kalagabaho
JF-Expert Member
- Nov 4, 2010
- 5,457
- 5,898
"Nataka Ramadhan ijayo wewe ndo uwe wa kunipikia futari. tena zuuuri, unaonekana unajua sana"
nikatamani nimuulize jina lake la JF nimtag thread yangu ya I''m too lazy to be a housewife.
hivi kweli nimeshinda siku nzima na njaa halafu jioni me ndo nipike?? waafrika buana 😀
lakini for a Muslim girl, au msichana yeyote anayeamini hizi traditional roles, hayo ni maneno mazuri sana.
za kiswahili "nataka uwe mama wa nyumba yangu"
"anayekula kazi ya mikono yako ana bahati sana"
"nataka uwe pambo la nyumba yangu"
yani ukifuatwa na Hawa ujue unaombwa cheap labor 😀
I think best words I ever heard were "I want you to be my best friend and life partner" aaahhh hapo roho kwatu najua Leo sipiki .
We house girl unawashwa subiri bosi wako aende kazini umuingize msambaa muuza genge hapo nyumbani akusugue huo muwasho wako