Azimio,
Kukujibu tu maswali yako. Kwanza silichukulii kama ni jambo rahisi kama wewe unavyotaka kufanya lionekane. Jasho lingekutoka. Pili, nataka kukuhakikishia kuwa hii ni true story, my true story.
Was you forced into the act? - NO
What really drove you to that ..Chap? - NOTHING, IT IS JUST THOSE CRAZY FEELINGS WHEN A MAN AND A WOMAN ARE TOGETHER KATIKA MAZINGIRA FULANI.
Ulikuwa fully aware when you went with him? - SIJAKUELEWA, ILA SIKUBAKWA
Unafikiri mimi ningetakiwa nifanye nini ... ili usiende naye ..hapa nina maana there was ..weakness in my part ndio maana..ukapata hiyo nafasi. - KAMA WEWE NI MUME WANGU, YOU ARE GOOD. HE IS NOT EVEN A HALF OF WHAT YOU ARE. HII NI KWELI KABISA.
Na
Kabala sijaendelea..?
Ilikuwaje Baba wa mtoto akajua kuwa una mtoto naye? - ALIULIZA NILIPOKUWA NA MIMBA. HE IS CRAZY AND VERY STUPID, ALIJUA KUWA NAWEZA KUBEBA MIMBA ILA SI NYIE NDIO MNASHIKA MPINI BWANA...... HALAFU MAJUA MAMBO HAYA UNAKUMBUKA KUWA UTAPATA MIMBA BAADAE UMESHAFIKA MBALI LABDA HATA UKISEMA MWENZIO HAKUSIKII!
Did you tell him?
Why?
Ulivyomuabia ..didi you fill Highhh..yaani ulikuwa unajisikai vizuri..yaani kama umemkomesha mumeo .....kitu kama hicho..just be very frankly... - SIJAWAHI KUTAKA KUMKOMOA MUME WANGU KATIKA HILI, NEVER
Let me get all this answers before you get my advice...!
I am sure all will be very fine..if this is true..story..!
[/QUOTE]
GET THIS VERY CLEAR AND TAKE IT VERY SERIOUSLY:
1. Mimi ningekuwa huyo mtoto unayemuogelea hapa... Nisingependa kumjua BABA zadi ya yule niliyemuona pale nyumbani. Yule aliyenipeleka shule. Yule aliyenipa feelings and emotional of care and all the attention. Singejali what my DNA constitutes etc. Leo hii Mama yangu akija na kuniambia kuwa The father I have been staying with, mpaka ni kawa mtu mzima sio Baba yangu kwa sababu tu ya DNA..nitamuona 'Mama is stupid'. Who cares about the DNA? Baba sio chemicals..which make the DNA ni UTU alionipa na kuutumia kunijali, kunipa mapenzi na kunilea..
2. Kutokana na Maelezo yako. Honestly speaking MOYO wako haukumsaliti Mumeo. Ila It was only feelings, emotions and your beautiful body... Sioni mahali ulipokuwa na kisasi cha NGUVU kwa Mumeo (ambayo hiyo ndio mbaya)... Kwa wanawake wengine They feel very very good wanapo_MSANIFU mume akiitwa Baba na Mtoto asiye wake..They Feel..MSHENZI NIMEMUWEZA etc..and you know that is evil...Wewe sikuoni hapo....DEEP IN YOU BADO MNA NDOA NA MUMEO...watch that...!!. Wanaume wa Kweli wanachohitaji kwa Mwanamke .."SIO MWILI KWANZA" ila MOYO.... Kila mwanamke anaweza kunipa mwili wake but vigumu sana kuupata MOYO wake. Kama Mke wangu kabakwa...hakutoa moyo wake...kwa hao washenzi..Nasimama naye . Namtetea kabisa..... Lakini kama kwa akili timamu...kaamua kujitoa that is different story. Kama alipanga kabisa hiyo Game na kuwa fascinated nayo..hapo hatutelewana. Si unaona case yako? you was simply arroused on the ovulation day......So jua kuwa Bado una clear BOND na mumeo. Huhitaji kumvuruga. dont tell him. Haina maana yeyote...And dont do it again
.Yaani Kosa hilo...dont repeat. How?
3. You know why it happened? Maelezo yako yanatosha kabisa kujieleza. I tell you ni kitu kilikuwa kimjificha ndaniyako."Uncosciouse"
Go into your Past. Utaona kuwa kilichotokea na huyo bwana uliyezaa naye nje ya ndoa ni MARUDIO. Ni replay!!!
Yaani...tukio karibu kabisa na hilo limewahi kutokea huko nyuma. Kivipi?
Umeshawahi kurelate na mtu kama huyo..au karibu kumfanania huyo. Au hiyo enviroment uliyojikuta unakuwa helpless na ku_yield...Imejirudia..yaani inafanina au karibu kabisa ...na hiyo uliyojikuta.
AU:
Umekuwa na chuki kubwa sana na huyo bwana au mtu kama huyo..yaani una mchukia mtu mpaka ..unajikuta sexualy attracted..It happens many times..na dunia inashangaa hata wewe..tena huyo!!
Posibility zote hizo...KIUKWELI SIO KOSA LAKO HASA...ILA..NI VERY PSYCHOLOGICAL....Na zinaweza kukubeba....hakuna mtu atakuelewa...lakini be carefull na condition hizo nilizotitaja...maana ukijikuta hapo you can repeat the MISTAKE
the ACT..bila ridhaa yako.
4. Dont bother to tell this to you husband. Chukulia kuwa it was just a bad dream. Ungemueleza kama ni Mimi...Narudia sio kuwa ni na oversimplyfiy..but because I understand the mechenics
I deely understand. Pole na endelea na masiha.