Pole sana,wote wewe na mkeo mnahitaji uvumilivu na ujasiri katika kimlea mtoto mwenye tatizo hilo.Mungu awape wepesi.Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
Nimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
poleni sana mkuu ila kipindi kingine mama akitaka kubeba ujauzito atumie folic acid kabla na kwenye ujauzitoNimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
Mungu awape nguvu,busara na hekima katika kumlea huyo mtotoNimepata taarifa ramsi kutoka kwa daktari hapa hopitali ya Sokoine. Nimeambiwa mtoto ana utindio Wa ubongo .
Pole mkuu tumwombe munguHabari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu. Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu havitikisiki. Maziwa anapewa kupitia mabomba. Ila anapumua na kupata choo . Naomba msaada wenu. Kama kuna hospitali au daktari ambaye ni specialist Wa watoto naomba nielekezwe.