama atafaidi tendo la ndo na mashaka na story yake ni ya kupika we utuulize kama utafaidi na huku umekaa muda mrefu kwenye ndoa na watoto ni wakubwa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom