Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

yupo sahihi kabisa,kwani walikuwa wapi hadi waje kusema leo kuhusu kifo cha mgimwa ?

baada ya kupata viashilia vya kuuwawa kwa mgimwa na Dr Mvungi kama mwanasheria wa Mgimwa...ndiyo maaba wabunge wanataka uchunguzi ufanyike...
 
napendekekeza mwili wake ufukuliwe upimwe unaweza kuta sumu iliyotumika ni ile ya Mwakyembe...ccm ni mashetan
 
napendekekeza mwili wake ufukuliwe upimwe unaweza kuta sumu iliyotumika ni ile ya Mwakyembe...ccm ni mashetan
hakuna sirI mgimwa alipewa sumu na naibu waziri wake akataka kutoa siri wakampa ulaji na sasa ni waziri kamili
 
Huyu kijana wa mgimwa Ni pumbavu Sana babake amekufa kwa ajili ya watanzania yeye anakubali kinunuliwa Na mafisi Ili kusafisha mambo.lakini najua moyoni anaumia ila ndio hivyo nguvu ya pesa imemtoa kwenye mstaru.

Dogo usikubali kutumiwa Kama tp Ni bora ukae kimya Kama unapenda kuendelea kujipendekeA kwa hai manyang'au yaliyokupa ubunge kuliko kusimama mbele ya hadhira kujikosha mbele ya ccm.hivi nikuulize Kama Una akili unamjua aliyemuua baba yako?

Ni ccm Na majambazi wenzake Kama ilikuwa hujui.
Huyo achana nae, wamempooza na ubunge katulia kama ananyolewa vile. Hawa watoto wengine tunaowazaa baadhi wanatugeuka na kutuuza. Pole mzee Mgimwa huko uliko ujue ulizaa jambazi.
 
yuko sahihi alifumbwa kafumbuliwa kuwa escrow imemuua baba yake sasa hata kama watajadili je atafufuka tena kama wezi wameshindwa kupewa hukumu yao je marehemu atapewa haki sheria duniani haki mbinguni ccm wameharibu nchi.
 
Bei ya uhai wa baba yake ni yeye kupewa ubunge! Mtu alikua anakula viroba na kaya Unyamwezini,then Mbunge?
 
Kuna madai ya watu kuwatoa kafara watoto wao, wake zao au hata wazazi wao ili waweze kufikia mafanikio wanayouataka.

Hili la mtoto wa Mgimwa kugoma kabisa kifo cha utata cha baba yake kisijadiliwe huku akijua kuwa anajadiliwa kama Waziri kama anavyoongelewa Hayati Baba wa Taifa ambaye pia anao watoto lakini haionekani kwamba si busara kumjadili baba wa taifa kama inavyotaka kuoneshwa kwamba ni Nongwa kumjadili Mgimwa eti kwa kuwa ameshafariki.

Hii inanitia shaka sana huenda alishirikishwa kwa malipo ya Ubunge.

Ni mawazo tu kwasababu haya mambo yapo.
Mkuu, katika kashfa ya Watergate, nikikumbuka vizuri,nafikiri mwanasheria wa serikali ya Marekani, baada ya kubanwa na waandishi wa habari, alisema wazi wazi "can you handle the truth?".

Huyo kijana wa waziri Mgimwa, Mgimwa jr, anakuwa very philosophical.
Anajua vema kuwa waliotenda viovu juu ya baba yake ni watu very powerful na hana ubavu wa kupambana nao.
The truth is good when you know it, but can we handle it.
Wakati mwingine ni kumwachia Mungu, sasa tunawaona, damu ya mtu haiendi bure.
 
Back
Top Bottom