Nimesikia kwamba mtoto wa kiranja mkuu a.k.a "mtoto wa mkulima" anasoma shule ya 17,000,000/= kwa mwaka (St Consta iliyopo Arusha), wakati akaunti yake alisema ina 20,000,000/=
Naomba kuwakilisha wana JF
well...hivi kweli waziri mkuu ambaye ni mkulima atashindwa kumlipia mwanawe shule hizo milioni 17?
mshahara wake pamoja na savings zake na mikopo ya benki kwen]li huyu bwana tashindwa?
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni
lakini hii naona mtoto wa mkulima anaitikia ule msemo wa IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE!
Surely for a forum with GREAT THINKERS one would have expected watu wanaangalia mambo kwa marefu na mapana.
anyway I learn something new kila ninaposoma posts za humu ndani
whats next?
Nimesikia kwamba mtoto wa kiranja mkuu a.k.a "mtoto wa mkulima" anasoma shule ya 17,000,000/= kwa mwaka (St Consta iliyopo Arusha), wakati akaunti yake alisema ina 20,000,000/=
Naomba kuwakilisha wana JF
Hapa WEWE ndo unaonyesha uelewa wako ni mdogo sister...
Hapa kwa mtu kama Pinda ambaye NI KIONGOZI MKUBWA serikalini ... watu tunachojiuliza kwa nini KWA KUTUMIA NAFAS YAKE ASIWE NA MIPANGO ILIYO BORA KATIKA kuboresha elimu ya UMMA??
Kwa mantiki hiyo... Pinda kwa kumsomesha mtoto wake hapo, ina maana FIKRA ZA KUZIBORESHA SHULE za umma ni ndoto, ndo maana kamkimbiza huko.Hatukatai kuwa hawezi kukosa hiyo hela, na kumsomesha mtoto wake ila NI PICHA KUWA HAWEZI KUWA NA FIKRA ZA KUENDELEZA au kuwa na mipango ya kuendeleza shule za umma.
Tazama wakina Makongoro,Madaraka,watoto wa sokoine nao walisoma shule za umma kwa kuwa ziliendelezwa na kujaliwa na serikali, NA UKUMBUKE KIPINDI HICHO zilikuwepo shule za ukweli kama TIS,IST nk.
Tafakari sister na usione mtazamo wako ulipofikia ndo uchambuzi yakinifu.
nawasilisha
hapa wewe ndo unaonyesha uelewa wako ni mdogo sister...
Hapa kwa mtu kama pinda ambaye ni kiongozi mkubwa serikalini ... Watu tunachojiuliza kwa nini kwa kutumia nafas yake asiwe na mipango iliyo bora katika kuboresha elimu ya umma??
Kwa mantiki hiyo... Pinda kwa kumsomesha mtoto wake hapo, ina maana fikra za kuziboresha shule za umma ni ndoto, ndo maana kamkimbiza huko.hatukatai kuwa hawezi kukosa hiyo hela, na kumsomesha mtoto wake ila ni picha kuwa hawezi kuwa na fikra za kuendeleza au kuwa na mipango ya kuendeleza shule za umma.
Tazama wakina makongoro,madaraka,watoto wa sokoine nao walisoma shule za umma kwa kuwa ziliendelezwa na kujaliwa na serikali, na ukumbuke kipindi hicho zilikuwepo shule za ukweli kama tis,ist nk.
Tafakari sister na usione mtazamo wako ulipofikia ndo uchambuzi yakinifu.
Nawasilisha
Milioni 17 = $11,000 ambazo mtoto wa mkulima anaweza kupata kwenye kadi ya "Happy New Year" au trip moja to Japan.
Sio hela kubwa sana, halafu alichokisema yeye ni kwamba ana Mil 25 benki ila hakusema nyumbani anazo ngapi in cash.
Spoken like a typical mbongo !
Hii ADA mbona inakaribia sana na Oxford University au MIT? Au umekosea kuandika tarakimu?