Al gator
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 1,029
- 566
I salute you. Pengine mchepuko ulifurahia hiyo hali, si unajua mademu wanapenda sana ushindani wa ajabu ajabu.Mbona hapo kama yule kimada angekuwa na akili ya fasta ilikuwa ni ishu ndogo tu,
Wakati dogo anamkimbilia dady, yule bibie alitakiwa aende, kuanzisha story, shem vip? Mtoto kawamisi baba zake jamani, hamji kumtelembelea , so ingepata pa kumaliziwa.
