Herbalist Dr MziziMkavu
JF-Expert Member
- Feb 3, 2009
- 42,318
- 33,125
Mwengine huyu hapa nina wajukuu zaidi 50Mzuri sana....mkuu ni mjukuu wako?
Mwengine huyu hapa nina wajukuu zaidi 50
Vitoto so cute....nigaieni mie jamani
Hahaha u make me laugh
Unacheka nini mwenzio naomba ivoo hao watoto ndio nimesimama nasubiria apa wafungashie vitu vyao niwachukue
Tumeshakuwa Wazee nina Dada zangu wapo 8 na kaka zangu wapo 3. na wadogo zangu wapo 5 nimeshakuwa mzee miaka 49 sio midogo mkuu.dah! wajukuu zaidi ya 50 ni hatari hiyo mzimzimkavu!
Na huyu anakuombea dua
Tumeshakuwa Wazee nina Dada zangu wapo 8 na kaka zangu wapo 3. na wadogo zangu wapo 5 nimeshakuwa mzee miaka 49 sio midogo mkuu.
Hhahahahaha huyu itakua nimemzaa mie maana katupia mawani kama mama ake lol...
Huyu mtoto kafanana na mimi sana
wajukuu wa familia ndio wa kwangu mjukuu wa kaka yangu au dada yangu sio ndio mjukuu wangu? yaani mimi ninaitwa babu katika familia ingawa mwanangu hajazaa bado nina mtoto mkubwa wa kiume. Kama mtoto wangu angelikuwa ni mwanamke ningeshapata wajukuu wengi tu.MziziMkavu hao wajukuu kweli wako?? Ni wazuri na warembo sana Nina hamu na watoto mie ningekua karibu ningeiba kamoja hapo!
huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.FaizaFoxy, kuja uone huku.