Huhuhumu ndani, maisha magumu wewe na kila mtu na siri yake. Sijui nifanyeje, kila kukicha ninawaza hii dilemna
au ndo kishatutoka/katangulia mbele ya haki baada ya tukio, mbona haji hapa kutupatia updates.....
Kama si weye Mzee UBUNGOX2 ambaye kisa kina kuhusu, basi Maindax2 hayupo serious na kisa chake! toto fix! ahaaaa! kazi kweli.
Mimi niliwahi kusikia case kama ya kwako kutoka kwa dada wa Ki Nigeria
Angalia kama ushauri huu aliofanya yy kama utakufaa.
1.Kama una muda na uwezo wa kutafuta solution ya sehemu ya kuishi ya kwako-tayarisha makao mapya kabisa,ukijua kubwa analoweza kukufanyia mumeo ni kukufukuza kama sio to kill you-depending na level ya akili yake.
2.hakikisha uko tayari kwa kila kitu, muite mumeo somewhere umuulize kama ulivyotuuliza sisi kuwa je ingemtokea yeye ingekuwaje
3.Akiishakupa jibu lake ndio utaamua umuambie i.e kusudi ukae nae au uhame kabla ili atakapokuuliza kilichokutoa kwake umuambiekuwa ni jibu alilokupa.
Ukiniuliza mimi ningefanyaje, ningemuita huyo bwana mtia mimba nikamuuliza kama anamtaka mtoto basi amchukue na kama hamtaki basi ninam adopt na wewe nakuchukulia kama % kubwa ya wanawake walivyo, ni wangu nikiwa na wewe. Najua mvutano unaokuwepo mwanamke anapokuwa kwenye kipindi cha kupewa mimba -sio makosa yako kabisa hata asingekuwa huyo mkatili ala bla bla...... , ungeangukia kwa mwingine tu. Angalia kama inaweza kuwa njia ya msaada kwako.
Katabazi.
Kama si weye Mzee UBUNGOX2 ambaye kisa kina kuhusu, basi Maindax2 hayupo serious na kisa chake! toto fix! ahaaaa! kazi kweli.
Asante kwa ushauri. Ila sasa unawezaje kum adopt mtoto Tanzania wakati baba yake anaishi? Yani anakubali kukupa tu? Ila kwa wababa wengine wa kiafrika hiyo ni poa tu ndio maana watoto wengi wapo mtaani wanaokota makopo.
Kumbe unamaana yako unaposema humpendi lakini moyoni yaelekea bado unampenda, ndiyo maana inakuwa vigumu kupokea ushauri. Basi nenda kawe small houseDa Sophy, soma vizuri mada kabla hujachangia. sijasema simtaki mume, bali huyo mwingine, na nina maana yangu ninaposema hivyo, najua ninachokiongea
Kumbe unamaana yako unaposema humpendi lakini moyoni yaelekea bado unampenda, ndiyo maana inakuwa vigumu kupokea ushauri. Basi nenda kawe small house
Mkuu Maskini_Jeuri...Bahati mbaya jinsi nilivyo siwezi kuishi na taarifa niliyopewa na mke wangu kuwa mtoto huyu si wako, ni wa yule. Mkuu Maskini_Jeuri, ninakili huu udhaifu nilionao ndio ulionipelekea uamzi wa kutokuwepo kabisaa dunia maana I can not hold it. Ninaamini kuna wanaume wanaoweza kabisa kumuelewa mke na wakatatuwa na wakaendelea kuishi, but not me.....Ningependa niwe kama wao, lakini siwezi kuwa kama wao.......As soon as I hear from her, naamini I will either be mentally sick (Fully) au dead body...naongelea nilivyo mkuu maskini_jeuri...............To me, kama ni mke wangu wala asiniambie, tena wala nisijuwe.....Baba mkubwa; I feel your fear! Very touching argument you have here!
Lakini huoni ikiwa mmezaa tayari kuwa unawajibika kwa hao watoto pamoja na huyo; ni wako! God has mysteriuos way na our ways are not his way! Endelea kumuomba Mungu akusaidi kuliewa hilo!
Kujiuwa ni chukizo mbele ya Mungu hutakuwa umesolve chochote!