- Thread starter
- #41
Daktari anasema "Amezaliwa akiwa amezidisha umri Wa kukaa tumboni. Amezaliwa akiwa na miezi kumi"Pole sana kwa matatizo yanayomsumbua mtoto wako. Mimi ningeomba kuuliza...je kabla hajazaliwa mama alikuwa anapata/kusikia mtoto akicheza tumboni kama kawaida? Na je amezaliwa kwa njia yakwaida au upasuaji? Mwisho ujauzito ulikuwa umekamilika? Nikimaanisha amezaliwa kipindi chake Na sio kawahi au kachelewa kuzaliwa?