Mtoto alipoharibu

Mtoto alipoharibu

Ndio aendelee sasa.....
Mke hakuwa katika hali ya kulizwa pale, ilibidi kumtuliza mke, Peter aondoe familia, wamefika nyumbani mke alipata namba ya simu ya shost kutoka kwenye simu ya mumewe na kumpigia. Alimueleza aelewe inavyouma akiwa kama mwanamke, atambua kuwa anavunj
Umejuaje kuwa mke wa ndoa anawaza hayo?
Alimpigia simu shost na kumueleza maumivu na ajue kuwa anavunja ndoa yake.
 
Hapo umechemka, mwite mchepuko mbele ya wife mtambulishe mengine mkirudi nyumbani akikataa kutambulishwa aga mtoto rudini nyumbani maana shopping imeishia hapo huko sasa mkayamalize. Jua si wife tu atakeyeumia hata mchepuko maana wote ni wako
kwa hiyo umeona nimechemkaje? kwamba kitatokea nini?

kwa ulivyosuggest kama mke mkifika home ndo akakuchachamalia utafanyaje?

niko sahihi 50% na wewe 50%, kwa sababu hujui kama lako litafanikiwa au langu
 
Habari za leo wapendwa,

Jamani leo shost mwingine amepata majanga, huyu niliwahi kufanya nae kazi sehemu flani lakini bado tunamawasiliano.

Kisa chenyewe ni kuwa, shost alipokuwa 30+ aligundulika na fibroids, kwakuwa hakuwa na mume wala mtoto, alikuwa desperate kupata angalau mtoto akihofia baada ya matatibabu anaweza akose kabisa.

Sijui makubaliano yalivyokuwa lakini alikutana na kijana Peter ambae ni engineer, Peter ana mke na mabinti wawili. Shost amebahatika kupata mtoto wa kiume, Peter amechanganyikiwa kwa furaha. Peter aliahidi kumtunza mama na mtoto, aliwapangishia nyumba nzima lakini mbali kabisa na nyumbani kwake, mfano iwe Gongo la Mboto na Mbweni.

Peter alihakikisha mara mbili kwa wiki alikuwa kwa shost akimuogesha mtoto, kumsomea bedtime stories mpaka mtoto akilala ndiyo anaondoka kwenda kwake. Mtoto alimfahamu baba yake na mara nyingi aliuliza kwanini baba hakai na sisi, si fahamu ni jibu gani wazazi walimpatia.

Mke wa Peter hakuwa na fahamu yeyote kwa haya yote yanayotekea. Kasheshe imekuja kipindi hiki cha sikukuu, shost alikwenda kumnunulia mtoto mahitaji ya sikukuu Mlimani City na kugongana uso kwa uso na Peter akiwa na mkewe na watoto wao.

Katoto ka shost masikini kamemkimbilia Peter daddy, jamani Peter aliishiwa nguvu, mke amekuja juu, inakuwaje mtoto apite watu wote aje akuite wewe daddy?
Ndio ilikuwa siku Kuu kwa familia ya eng. Peter na huyo shost yako kujuana!
 
Sky na shosti zake again.

Huyo shosti nae hakuona wanaume wengine hadi mume wa mwenzie!!

Hivi nyie wanaume kuchepuka chepuka na kuzaa zaa nje ya ndoa zenu mnaona fahari!!!
 
Hakuna ugomvi hapo..... Mwanaume kidume huyo. A woman should be proud of. Ana familia mbili na zote amezihandle perfectly.

Ni wa kupongeza huyo. mabint wa dot. com ndo wanaweza lata za kuleta.
Aisee.. Ngoja niishie hapa but usije mfanyia wife hivyo. Mungu hapendi
 
Sky na shosti zake again.

Huyo shosti nae hakuona wanaume wengine hadi mume wa mwenzie!!

Hivi nyie wanaume kuchepuka chepuka na kuzaa zaa nje ya ndoa zenu mnaona fahari!!!
Ilikuwa kama cinema Mlimani City wewe, mtoto amekuja "daddy" from no where.
 
kwa hiyo umeona nimechemkaje? kwamba kitatokea nini?

kwa ulivyosuggest kama mke mkifika home ndo akakuchachamalia utafanyaje?

niko sahihi 50% na wewe 50%, kwa sababu hujui kama lako litafanikiwa au langu
Ni kweli inategemea na jinsi unavyomfahamu mwenza wako, ila nilikuwa Nawaza mtu kapatwa na mstuko kakasirika kuona mtoto ambaye hana taarifa yake leo umpeleke Kwenye banda la juisi itanyweka kweli. Nyumbani ni pazuri atachachamaa baadae mtapata suluhu
 
Banda la juicy utaishia kudaiwa gharama ya glass na viti vilivyovunjika.
 
Sasa peter si angefurahia tu akakabeba na mabusu.....

Shosti angemsogeza mke pembeni akamuomba radhi

Kisha ajifanye anamchukua mtoto wampooze kiaina
 
I salute you. Pengine mchepuko ulifurahia hiyo hali, si unajua mademu wanapenda sana ushindani wa ajabu ajabu.
Hahah yeah, yote yawezekanaa ila kwa mwanamke mwenye akili hawezi fanya hivo itakuwa ana mjuza kipofu kuwa nakula na wewe. Hapa utakaribsha ushindani na kujipunguzia ile atention aliyokuwa anapewa
 
duh hapo mwanaume ajishushe akiri kosa maisha yaendelee.. ila walikosea walitakiwa wawe na mawasiliano in advance wasijekugongana duh.. mke halali anawakati mgumu
fiction story....... ndio mana imeonekana kuwa na simpe reasoning
 
Mimi ningempokea mtoto kwa furaha na kumkumbatia na kumtambulisha kwa wenzake,

Nitamwambia wife tutaongea nyumbani kwa maelezo zaidi.
 
Mbona hapo kama yule kimada angekuwa na akili ya fasta ilikuwa ni ishu ndogo tu,

Wakati dogo anamkimbilia dady, yule bibie alitakiwa aende, kuanzisha story, shem vip? Mtoto kawamisi baba zake jamani, hamji kumtelembelea , so ingepata pa kumaliziwa.
mkuu uko vizur nimependa majibu yako ya haraka bt yana mantik
 
Sky na shosti zake again.

Huyo shosti nae hakuona wanaume wengine hadi mume wa mwenzie!!

Hivi nyie wanaume kuchepuka chepuka na kuzaa zaa nje ya ndoa zenu mnaona fahari!!!
Wanaume na wanawake wote wanacheat. Sema kiwango kinatofautiana , hujawahi sikia mwanamke anacheat hadi anamletea mume mimba ya nje??

Ishu iko hivi.

Mwanaume aliye vurugwa na kusumbuliwa kimapenzi, anaamua kuwa muhuni player anakutana na binti mzuri, anamtenda . Binti anaumia, anaamua kuwa player na kujali furaha yake, anapata man mpole anaejali future, binti anamuona mshamba.

Anamtenda, jamaaa akipiga hesabu kaumia mara mingi, anaona cha kuangaika nini, bora niwe mpigaji, anakutana na watu wengi, mademu wahuni na wasio wahuni, anaumiza watu n.k

Mzunguko ndio unakuwa hivi. Ukimuuliza man why upo hivi, reason ni binti, binti akiulizwa anasema katendwa sana na men, SO nani wa kulaumiwa???
 
Mbona hapo kama yule kimada angekuwa na akili ya fasta ilikuwa ni ishu ndogo tu,

Wakati dogo anamkimbilia dady, yule bibie alitakiwa aende, kuanzisha story, shem vip? Mtoto kawamisi baba zake jamani, hamji kumtelembelea , so ingepata pa kumaliziwa.
Shida ni kama mtoto kafanana na daddy ...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom