Mtoto mzuri mashallah malaika

huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.

Mkuu mbona unalianzisha?
 
Hakuna binadamu mzuri kama malaika... Hujui kuwa malaika hawakuumbwa kwa udongo?/ kwanini sasa binadamu afananishwe na malaika???
 
huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.

Nashangaa hujasema "mtoto wangu".

Lupango "Yangu".
 
wajukuu wa familia ndio wa kwangu mjukuu wa kaka yangu au dada yangu sio ndio mjukuu wangu? yaani mimi ninaitwa babu katika familia ingawa mwanangu hajazaa bado nina mtoto mkubwa wa kiume. Kama mtoto wangu angelikuwa ni mwanamke ningeshapata wajukuu wengi tu.

Ok,, nimekuelewa na kijana nae soon atakuletea.
 
huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.

ina maana FF mwaka mpya unamkutia lupango!!.duh pole yake.ila hiyo sio dalili njema ya kuanza mwaka.ni mkosi mkubwa sana kwake. FaizaFoxy nisalimie mtoto wa babu seya; papy kocha.
 
Last edited by a moderator:
huyo bibie FaizaFoxy alikuwa yupo jela lupango amesha toka nini ? Huyu bibie Faizafoxy ni CCM damu mchafuzi akija huku ataleta uchafuzi wa maneno si unajuwa tena fujo zake huyo bibie ana fujo sana kimaneno hajuwi kuongea sijuwi Mzaramo nini?:becky: ninamchokoza kwa maneno ya matusi anaongoza huyo bibie.

Hilo tu linakutosha kuitwa punguani. Unichokoze mie nikae kimya? Unanchekesha.
 
Mwengine huyu hapa nina wajukuu zaidi 50
1461263_817700144922986_1235601406_n.jpg
she is growing to be a chicky.
 
Back
Top Bottom