Hii mbona ya zamani
Baada ya muda atakuja kukuambia ana mtoto wako mkuu. Subiri aone suraKuna mpuuzi mmoja alinambia ana mimba yangu leo hii ananambia sio yangu
Nilikuwa nashangaa Diamond amekauka sana kuanzia 2018 inakuwaje picha yake na mtoto wake mpya 2019 ana mwili wa kung'aa? Kumbe ya zamani.Hii mbona ya zamani