Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe ahukumiwa kifungo cha mwaka 1 na nusu jela au faini Milioni 5

Huyu kijana namfahamu toka akiwa mtoto maana baba yake alikua jirani yangu, huyu kijana anapitia alopitia baba yake chacha rasta, sins asili ya unabii but naona mafanikio makubwa kwa kijana huyu
 
Aiseeee pole yake jamaa nilisoma naye st.Matthew's high school nilimaliza naye form 6 mwaka 2013, kwa ninavyokumbuka jamaa alikuwa anatetea maslahi ya wanafunzi pale shule na bado nusura tu atimuliwe na mwenye shule, leo hii ni serikali duuuuhhh.
siasa sio nzuri kweli
Cc. Real G
Darasani si alikua anajitahid lakin?
 
Huyu kijana namfahamu toka akiwa mtoto maana baba yake alikua jirani yangu, huyu kijana anapitia alopitia baba yake chacha rasta, sins asili ya unabii but naona mafanikio makubwa kwa kijana huyu
Sawa mwenzako anaumia we unaona mafanikio. Wenye utashi bana tuko complex sn.
 
Huyo angetakiwa alambe vyote kwa pamoja tu maana wanafikiri kuwa lazma watukane ndio wataonekana kua wapo strong
 
Naona hii sheria imekuwa chanzo kingine cha mapato kwa Serikali yetu Tukufu....
 
Back
Top Bottom