Habari wakuu! Mke wangu amejifungua mtoto Wa kiume tangu tarehe 2 mwezi huu Wa Tatu.
Ila mtoto tangu amezaliwa hafumbui macho, hawezi kunyonya, hatikisiki yaani viungo vya mkono na miguu havitikisiki.
Maziwa anapewa kupitia mabomba. Ila anapumua na kupata choo. Naomba msaada wenu. Kama kuna hospitali au daktari ambaye ni specialist Wa watoto naomba nielekezwe.