Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

Buldoza

JF-Expert Member
May 2, 2013
2,304
1,225
Kuna madai ya watu kuwatoa kafara watoto wao, wake zao au hata wazazi wao ili waweze kufikia mafanikio wanayouataka.

Hili la mtoto wa Mgimwa kugoma kabisa kifo cha utata cha baba yake kisijadiliwe huku akijua kuwa anajadiliwa kama Waziri kama anavyoongelewa Hayati Baba wa Taifa ambaye pia anao watoto lakini haionekani kwamba si busara kumjadili baba wa taifa kama inavyotaka kuoneshwa kwamba ni Nongwa kumjadili Mgimwa eti kwa kuwa ameshafariki.

Hii inanitia shaka sana huenda alishirikishwa kwa malipo ya Ubunge.

Ni mawazo tu kwasababu haya mambo yapo.
 

Lancanshire

JF-Expert Member
Sep 20, 2014
14,019
2,000
Huyu kijana wa mgimwa Ni pumbavu Sana babake amekufa kwa ajili ya watanzania yeye anakubali kinunuliwa Na mafisi Ili kusafisha mambo.lakini najua moyoni anaumia ila ndio hivyo nguvu ya pesa imemtoa kwenye mstaru.

Dogo usikubali kutumiwa Kama tp Ni bora ukae kimya Kama unapenda kuendelea kujipendekeA kwa hai manyang'au yaliyokupa ubunge kuliko kusimama mbele ya hadhira kujikosha mbele ya ccm.hivi nikuulize Kama Una akili unamjua aliyemuua baba yako?

Ni ccm Na majambazi wenzake Kama ilikuwa hujui.
 

Janjaweed

JF-Expert Member
Jan 20, 2010
10,989
2,000
Kuna madai ya watu kuwatoa kafara watoto wao, wake zao au hata wazazi wao ili waweze kufkia mafanikio wanayouataka.
Hili la mtoto wa Mgimwa kugoma kabisa kifo cha utata cha baba yake kisijadiliwe huku akijua kuwa anajadiliwa kama Waziri kama anavyoongelewa Hayati Baba wa Taifa ambaye pia anao watoto lakini haionekani kwamba si busara kumjadili baba wa taifa kama inavyotaka kuonyeshwa kwamba ni Nongwa kumjadili Mgimwa eti kwa kuwa ameshafariki, hii inanitia shaka sana huenda alishirikishwa kwa malipo ya Ubunge.
Ni mawazo tu kwasababu haya mambo yapo.
Mkuu, sijui kama umewahi kupoteza nguzo ya maisha yako

The best thing ikitokea kitu kama hicho ni kuomba amani na utulivu kwako na kwa Marehemu, you let the dead one rest in peace

Mimi nilipoteza mzazi, na hakuna kitu napenda kama kumuacha mzazi wangu apumzike kwa amani, nilishaambiwa kwamba kifo chake kilitengenezwa kwasababu ya info alizokua nazo, but i am more relaxed leaving the past be the past than having my parent death become a subject
 

duet

JF-Expert Member
Jan 14, 2013
535
195
Mkuu, sijui kama umewahi kupoteza nguzo ya maisha yako

The best thing ikitokea kitu kama hicho ni kuomba amani na utulivu kwako na kwa Marehemu, you let the dead one rest in peace

Mimi nilipoteza mzazi, na hakuna kitu napenda kama kumuacha mzazi wangu apumzike kwa amani, nilishaambiwa kwamba kifo chake kilitengenezwa kwasababu ya info alizokua nazo, but i am more relaxed leaving the past be the past than having my parent death become a subject
Mbona alimuimba sana wakati wa uchaguzi? Tofauti ni ipi?
 

Kasanzu The Great

JF-Expert Member
Dec 21, 2013
259
0
Singasinga alim-Escrow babaake watu wakapata dili kupitia sandarusi,mabegi na Rumbesa. Dogo kumbuka tumeuliwa wazir wetu mpendwa,we komaa na mtonyo wa ubunge wa mafisadi. Tutamkumbuka mzee wetu
 

jamiimemba

Senior Member
Oct 30, 2014
156
0
kama kuna jambo linamuhusu hayat wazir wa fedha ni lazma liongelewe bungen,,,,amuite baba akiwa nyumbani kwao ila akiwa bungeni hata yeye amuite hayati waziri wa fedha,,
 

mgt software

JF-Expert Member
Nov 1, 2010
12,514
2,000
Nilikuwa sihawahi kumlilia Mh. Mgimwa kuanzia jana nimeweka majamvi naanza msiba rasmi kumbe tumeuliwa shujaa wetu wazee wa madili na singa singa wavune hela kwa kuzibebea mtindo wa lumbesa.

R.I.P. Mgimwa sisi tulikupenda lakini Escrow imekupenda zaidi.
 

alfazulu

JF-Expert Member
May 6, 2012
734
0
Mkuu, sijui kama umewahi kupoteza nguzo ya maisha yako

The best thing ikitokea kitu kama hicho ni kuomba amani na utulivu kwako na kwa Marehemu, you let the dead one rest in peace

Mimi nilipoteza mzazi, na hakuna kitu napenda kama kumuacha mzazi wangu apumzike kwa amani, nilishaambiwa kwamba kifo chake kilitengenezwa kwasababu ya info alizokua nazo, but i am more relaxed leaving the past be the past than having my parent death become a subject
kumbe ukimtaja marehemu huwa una mdisturb

kaburini? duh hii ndio bongo bana
 

DSN

JF-Expert Member
Feb 2, 2011
2,837
1,250
Woga Woga Woga Woga ....Mtoto yule SIO BRAVE !!! Usimu hukumu hivyo kumtoa kafara Baba yake...Ila Mlaumu Kwa Kuharibu Mchakato Wa Kiroho [Spirtual] uliotaka Kuibua Haki ya Kutafuta Ukweli Wa Kifoc Cha Baba Yake Ili Haki za Nafsi Ya Watanzania Na Familia Yake Ijue Ukweli Na Marehemu Apumzike Kwa Amani.

Mtoto ana hofu kuwa uchunguzi ukianza anajua anachokijua kinaweza Kumponza !!!! Kwa Kuwa Amesaidi Kwenye HOFU /WOGA na hivyo ROHO YA KUMSIMAMIA KUTAFUTA HAKI AMBAYO INGEMLINDA MBELE YA MAADUI KAISUKUMA NA YEYE KABAKI NA HOFU ......UZURI ATAKUJA KUTUBU DHAMBI HIYO MBELE YA VIJUKUU VYAKE MUNGU AMPE UHAI....

MANAKE IKO SIKU UKWELI UTAKUWA WAZI....FAMILIA ITAJIULIZA ILIKUAJE LANGO ALIKATAA.....?NA ILIVYO HATAKUWA NA CHA KUWAAMBIA NA ATAKUWA MFANO MBAYA KWA KIZAZI CHAO KWA KUTOKUWA NA MOYO WA BABA YAKE KUSIMAMIA KWELI AMBAYO IMEMFIKISHA KWENYE MAZINGIRA AMBAYO WENGINE WANAONA KIFO CHAKE KINASTAHIKI KUTIZAMWA..
 

MUSSA ALLAN

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
18,938
2,000
Nyie wengi hapa ni wanafiki.

Baada ya Mgimwa kufariki mnataka mmtumie ili kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.

Huyu lancashire anasema Prof.Mgimwa alikufa kwa ajili ya taifa. Kipindi yuko hai si ndie nyie nyie mlitumika kumtukana, kumkebehi na kuonyesha wazi kuwa hamridhishwi na kazi yake. Leo hii amefariki ndio mnajifanya mnampenda kuliko hata mwanawe. Acheni unafiki
Jifunzeni kum-appriciate mtu akiwa hai.
Mgimwa amelala, aachwe apumzike.
 
Last edited by a moderator:

tindo

JF-Expert Member
Sep 28, 2011
33,831
2,000
Nchi hii ina vituko kweli, usishangae watoto wa kina Werema, muhongo, tibaijuka wakija na swaga muwaache wazazi wetu msiwajadili. Na maajabu ya mwaka utasikia spika akisema familia zao wamekataa. Hivi hamkumbuki muarabu feki wa richmond hakupigwa picha. Polisi kiini macho wa Mwangosi mpaka leo hapigwi picha!!
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom