nyumba kubwa
JF-Expert Member
- Oct 8, 2010
- 10,309
- 8,397
Aisee nani kaibua hii thread. Nilidhani ni mpya!
Wahenga walisema kitanda hakizai haramu, hii ni kudhiilisha kuwa tangia zamani walikuwa wanateleza kama ulivyofanya wewe lakini inakuwa siri ya ndani na mara zote uhalali wa mtoto kwa babaye ni mama anayejua.
Kwa misingi hiyo usijaribu kutoa siri hii unless huna tena shida na ndoa yako hii, huyo aliyekupa mimba ni mkware tu na wala hawezi kuwa na sifa za kulea mtoto ambaye mmesha m raise katika maadili na miiko ya upande wababa anaye mlea maintain hivyo hivyo for the sake of your child vinginevyo mtoto ataathirika kisaikolojia na hata akichukuliwa na huyo unaye mpa haki ya u biological father hatakuwa na maisha mema atajihisi kutengwa hata akipewa mapenzi ya namna gani.
Pia usisahau kule nako kuna mke atakayekasirishwa kwa kitendo cha mumewe kuzaa nje hivyo hasira atamalizia kwa mtoto wako!
Wakuu amani iwe juu yenu nimeisoma muda mrefu sana hi tred na huwa nashindwa kushauri kwakuwa huyo mdada aliyo nayo ndo niliyo nayo mimi huwa nachek kilamara kuona alifikia wapi na hii skendo lakini hajaileta janvini kifupi mimi na naona ni bora aendelee kuficha siri kama mimi nilvyo kaukanayo mkewangu amezaa mtoto nje ya ndoaa niligundua hili alipokuwa mjamzito kwakuwa mimi shugulizangu nyingi ni zakusafiri niliondoka nikamuacha akiwa kwenye sikuzake na nilisafiri kwakipindi cha miezi2 njeya nchi niliporudi nikamkuta wenzangu yupo kwenye hali yakuwa mgonjwa mgonjwa na kutpika hakuishi kuwa nikajua huyu mtu tayari kanasa nikamchukuwa hospitali kachekiwa hakuwa na tatizo lolote mganga akashauri apime mkojo inaweza kuwa ni ujauzito kuipima ikawa kweli kabeba mimba. tukaendelea na kulea mimba na mapenzi yetu yalizidi sikuhadi siku lakini akilini najua hii mimba sio yangu nikapiga hesabu zangu lakini nikaona ni bora kungoja matokeo, lakini kila kukicha namuona mwenzangu kama anuchungu fulani hivi na mapenzi yana zidi mpaka anafikia kulia maraninyingi alikuwa anaamka usiku na kukaa ananitiza sura na kunipapasa usoni nikistuka ananiomba msamaha pole mumewangu nimekustua usingizini nikasema ananikumbatia tunalala, nikahisi ni mimba ndo ina mfanya hivyo. ikafika siku ya kujifungua nikampeleka hospitali akazaa slama mama yake na baba yake waka wamefika tumkaa nje pale nesi atuuliza mnataka kumuona mtoto tuwaletee tukasema itakuwa vizuri akaletwa mtoto na my wife akatoka nikapewa mtoto nimbeba mama mkwe akanipoea tulipokuwa tumekaa mkewangu alikua karibu sana nami akaniuliza huyu mtoto yukoyuko vipi. nikamuuliza wewe kwani unamuonaje akajibu simuelewielewi. huku akiwa kanishika mkono nikashindwa kumjibu nikanyamaza na ikafuatia siku ya pili nikamchukuwa home na mpaka leo hii naishi nae na mtoto anmiaka mi2 na nusu huwa nafkiri kumwambia lakini nashindwa kutokana na mapenzi aliyo nayo kwangu na ananiona kama vile ni inosent kila siku mapenzi yake yanazidi kwangu naogopa sijui itamuasiri kiasigani akijua kuwa nafaham kuwa huyo si mtoto wangu imebidi nimezee kama vile sijui na kitoto kizuri maskini nakionea huruma nakipenda sana lakini mpaka leo sijui mkewangu anaumia kiasi gani katika moyo wake huwa hana furaha napokuwa mbalinae, namuonea huruma sana. nilimpenda sana awali lakini mapenzi yalipungua baada ya kugundua alinitenda japokuwa alifanya hivyo lakini bado na mpenda SAMAHANI NIMEINGILIA TRED LAKINI BADALA YA KUANZISHA NIBORA HAPA KWAKUA NI KESI MOJA
mama
unachotakiwa ni kukaa kimya na kwa hali yoyote huyo mzinzi mwenzio hata kuja kumfuata mtoto kwani kwa kufanya hivyo hilo ni fumanizi na kama ni mtu anayejiheshimu hawezi ingia kwenye kesi ya Fumanizi.
Siwezi kukulaumu kwani yawezekana ulikuwa na sababu ya kumweleza huyo mwizi kuwa unayomimba yake na hapo ndo tatizo lilipoanzia kwani ni watu wengi sana wanatembea nje ya ndoa wake kwa waume sumu kubwa kwa wake ni kumwambia hawala mimba ni ya kwake.
Hivyo kama unampenda mumeo dont tell him but if u think that guy is better than your man tell him kwani ni wazi atasononeka sana na hamtaishi kama mlivyozoea na kama kulikuwa na furaha itakwisha THINK TWICE BEFORE YOU DECIDE
A mistake has already been done...and your feelings demonstrate that you are affected by your own deeds; and let it torment you and you alone for the rest of your life AND you should NEVER reveal that secret for you will cause unneccessary physical and psychological pains to THE KID and your husband. AND the damage wil be unrepairable and may lead to divorce. But repent silently... and mind you not every truth liberates. What do you expect the kid to react when you spill the truth...do you expect him to be the same? This will Save both your kid and your marriage.
Hakuna mtoto wa nje ya ndoa, watoto wote ni sawa and they deserve same treatment. Huwezi jua!
Dah...........pole sana ndugu.....................ILA Huoni kuwa ukimweleza kwa upole na upendo utamsaidia kumtua mzigo wa msongo wa mawazo alionao.Ukimya wako unampanish ile mbaya.Mi nakushauri mwambie ILA usipunguze upendo kwake,ikiwezekana uzidishe.
Sijui hata kama anakumbuka hii makitu!Maindainda Hii threat ni ya zamani kama bado yupo tupe feedback