Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,
Naomba msaada katika jambo hili.
.
MKUU umenifundisha kitu jamaa alijuaje kama ni mtoto wake.ila aseme tu ukweli mimi ningeelewa ila ndoa ingeisha kwa amani tu.Kama ni mimi ungeweza kuniambia .... Isingekuwa ni big deal.
I am different charater on this palnet.
Ungekuwa na maswali machache tu ya kunijibu ili kutegeneza hii issue.
Ni uwuzi, tena uwazi kabisa kabisa..ungekuokoa...But dont do this to ua husband...maana mimi naye inawezekana tunatofautiana sana.
Lakini kwanza ..tell me all this very HONESTLY...hata kama ukisikia kufa...Just tell it as it was....Jibu kama mimi ni mume wako!
Was you forced into the act?
What really drove you to that ..Chap?
Ulikuwa fully aware when you went with him?
Unafikiri mimi ningetakiwa nifanye nini ... ili usiende naye ..hapa nina maana there was ..weakness in my part ndio maana..ukapata hiyo nafasi.
Na
Kabala sijaendelea..?
Ilikuwaje Baba wa mtoto akajua kuwa una mtoto naye?
Did you tell him?
Why?
Ulivyomuabia ..didi you fill Highhh..yaani ulikuwa unajisikai vizuri..yaani kama umemkomesha mumeo .....kitu kama hicho..just be very frankly...
Let me get all this answers before you get my advice...!
I am sure all will be very fine..if this is true..story..!
vyovyote iwavyo ningekuwa mimi ningeupokea ukweli ila niwe honest nisingekutana nawewe kimwili tena,ila ningekuhudumia kwa hali zote amini hivyo.wasi wasi wangu ni kwamba asije akakudhuru kwa kipigo,nakipigo chenyewe kiwe kibaya.namizingirwa na hofu kuu maana wanaume wengi si wastahimilivu.Napenda umwambie ili uwe huru lakini naogopa madhara yake.je huwezi kutafuta watu wenye hekima wakamwambia angalau kusiwe na madhara nakubwa.nisichotaka mimi ni wewe kudhuriwa.Mungu akuongoze aisee,pole sanaPalloma,
Nimekuelewa, pole sana. Watoto wengi wa nje ya ndoa hukosa raha wanapojua. Hii ndio faida ya JF, wengi wanajifunza, najua wapo wengine kama mimi katika forum hii, wake kwa waume.
Ni katika mazingira gani ulijua wewe una baba mwingine, yaani alikuambia au?
Kuna uhusiano gani kati ya mama yako na baba yako biological kwa sasa?
Kama baba mlezi anakupenda sana kwa nini unajisikia bado wataka kuhusiana na huyo mwingine?
Asante kwa kutokumtukana mama yako kwa kitendo alichokifanya.
Every thing has a price . That is the price you have to pay for your infidelity and the situation will worsen once your husband finds out about this. For now enjoy the psychological torture that you have to enjoy until the DdayNdugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,
Naomba msaada katika jambo hili.
Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni jambo lililonitokea mimi maishani.
Kwa kifupi ni kwamba nina mtoto ambae najua si wa mume wangu! Amelelewa na huyu baba bila kujua kwa upendo mkubwa, kulipa ada za shule na mahitaji yote. Kusema kweli haijakuwa jambo rahisi maana kila anapomuita baba mimi moyo wangu hujaa simanzi. It happenned that I was at a wrong place with a wrong guy and it happenned. Si tabia yangu na wala sikujidhania kwamba siku moja naweza kuisaliti ndoa yangu.
Huyo baba mwenye mtoto ana mke, simpendi kimapenzi na wala hatuhusiani tena, ikiwa ni pamoja na kuwa hajawahi kumtunza mtoto huyu ingawa anaweza. Sikutaka afanye hivyo. Tatizo ni kuna wakati fulani aliwahi kusema kuwa atakuja kumchukua mtoto wake siku moja, kivipi sijui. Naona ana fujo maana sioni uwezekano wa jambo hili labda avunje ndoa yangu kwanza. Sio kutokana na sababu hii ila kwa muda mrefu tangu nikiwa na mimba ile nimetaka kumwambia mume wangu ukweli lakini nimeshindwa. Maisha ya masikitiko na kuwaza jamani naona nashindwa na nataka nimwambie ukweli na atoe hukumu yake.
Naomba mnishauri hasa wanaume- ingekuwa wewe ungefanyaje? Nimwambie au niache?
Hili ni tukio la kweli, naomba ushauri usiwe katika yafuatayo:
1. Kusema kwamba mimi msaliti na mke mbaya-hilo nalijua na wengi wenu mnayajua haya na haitanisaidia sana.
2. Kusema nimefanya ngono zembe nikapime ukimwi - nimepima na sina
Naomba msaada.
Usijidanganye,ilukikwambia tu jiandaa kuindoka hakuna ndoa hapo.Wanaume ktk vitu ambavyo hatuwezi kusamehe ni kusalitiwa. ten wewe umebeba mimba, ukazaa na mtoto.Yaani kaaa kimyaaa milele utawasha moto usiozimika ukutaka kuamini kamuulize baba yako sio mama yako.Ndugu na rafiki zangu wa Jamii Forums,
Naomba msaada katika jambo hili.
Nina ndoa ya kama miaka kumi. Nina mume wangu ambae najua ananipenda, nami pia ninampenda. Miaka kadhaa iliyopita nilikutana na jambo ambalo limenitia simanzi sana na sijui hata nifanyeje, kuna wakati siamini kama ni jambo lililonitokea mimi maishani.
Kwa kifupi ni kwamba nina mtoto ambae najua si wa mume wangu! Amelelewa na huyu baba bila kujua kwa upendo mkubwa, kulipa ada za shule na mahitaji yote. Kusema kweli haijakuwa jambo rahisi maana kila anapomuita baba mimi moyo wangu hujaa simanzi. It happenned that I was at a wrong place with a wrong guy and it happenned. Si tabia yangu na wala sikujidhania kwamba siku moja naweza kuisaliti ndoa yangu.
Huyo baba mwenye mtoto ana mke, simpendi kimapenzi na wala hatuhusiani tena, ikiwa ni pamoja na kuwa hajawahi kumtunza mtoto huyu ingawa anaweza. Sikutaka afanye hivyo. Tatizo ni kuna wakati fulani aliwahi kusema kuwa atakuja kumchukua mtoto wake siku moja, kivipi sijui. Naona ana fujo maana sioni uwezekano wa jambo hili labda avunje ndoa yangu kwanza. Sio kutokana na sababu hii ila kwa muda mrefu tangu nikiwa na mimba ile nimetaka kumwambia mume wangu ukweli lakini nimeshindwa. Maisha ya masikitiko na kuwaza jamani naona nashindwa na nataka nimwambie ukweli na atoe hukumu yake.
Naomba mnishauri hasa wanaume- ingekuwa wewe ungefanyaje? Nimwambie au niache?
Hili ni tukio la kweli, naomba ushauri usiwe katika yafuatayo:
1. Kusema kwamba mimi msaliti na mke mbaya-hilo nalijua na wengi wenu mnayajua haya na haitanisaidia sana.
2. Kusema nimefanya ngono zembe nikapime ukimwi - nimepima na sina
Naomba msaada.
Wana JF,
Naendelea kushukuru kwa ushauri wenu. Bado naendelea kusema kuwa nitasema. Nimetafuta muda muafaka na huu ni mapema mwezi ujao. Sitafuti shahidi wala wazazi, akiamua awaambie mwenyewe watu au akiamua kumlea kimyakimya sawa, au akimkataa sawa, nitamuelewa ingawa nitasikitika mno. Nampenda sana mume wangu na ni mwanaume mzuri, hastahili haya.
Haya mambo hayafichiki kamwe, na hakuna kibaya kama kujua umedanganywa kwa muda mrefu. Siku moja nilielezewa kwa kina hii hadithi, kumbe inafuatiliwa, yuko humu humu JF.
Sitasahau siku moja kidogo nivunje mguu hospitali nikiwahi vipimo vya maabara, na afadhali nilivifuata maana kuna data hazikuwa zina tally kabisa na za mume wangu na hili lingeleta balaa kubwa. Jamani DNA wala sipimi, hakuna siri katika hili, mwana si wake kwa kumzaa ingawa anampenda sana. Sitaki tabu na msongo wa mawazo, liwalo na liwe. kila jambo baya lina repercussions zake and I am ready to face them.
Nimekataa kila aina ya msaada kutoka kwa baba mzazi, atamlea mtoto wake endapo tu baba mlezi atamkataa, kwa bahati mbaya mazingira yanatufanya tuonane mara kwa mara.
Itakuwa alishachinjwa yeye na mwanaeHuu uzi ni wazaidi ya miaka kumi iliyopita,mtoa uzi aje atupe mrejesho.
Sent using Jamii Forums mobile app