Yani nitafanya all means hata km kukiziba mdomo ili kisitoe sauti ya kilio.......lol
Hapo ni saa sita usiku na kesho yake ni jumatatu
Katoto ka umri huo mkikieka kwenye kitanda chake kama hicho mkaendelea kufurahia maisha..kinaelewa nini kwani!??
Afu wewe !!!!
lol... nimejikuta nakuwazia mama!
Njoo nikupe like basi
hapo wewe mama yake uko pande zipi?
Katoto ka umri huo mkikieka kwenye kitanda chake kama hicho mkaendelea kufurahia maisha..kinaelewa nini kwani!??
hapo wewe mama yake uko pande zipi?
Muda huo atakuwa anamwaga umbea facebook. Kwa kukesha hao ni balaa!...
Tatizo kikianza kulia ndo shida inaanzia hapo
Tatizo makelele
Muda huo atakuwa anamwaga umbea facebook. Kwa kukesha hao ni balaa!...
hahaha, siku hizi whatsapp...balaa!
Makelele mnayachukulia kama background music...
Talk of: Geuza changamoto kuwa fursa.
Apo mnapiga mikelele yenu ya mahaba bila wasiwasi...sauti yake ina cover yenu!!!
Hatakaa asahau
Mmmh haiwezekani bhana....na majirani watajua kwamba mmeamua kugegedana badala ya kubembeleza mtoto....aibu kweli