Mtoto wa Mgimwa amenifikirisha sana

Hivi tunatumia akili au na sisi ni siasa tu. Kama aliuwawa na kuna dalili hizo, unahitaji degree ya sheria kujua mtu yeyote akiuwawa ni lazima ichunguzwe. tutumie akili. Hata kama familia inaumia ni jukumu la serikali kuchunguza.
 
Kuna madai ya watu kuwatoa kafara watoto wao, wake zao au hata wazazi wao ili waweze kufikia mafanikio wanayouataka.

Hili la mtoto wa Mgimwa kugoma kabisa kifo cha utata cha baba yake kisijadiliwe huku akijua kuwa anajadiliwa kama Waziri kama anavyoongelewa Hayati Baba wa Taifa ambaye pia anao watoto lakini haionekani kwamba si busara kumjadili baba wa taifa kama inavyotaka kuoneshwa kwamba ni Nongwa kumjadili Mgimwa eti kwa kuwa ameshafariki.

Hii inanitia shaka sana huenda alishirikishwa kwa malipo ya Ubunge.

Ni mawazo tu kwasababu haya mambo yapo.

yupo sahihi kabisa,kwani walikuwa wapi hadi waje kusema leo kuhusu kifo cha mgimwa ?
 
Bunge ni muhimili. Hauruhusiwi kuingilia mihimili mingine kama mahakama, utawala, familia za marehemu n.k
 
From my point of view is ;

Huyu dogo ametumika and

He is very lazy from the way he looks even up stairs.

Hao ndo viongozi wetu wa bongo.

Nawasilisha.
 
Huyu mtoto wa marehemu Dr. Mgimwa alinishangaza na kauri ya kuomba swala la baba yake lisijadiliwe bungeni! Huyu alikuwa kiongozi wa kitaifa hata kama ni baba yake mzazi.
 
Mkuu, sijui kama umewahi kupoteza nguzo ya maisha yako

The best thing ikitokea kitu kama hicho ni kuomba amani na utulivu kwako na kwa Marehemu, you let the dead one rest in peace

Mimi nilipoteza mzazi, na hakuna kitu napenda kama kumuacha mzazi wangu apumzike kwa amani, nilishaambiwa kwamba kifo chake kilitengenezwa kwasababu ya info alizokua nazo, but i am more relaxed leaving the past be the past than having my parent death become a subject

Baba yako alibeba dhamana ya maisha ya watanzania.? Unatakiwa kuwa jasiri kila mtu ataondoka wakati ukifika. Ni haki kwa vizazi vinavyobaki kutambua Na kuheshimu the values of their departed once.
 
Mbona kwenye kampen alitumia kifo cha babake kupata kura, uyo dogo ameidhalilisha familia yake sana.
 
Mgimwa alikuwa kiongozi mwadilifu na mchapa kazi. Historian yake inajulikana. Ni muhimu kama taifa likafanya uchunguzi kujua hasa kifo chake kilisababishwa na ni ni?! Hii itasaidia mawaziri wajao wasikutwe na haya.yaani inawasaidia waliobaki kufahamu ukweli na kujilinda. Mbona watu wakiuwawa uchunguzi unafanyika na mashtaka yanafunguliwa bila kuwauliza ndugu wanasemaje.
 
Nyie wengi hapa ni wanafiki.

Baada ya Mgimwa kufariki mnataka mmtumie ili kufanikisha malengo yenu ya kisiasa.

Huyu lancashire anasema Prof.Mgimwa alikufa kwa ajili ya taifa. Kipindi yuko hai si ndie nyie nyie mlitumika kumtukana, kumkebehi na kuonyesha wazi kuwa hamridhishwi na kazi yake. Leo hii amefariki ndio mnajifanya mnampenda kuliko hata mwanawe. Acheni unafiki
Jifunzeni kum-appriciate mtu akiwa hai.
Mgimwa amelala, aachwe apumzike.

Tena naomba unyamaze haya yalitowakuta hamjamaliza.suala ka kumuua mzee wa watu mzalendo wa nchi hii tutaliongea siku nyingine. Shame be upon you
 
Last edited by a moderator:
Mgimwa alikuwa kiongozi mwadilifu na mchapa kazi. Historian yake inajulikana. Ni muhimu kama taifa likafanya uchunguzi kujua hasa kifo chake kilisababishwa na ni ni?! Hii itasaidia mawaziri wajao wasikutwe na haya.yaani inawasaidia waliobaki kufahamu ukweli na kujilinda. Mbona watu wakiuwawa uchunguzi unafanyika na mashtaka yanafunguliwa bila kuwauliza ndugu wanasemaje.
Mkuu hapa ukifanya uchunguzi Ni kupoteza tena pesa ya walipa kodi WA nchi hii. Ccm Na mafisadi ndio walimuua Na Ni kwa sababu alizuia ulaji .period
 
6 Reactions
Reply
Back
Top Bottom