Mtoto wa nje ya ndoa

Mtoto wa nje ya ndoa

Maindainda Hii threat ni ya zamani kama bado yupo tupe feedback

Asanteni wote kwa ushauri. Walionitukana siwajali. Walionitia moyo nashukuru.
Amenisamehe ila imekuwa ngumu kumkubali mtoto. Namhurumia mtoto. Mungu anipe maisha marefu amalize shule nikiwepo maana amefika kiwango kikubwa cha elimu. Huyo Bazazi hajakuja kumdai tena wala kumuulizia.
Kwaherini.
 
Kwahiyo ulimwambia ukweli Mr wako kua huyo si mtoto wake? Na mtoto nae anajua huyo si babake Tena?
 
Maji yalishamwagika. Kilichobaki wewe kutumikia madhambi yako kimya kimya ili yasiwathiri vibaya mume na mtoto wako! Haisaidii kwa wakati huu kujitangaza kuteleza kwako, na badala yake utasababisha simanzi, majuto, na taharuki kubwa zinazoweza kuzuilika kwa ukimya wako. Unachoweza kufanya ni kutubu kwa mola wako ili akusamahe!
 
Hii itaendelea kuniweka mbali na ndoa.. Hili ni tatizo la kuoa mwanamke ambaye Haijui thamani ya Utu wake wala ndoa aliyonayo.

Wanawake wa aina ya mtoa mda ni aina ya wanawake wengi wanaosababisha ongezeko la watoto kutangatanga au kulelewa na wamama wa kambo hasa linapotokea suala kama Hili.

Wengi wao wameigeuza ngono kama silaha ya mwisho kupata suluhu katika matatizo Yenu. Ningekuona wa maana kama Ungeigusia sababu iliyokufanya ucheat ndipo tukushauri Vizuri otherwise Tegemea kuvuna kubwa zaidi na la aibu kwa Ujinga wa kutokuijua Thamani Yake.

USHAURI

Ni Mungu pekee wa kukimbiliwa katika matatizo kama haya.

Ni Mungu pekee anayeweza kukutoa kwenye msala huu na kukupa Ufumbuzi

na Pia ni Yeye pekee amayeweza kulifanya hili kubakia kuwa Siri milele.

Ingawa sisi tunakushauri, lakini bila nguvu na uwezo wa muumba kamwe ushauri wetu hautakusaidia kitu.

Piga Goti kwake Allah Yeye ni mwisho wa matatizo Yote na hajawahi kusumbuliwa wala kushindwa na Kitu Chochote.

Daima Usikubali kutenda Kitu kidogo ambacho kitakufanya ujijutie milele....
 
Sababu hii ndio ikufanye usioe? U are not serious mkuu. Si wanawake wote wapo kama mtoa mada.

cheating ipo both sides...na amesema mwenye mimba ni mume wa mtu pia. Haya huyo mume wa mtu kutembea na mke wa mtu mpk kumpa mimba ndo tabia gani? So na sie wadada tusiolewe kwasababu waume wanazaa nje ya ndoa?

Maisha au ndoa ya watu fulani si lazima ifanane na ya kwako. Utaoa utapata raha tu ingawa changamoto hazikosekani. zinaweza zikawa ndogo ndogo au kubwa kuliko ya huyo dada.

muda ukifika utaoa tu. Na wala hutaukumbuka huu uzi.
 
Inabidi na si wanaume tukubaliane na hii hali maana na sisi tunawatambulishaga watoto wa nje kwa wake zetu na wanakubaliana na hali kama BABA YANGU ALIVYONITAMBULISHA KWA MKE WAKE (mama mkubwa) maana alifanya mapenz na mama yangu mzaz akiwa na mke tayar na huy mwanamke ananichukulia kama mwanae wa kumzaa
 
Bora wewe umeliona hilo, japo wenzio hawatakubali abadani wao wakizini naikatokea mtoto kuzaliwa aaah raha kimbembe kwa mwanamke sasa ataitwa majina yote mabaya.
 
Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,

Naomba msaada katika jambo hili.

Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni jambo lililonitokea mimi maishani.

Kwa kifupi ni kwamba nina mtoto ambae najua si wa mume wangu! Amelelewa na huyu baba bila kujua kwa upendo mkubwa, kulipa ada za shule na mahitaji yote. Kusema kweli haijakuwa jambo rahisi maana kila anapomuita baba mimi moyo wangu hujaa simanzi. It happenned that I was at a wrong place with a wrong guy and it happenned. Si tabia yangu na wala sikujidhania kwamba siku moja naweza kuisaliti ndoa yangu.

Huyo baba mwenye mtoto ana mke, simpendi kimapenzi na wala hatuhusiani tena, ikiwa ni pamoja na kuwa hajawahi kumtunza mtoto huyu ingawa anaweza. Sikutaka afanye hivyo. Tatizo ni kuna wakati fulani aliwahi kusema kuwa atakuja kumchukua mtoto wake siku moja, kivipi sijui. Naona ana fujo maana sioni uwezekano wa jambo hili labda avunje ndoa yangu kwanza. Sio kutokana na sababu hii ila kwa muda mrefu tangu nikiwa na mimba ile nimetaka kumwambia mume wangu ukweli lakini nimeshindwa. Maisha ya masikitiko na kuwaza jamani naona nashindwa na nataka nimwambie ukweli na atoe hukumu yake.

Naomba mnishauri hasa wanaume- ingekuwa wewe ungefanyaje? Nimwambie au niache?
Hili ni tukio la kweli, naomba ushauri usiwe katika yafuatayo:
1. Kusema kwamba mimi msaliti na mke mbaya-hilo nalijua na wengi wenu mnayajua haya na haitanisaidia sana.
2. Kusema nimefanya ngono zembe nikapime ukimwi - nimepima na sina

Naomba msaada.

ungekuwa ndo wewe umefichwa ungefanyaje??
 
Ukimwambia ukweli, kwa sisi wanaume wa siku hizi, mfano ni mimi, chance ya kukuacha ni 95%, 3% kukusamehe na 2% sijui ningefanya nini.. But I'd rather being told the truth na wewe mwenyewe kuliko kuja kusikia kwa mtu mwingine.
 
wewe ni mbinafsi ndo mana unamficha mwenzio
shame
unajua mchepuko wako unauwezo wa kumhudumia uyo mtot ila unaacha mwenzio aumie??

Hakyamungu amini nakwambia mumeo kitamuuma sana na hata atakuacha , kwasababu unampigisha bili sio zake na umekatwa nje...

wewe chakuja apa kuomba ushauri ni jinsi ya kuomba msamaha milele kwa mumeo
 
You sinned against God ,muombe Mungu akupe amani siku moja atakupa kibali
 
Sababu hii ndio ikufanye usioe? U are not serious mkuu. Si wanawake wote wapo kama mtoa mada.

cheating ipo both sides...na amesema mwenye mimba ni mume wa mtu pia. Haya huyo mume wa mtu kutembea na mke wa mtu mpk kumpa mimba ndo tabia gani? So na sie wadada tusiolewe kwasababu waume wanazaa nje ya ndoa?

Maisha au ndoa ya watu fulani si lazima ifanane na ya kwako. Utaoa utapata raha tu ingawa changamoto hazikosekani. zinaweza zikawa ndogo ndogo au kubwa kuliko ya huyo dada.

muda ukifika utaoa tu. Na wala hutaukumbuka huu uzi.
yap najua Muda ukifika nitaoa na nitakuwa na familia yangu.. Na pia najua mahusiano na ndoa Yangu haiwezi kufanana na Ya Huyu mtoa mada. Lakini unaposikia mwanamke aliye ndani Ya ndoa kuzungumzia Hilo la kuzaa na Mume wa mtu ni lazima sisi ambao hatupo huko tushtuke na Kujiuliza Hivi huko kuna usalama kweli? Kama watu wanaacha waliyowaoa na kwenda kuzaa na Mwingine aliyeoa unadhani unaweza kukeep out Of Ur mind without kujiuliza maswali?

Hofu lazima iwepo mkuu hasa kwa sisi wanaume kwa kuwa kugongewa kunauma kuliko hata kufiwa...

Muda ukifika Kweli nitaoa lakini nahitaji ndoa Yangu iwe na Imani, uaminifi, upendo,heshima, kuthamini na kujali kwa kuwa tunaingia kwenye ndoa ili tupate kutulia sio kuhangaika tena
 
Asanteni wote kwa ushauri. Walionitukana siwajali. Walionitia moyo nashukuru.
Amenisamehe ila imekuwa ngumu kumkubali mtoto. Namhurumia mtoto. Mungu anipe maisha marefu amalize shule nikiwepo maana amefika kiwango kikubwa cha elimu. Huyo Bazazi hajakuja kumdai tena wala kumuulizia.
Kwaherini.
Dada ungetupa mrejesho tuburudishe nafsi zetu
Huo hapo
 
Asanteni wote kwa ushauri. Walionitukana siwajali. Walionitia moyo nashukuru.
Amenisamehe ila imekuwa ngumu kumkubali mtoto. Namhurumia mtoto. Mungu anipe maisha marefu amalize shule nikiwepo maana amefika kiwango kikubwa cha elimu. Huyo Bazazi hajakuja kumdai tena wala kumuulizia.
Kwaherini.
Aisee huyo mwanaume wako ni wa kipekee mimi ningekukatakata vipandevipande nichimbe shimo nikufukie.
 
Asanteni wote kwa ushauri. Walionitukana siwajali. Walionitia moyo nashukuru.
Amenisamehe ila imekuwa ngumu kumkubali mtoto. Namhurumia mtoto. Mungu anipe maisha marefu amalize shule nikiwepo maana amefika kiwango kikubwa cha elimu. Huyo Bazazi hajakuja kumdai tena wala kumuulizia.
Kwaherini.

Huwezijua, kadri muda unavyoenda ataendelea kujitafakari na mambo mengi sana yatapita katikati lakini itafika muda taratibu hali itaanza kutulia na huenda akaja kumkubali mtoto mbele ya safari.

Uzuri ni kwamba imeshatua mzigo na hiyo sio habari ya kukuumiza tena au kuogopa isijekujulikana kwa sababu tayari umeshamwambia mumeo. Ila enenda usitende dhambi tena.

sisi wanaume ni watu wa ajabu sana, anaweza kukuacha akujua umechepuka hata kama na yeye kayoka kuchepuka wakati anakukamata.
 
Back
Top Bottom