Mtoto wa "Mtoto wa Mkulima" | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtoto wa "Mtoto wa Mkulima"

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Kifaranga, Mar 2, 2011.

 1. Kifaranga

  Kifaranga Senior Member

  #1
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 121
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Nimesikia kwamba mtoto wa kiranja mkuu a.k.a "mtoto wa mkulima" anasoma shule ya 17,000,000/= kwa mwaka (St Consta iliyopo Arusha), wakati akaunti yake alisema ina 20,000,000/=

  Naomba kuwakilisha wana JF
   
 2. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #2
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 397
  Trophy Points: 180
  Hiyo shule watu wanasomea uraisi au...
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  Mar 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,034
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  tupe source au tushawishi tuamin anasoma hapa.

  ILA PINDA ni walewale mafisadi haitashangaza
   
 4. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #4
  Mar 2, 2011
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  well...hivi kweli waziri mkuu ambaye ni mkulima atashindwa kumlipia mwanawe shule hizo milioni 17?

  mshahara wake pamoja na savings zake na mikopo ya benki kwen]li huyu bwana tashindwa?

  Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni

  lakini hii naona mtoto wa mkulima anaitikia ule msemo wa IF YOU THINK EDUCATION IS EXPENSIVE TRY IGNORANCE!

  Surely for a forum with GREAT THINKERS one would have expected watu wanaangalia mambo kwa marefu na mapana.

  anyway I learn something new kila ninaposoma posts za humu ndani

  whats next?
   
 5. Baba_Enock

  Baba_Enock JF-Expert Member

  #5
  Mar 2, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 6,804
  Likes Received: 176
  Trophy Points: 160
  Hii ADA mbona inakaribia sana na Oxford University au MIT? Au umekosea kuandika tarakimu?
   
 6. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #6
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  aiseeeeeeeeeeee....ndo atajua uchungu wa shule za kata kukosa maabara,madawati na walimu??kazi kweli kweli!
   
 7. Kiherehere

  Kiherehere JF-Expert Member

  #7
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,804
  Likes Received: 245
  Trophy Points: 160
  Hapa WEWE ndo unaonyesha uelewa wako ni mdogo sister...

  Hapa kwa mtu kama Pinda ambaye NI KIONGOZI MKUBWA serikalini ... watu tunachojiuliza kwa nini KWA KUTUMIA NAFAS YAKE ASIWE NA MIPANGO ILIYO BORA KATIKA kuboresha elimu ya UMMA??

  Kwa mantiki hiyo... Pinda kwa kumsomesha mtoto wake hapo, ina maana FIKRA ZA KUZIBORESHA SHULE za umma ni ndoto, ndo maana kamkimbiza huko.Hatukatai kuwa hawezi kukosa hiyo hela, na kumsomesha mtoto wake ila NI PICHA KUWA HAWEZI KUWA NA FIKRA ZA KUENDELEZA au kuwa na mipango ya kuendeleza shule za umma.

  Tazama wakina Makongoro,Madaraka,watoto wa sokoine nao walisoma shule za umma kwa kuwa ziliendelezwa na kujaliwa na serikali, NA UKUMBUKE KIPINDI HICHO zilikuwepo shule za ukweli kama TIS,IST nk.

  Tafakari sister na usione mtazamo wako ulipofikia ndo uchambuzi yakinifu.

  nawasilisha
   
 8. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #8
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,301
  Likes Received: 2,122
  Trophy Points: 280
  kwani kusoma shule mbovu ni sifa?
   
 9. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #9
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  mmh! huyu pinda kacharuka kweli,yani sasa hivi ndo kauvamia ufisadi kumshinda hata lowassa,..every body got the price,..inaonekana katangaziwa dau kubwa kweli na mafisadi,mi namuona pinda hatari zaidi kwa nchi hii kuliko hata lowassa,.kila asubuhi anaongea pumba..hiyo ada inawezekana saed kubenea alisema anamiliki sumry buses,.mshahara wangu kwa mwaka ni milion1.3 TGSD
   
 10. kalagabaho

  kalagabaho JF-Expert Member

  #10
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 4,301
  Likes Received: 2,122
  Trophy Points: 280
  mambo mengine ni ya kiifamilia zaidi! huwezi kujua walikubaliana vipi na mkewe/familia yake! Waziri Mkuu pinda ana maisha yake binafsi kama binadamu na ana haki ya kuishi na kuamua atakavyo kuhusu familia yake
   
 11. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #11
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,903
  Likes Received: 5,365
  Trophy Points: 280
  spoken like an intelectual,..
   
 12. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #12
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Milioni 17 = $11,000 ambazo mtoto wa mkulima anaweza kupata kwenye kadi ya "Happy New Year" au trip moja to Japan.

  Sio hela kubwa sana, halafu alichokisema yeye ni kwamba ana Mil 25 benki ila hakusema nyumbani anazo ngapi in cash.

  Hapa zile za kina Kayumba a.k.a Msondo Ngoma zitasubiri mpaka kiama ili zifanane na St. RealMan a.k.a FM Academia
   
 13. Iramusm

  Iramusm JF-Expert Member

  #13
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 16, 2009
  Messages: 425
  Likes Received: 94
  Trophy Points: 45
   
 14. RealMan

  RealMan JF-Expert Member

  #14
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 2,352
  Likes Received: 160
  Trophy Points: 160
  Sio hela kubwa sana, halafu alichokisema yeye ni kwamba ana Mil 25 benki ila hakusema nyumbani anazo ngapi in cash.
  Spoken like a typical mbongo ![/QUOTE]

  Iramusm wala hujakosea,

  Mapato halali ya waziri mkuu yanatosha sana kusomesha mtoto kwa kiwango hicho taking into account that PM utility and related bills are covered by the state.
  Tunapishana vipato kama ambavyo wewe waweza kuwa umevaa kiatu ambacho ni zaidi ya mshahara wa mtu.

  Issue hapa ni picha gani PM anapeleka kwa anaowaongoza iwapo kajenga maskuli lakini yeye anapeleka mwanae kwingine??
   
 15. Chifunanga

  Chifunanga JF-Expert Member

  #15
  Mar 2, 2011
  Joined: Oct 17, 2010
  Messages: 291
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 0
  Hiyo shule unasema ipo Arusha? Tanzania hii?.....duh? who's the owner?
   
 16. M

  Madcheda JF-Expert Member

  #16
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 18, 2009
  Messages: 416
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  We unashangaa hii,ya IST form 6 ni 27 Million,brookhouse ya kenya ni 45 million na watanzania kadhaa wanasoma huko
   
 17. Revolution

  Revolution JF-Expert Member

  #17
  Mar 2, 2011
  Joined: Feb 28, 2008
  Messages: 570
  Likes Received: 135
  Trophy Points: 60
  Kwani JohnGalt ni sister?
   
 18. Diehard

  Diehard JF-Expert Member

  #18
  Mar 2, 2011
  Joined: Nov 23, 2010
  Messages: 370
  Likes Received: 25
  Trophy Points: 45
  Pinda kapinda toka anuse harufu ya kifisadi akili yake imepinda kuelekea kwenye ufisadi, hatauwezo wake wa kutoa speech siku hizi umepinda ili kuwaremaba mafisadi na kuwadanganya watanzania.

  Yaani kapindishiwa mawazo yake kuelekea ufisadi unajua ukitangaziwa dau na mafisadi utaropoka chochote kumbuka Mramba alipotangaziwa dau alisema hata tukila nyasi ndege ya rais itanunulliwa
   
 19. Power to the People

  Power to the People JF-Expert Member

  #19
  Mar 2, 2011
  Joined: Jul 11, 2007
  Messages: 1,193
  Likes Received: 238
  Trophy Points: 160
  That is the school people.

  SCIS
   
 20. I

  Idofi JF-Expert Member

  #20
  Mar 2, 2011
  Joined: Dec 14, 2010
  Messages: 1,548
  Likes Received: 824
  Trophy Points: 280
  kwa nini asimpeleke yusuph makamba sec school shule ya kata mabibo external?
   
Loading...