Ukishangaa ya Maksimo ya Paulsen yatakukuta...
ninaishi katika nyumba ya kupanga yenye wapangaji 4 wote wakiwa katika ndoa isipokuwa mimi. kuna rafiki yangu ambaye mara nyingi anafika kwangu hasa wkend na wakati mwingine analala kwangu... mmoja wa wapangaji wenzangu binti wa kichaga aishiye na mume wake mwenye uwezo mzuri tu kifedha alikuwa na mimba ambayo alijifungua wiki ya tatu sasa
cha ajabu yule mtoto wa kiume kadri anavyokua ndivyo anavyozidi kufanana na huyu jamaa yangu kiasi kwamba naona mme halali akimwona jamaa anavyofanana na mtoto anaweza toa talaka.. jamaa nyangu nimemuuliza kuhusu hilo na akasema kweli aliwai kuduu na huyo mwanamke mara 1 hapo kwa mwanamke....
kuepusha balaa natamani kuama hapa coz huyu ni rafiki yangu ambaye kwangu ni lazima atakuwa anafika na inaweza kutokea jamaa akagundua hili ikaleta taabu katika ndoa yao daaah kizungumkuti...