Mtoto aliyekataliwa na baba yake

Mtoto aliyekataliwa na baba yake

Inadhihirisha jinsi gani baadhi ya wanaume wanaitwa makatili, hata humu zimetoka threads nyingi za kutulaumu jinsi tulivyo na roho ngumu.

Hongera na Mungu akuongezee ili uweze kumtunza mtoto na familia yako. Hiyo ni sadaka kubwa kuliko zile tuzitoazo kanisani/msikitini.
 
Mungu akutangulie usiache kumlea huyo mtoto na akukuzie vema
 
Ni kweli wao watataka care kama unavyo mpa mkeo wakati mke atabaki kuwa mke na care zake ni special tofauti na dada,wifi nk......mtu atawaacha wazazi wake na kuambatana na mkewe.....mawifi wanafuata nini? kama kaka yao asingeoa wangekaa wapi?au akiwa maskini mbona hawasogei.

Mimi nadhani suala la kuishi na ndugu halikwepeki ila Mume na mke ni lazima wawe na msimamo katika kuishi na ndugu, kwangu mimi ndugu anaishi kwa lengo tu, na awapo kwangu ni lazima afuate masharti ya nyumbani kwangu. Siishi na ndugu asiyekuwa na issue yani asubuhi naenda job namuacha kalala, nikirudi jioni namkuta kanyanua miguu kwenye viti vyangu, nooo!!! Wanatujua na huwa hawaamini kama ni sisi mana mwanzo walituvuruga sana!!
 
Dalali sijakataa suala la kukaa week 1. Nakataa wale wanaohamia jumla jumla.
yule aliyempa mimba hg wangu alikaa 3weeks akarudi chuo unaona inamaana time scale doesn't matter from today ownwads sitarajii kumpokea mgeni wa kiume kwangu mpaka kufa ambaye atashinda hata 1day,aje usiku niondoke naye asubuhi full stop.
 
utamfukuza mama mkwe wako kaja kuwaona wajukuu dalalii

Mama mkwe ni mzazi, thats a different story. Na hata ivyo, kama na yeye ni muelewa hawezi kuhamishia makazi yake kwenye nyumba ya mwanae bila sababu za msingi.
 
Ni kweli wao watataka care kama unavyo mpa mkeo wakati mke atabaki kuwa mke na care zake ni special tofauti na dada,wifi nk......mtu atawaacha wazazi wake na kuambatana na mkewe.....mawifi wanafuata nini? kama kaka yao asingeoa wangekaa wapi?au akiwa maskini mbona hawasogei....mtu anasema nimekuja kusalimia miaka 2 upo tu unasalimia nini.

Mazoea ndo yanaharibu. Wengi wamezoeshwa kuwa ni lazma kuish na ndugu wa mume/mke. Mi sitaki mazoea hayo.
 
yule aliyempa mimba hg wangu alikaa 3weeks akarudi chuo unaona inamaana time scale doesn't matter from today ownwads sitarajii kumpokea mgeni wa kiume kwangu mpaka kufa ambaye atashinda hata 1day,aje usiku niondoke naye asubuhi full stop.

you have learnt your lesson the hard way. Good
 
Mama mkwe ni mzazi, thats a different story. Na hata ivyo, kama na yeye ni muelewa hawezi kuhamishia makazi yake kwenye nyumba ya mwanae bila sababu za msingi.
Ki ukweli kuna matatizo huwa tunayalea wenyewe. Ni ujinga pia ni uzembe.. Mashemeji, mawifi, wakwe, mara nyingi hao ndo wamekuwa chanzo cha ndoa nyng kuanguka.. Acheni hayo mazoea.
hapa ndipo tulipotoka
 
Mimi nadhani suala la kuishi na ndugu halikwepeki ila Mume na mke ni lazima wawe na msimamo katika kuishi na ndugu, kwangu mimi ndugu anaishi kwa lengo tu, na awapo kwangu ni lazima afuate masharti ya nyumbani kwangu. Siishi na ndugu asiyekuwa na issue yani asubuhi naenda job namuacha kalala, nikirudi jioni namkuta kanyanua miguu kwenye viti vyangu, nooo!!! Wanatujua na huwa hawaamini kama ni sisi mana mwanzo walituvuruga sana!!

Huo muda wa kupeana terms and conditions za jinsi ya kuish kwangu mimi sina. Yani ndugu yangu aje aishi kwangu? Mke wangu si atakuwa anawaza sana kumfurahsha huyo ndugu ili asisemwe? Sasa nimeoa mke kwa ajili ya ukoo au kwa ajili yangu? Kama ni misaada nitawapa na ntashrikiana nao kwa kila jambo bt not kuishi nao.
 
yule aliyempa mimba hg wangu alikaa 3weeks akarudi chuo unaona inamaana time scale doesn't matter from today ownwads sitarajii kumpokea mgeni wa kiume kwangu mpaka kufa ambaye atashinda hata 1day,aje usiku niondoke naye asubuhi full stop.

bold hapo. Nami ndo ninachotaka. Heri lawama kuliko fedheha.
 
Huo muda wa kupeana terms and conditions za jinsi ya kuish kwangu mimi sina. Yani ndugu yangu aje aishi kwangu? Mke wangu si atakuwa anawaza sana kumfurahsha huyo ndugu ili asisemwe? Sasa nimeoa mke kwa ajili ya ukoo au kwa ajili yangu? Kama ni misaada nitawapa na ntashrikiana nao kwa kila jambo bt not kuishi nao.
hakia nani tuwasiliane nikupe namba za yule kigoli ila domo likiwa zege usinihusishe dalaliiiiiiiiiiiiiiii miaka inakwwenda hivoooo au unataka yale ya kule siha ,sanya juu,hai,machame na kibosho yakuletewa nke unafungiwa nae chumbani siku tatu tayari umempa mimba na hawezi rudi kwao,alafu watu wankuja sikilizia ukutani na mlangoni kama unabutuliwa au unakula mzigo kulingana na miguno heheheheeheheheeh dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiii tulonge vizuri aiseee
 
Kwani ntakuwa nimekuoa wewe au ntakuwa nimemuoa mdogo wako? Miez mitatu yote utakuwa unafanya nini nyumbani kwangu?
haki anani una mishusho wewe utantimua walahi heheheeheh uanze kunishusha juu chini ntaondokaje kimya kimya
 
Yani wewe umenikuna, nimeshasikia matatizo mengi sana ya hawa ndugu mnaorundika kwenye majumba yenu. kama ni misaada kwanini msiwapelekee pale walipo? mimi kuishi na mtu baki kwangu labda awe yatima. tumeshasikia story za ndugu kubaka watoto wa wenye nyumba watu bado hawasikii!!!

Mazoea ndo tabu. Ni vyema kuyakataa.
 
hakia nani tuwasiliane nikupe namba za yule kigoli ila domo likiwa zege usinihusishe dalaliiiiiiiiiiiiiiii miaka inakwwenda hivoooo au unataka yale ya kule siha ,sanya juu,hai,machame na kibosho yakuletewa nke unafungiwa nae chumbani siku tatu tayari umempa mimba na hawezi rudi kwao,alafu watu wankuja sikilizia ukutani na mlangoni kama unabutuliwa au unakula mzigo kulingana na miguno heheheheeheheheeh dalaliiiiiiiiiiiiiiiiiii tulonge vizuri aiseee

ila ujue kabisa nkpata huyo kigoli ucje ukategemea kuwa ukija mjini kufanya shoping yako ya miez mitatu utafkia kwangu.{sahau} 1st day 2takuwa na dinner pamoja as a family then after there itakubid utafute pa kwenda kupumzikia wakat unafanya shoping zako.
 
Naombeni ushauri wenu katika hili mana that brother of mine ni mbabe balaa, yani ndugu wanamwogopa balaa isipokuwa mimi tu!!

Wewe humwogopi kama ndugu zako, so next time akija mpe za uso.

Kama mtoto sio wake kwa nini anawashwa?

Whether or not ni mwana wake, is non of his business.

Lea huyo. Ndiye atakayekuja kukutoa katika hiyo area.
 
Back
Top Bottom