Mtoto wa kitanga anahitajika!!

[shhhhhhhhhhhh ni yule anayefungiaga watu (ban) pindi wakienda nje ya mstari,,usijesema sijakunong'oneza]

Ah kweli aksante kunikumbusha

sasa wewe unayetafuta mchumba inabidi utuwekee picha yako (na utuhakikishie ni yako) kisha uspecify mtoto wa tang aipi wamtaka wewe maana tanga kubwa ati! haya fasta fasta
(kaizer i hope nimerudi mstarini)
 
Yeah umerudi ila kurudi kwako bora usingerudi kabisa manake huo mstari uliorudi nao....:rolleyes:
 
Ah kweli aksante kunikumbusha

sasa wewe unayetafuta mchumba inabidi utuwekee picha yako (na utuhakikishie ni yako) kisha uspecify mtoto wa tang aipi wamtaka wewe maana tanga kubwa ati! haya fasta fasta
(kaizer i hope nimerudi mstarini)

Ndugu yangu we unajua wazi siwezi kuweka picha yangu humu ndani maana wamejaa wafitini wa kila aina sasa nakuomba kama kweli unania ya kunisaidia fanya mpango awe na makalio ya kutosha (makubwa ni added advantage), rangi si muhimu ila na matiti yawe yaliojaa bila kuanguka. asiwe mrefu sana awe mnene wastani sio tipwa tipwa, akiwa na sifa hizo hata kama sio bikra atanifaa.
 
Hahahaa makubwa madogo yana afadhali mara nataka mwenye bikra mara hata kama sio bikra atanifaa baba fiksi sema kweli unachohitaji watoto wa kitanga/pwani watakustukia, halo halo mtandao wa simu
 
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.

- Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada

- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada

Mkuu unategemea kumpata mwenye sifa hizi mbili kwa pamoja? Haya ndugu yangu, wishing you luck......
 
Jamani natafuta mchumba: tafadhali zingatia sifa zifuatavyo.

- awe anatokea maeneo ya Tanga, Zanzibar au Kilwa

- Awe mweupe na mrefu wastani asizidi cm 160

- awe mwembamba wastani yaani si mnene wala mwembamba

- Awe na makalio makubwa yasivunje rekodi yaani yawe dizaini ya kijungu fulani. yakitokeza sana ni sifa ya ziada

- Awe muislam - bikra ni sifa ya ziada

- Ajue kupika hasa wali wa nazi

- Elimu inategemea na sifa za hapo juu, hata kama amemaliza darasa la saba sio tatizo, nitamwendeleza mwenyewe.

Zipo sifa binafsi ambazo nisingependa niziweke hadharani ila kiufupi awe mshiriki mzuri katika mechi zote za ndani. maombi yenye picha yatajibiwa haraka.

Tafadhali tuwasiliane kwa private JF message.

Yupo mwenye sifa zote hizo ila anatoka Musoma - upo tayari nikupe contact zake?
 
Mhh? Kweli wee ni Mzee wa Fiksi! juzijuzi hapa umekuja na story ukiwafagilia watoto wa kisauzi na mayowe yao wanayopiga! Mi nikajua utabeba mtoto wa bondeni ili uendelee kufaidi mayowe! Sasa mbona hujaweka 'mayowe' kama moja ya sifa mkuu?

Mkuu,

Una masikhara sana,nimecheka sana loh!

Hata mimi natafakari kuanza kutafuta mchumba sasa
 
Jamani, toka nimeweka hii thread sijapata walau dalali ya kujitokeza naona watu tu wanapiga vijembe na wengine ndo hawa wameamua kuniharibia kabisa. Sasa mambo ya tigo humu ndani yamekujaje kama sio kuletea visa? Mimi mwenzenu natafuta mchumba wa kuoa kiukweli na experience yangu inaonyesha watoto wa kitanga na wachache wa pwani wametulia kwenye majambozi, sitaki kuoa afu nirudi tena kwenye kudonoa donoa.

Sasa nyie mnafikiri wakipitia hizo comments zenu atapata picha gani eeh..tuache masihara jamani na wale mlionipa ahadi za kunipa contact mbona jua lachwa sioni kitu, moyo sultani jamani vya kutamani sitaki tena. Mtu asijiridhishe na anchokipenda...tabia ya tigo mi sijawahi kabisa kuifanya labda nyie mnaosema, mimi mtoto wa kiislam safi kabisa, na punde ntafufua mkeka wangu nianze swala tano. NARUDIA TUSICHAFUANE MWENYE KUWEZA KUNISAIDIA AU MWENYE SIFA AJITOKEZE.
alietaja, ****** makubwa, sijui Tanga Zenji,Pwani ni wewe.
Waliosema wewe mzee wa tigo wamekosea wapi?UKIINGIA BAR UAGIZIE KONYAGI, kuna kosa mtu akisema mzee wa kilevi kikali? kwani ****** unataka unataka ukayafanyie nini?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom