Mtoto wa marehemu Chacha Wangwe, Bob Wangwe ahukumiwa kifungo cha mwaka 1 na nusu jela au faini Milioni 5

Hebu tujuzana kuhusu Bob Chacha Wangwe kwa wale mliopata kumjua katika harakati zake za kisiasa mpaka umauti unamfika.

Na sikia alikuwa mbunge sijui chama kipi, nauliza hivi baada ya kusikia mtoto wake kahukumiwa kwa kosa la kimtandao.
 
Wakuu barafu na NAHUJA, upo muda katika maisha unabidi kujibu kama nilivyojibu. You know why? Mimi ni verified user humu JF, tofauti na wenzangu wenye ID zisizo verified. Wapo wanaonijua na hata kuniheshimu. Najua pia wapo wanaonijua na hawaniheshimu. Hayo yote ni maisha. Katika hayo yote, nakuwa makini sana na kauli zangu kwa wengine na hata kwangu binafsi. Tangu nimejiunga JF, sikuwahi kumdharau, kumtusi wala kumkejeli yeyote. Kwakuwa, sote tupo humu kuelimishana, kupashana habari, kukosoana, kusameheana, kushauriana, kujadiliana na kurekebishana. Ukweli ninaouamini kwangu ni chakula cha kila siku uwe unamkwaza mtu au unamfurahisha.
Kaka Petro haya uliyoyasema yapaswa kufanywa na yoyote hata kama sio verified user. Ukiona mtu haheshimu wenzake hata kama hawamjui au anatumia id ya kubumba huyo hajiheshimu tu. Haipaswi kutukanana, kutoa lugha ya kuudhi wala kumdharau mwenzio hata kama hamjuani wala kuonana.

Bahati mbaya sana JF siku hizi imejaa watu wasiona utu, upendo wala kujiheshimu, bahati mbaya sana.
 
Back
Top Bottom