Mtizamo: Let love lead the way



Great insight.... Qn. Do you think those spouses who fall out of LOVE should be blamed?? Kua wamefanya uzembe mpaka there is NO Love...
 

Ni kweli AshaDii................ndo nami najiuliza hapa kuwa ikitokea amependa nje ya ndoa, ndio mwenza ukubali kuwa ndo love imelead the way au unafanyaje? maana ukisema umlinde unaambiwa si vema let love lead the way! kusema ukweli leo Teamo na Asprin wameniletea mtihani wa Form Four ilihali mie niko Form One! Mwe!!

Babu amenambia hayo mengine ni wajibu, bado sijamwelewa pia. Je ni wajibu wangu kukutii, kukupenda na kuthamini, nikifanya kinyume na hayo au nisipotimiza wajibu Babu ataniacha kwa sababu sijatimiza wajibu ila penzi lake kwangu bado lipo vile vile !! ah leo nimepata ero yenye masikio kabisaa. Hebu nikalale kwanza!
 
Mjukuu hommie ODM keshasema hapa kama umefanya yote mazuri kwa mumeo na akaamua kupenda nje huna jinsi, hapa ipiganie kwa ajili ya maisha ya watoto wako, maana ukilazimisha kupendwa utaumia kila siku!
 
Great insight.... Qn. Do you think those spouses who fall out of LOVE should be blamed?? Kua wamefanya uzembe mpaka there is NO Love...
Hahahaha ila AshaDii hivi haiwezekani mtu anawezakufall kwa mtu mwingine ilhali bado anampenda mkewe/mumewe? je kuna mtu anayeweza kufall kwa maana ya kufall kwa watu wawili at one time kweli??
 


Umeona eeeeh?? Ndo maana MJ1 nimeuliza hilo suala mapema page ya kwanza (ingawa ODM imemfanya awe na wasi na mimi) but ukweli ni kwamba Wanandoa ambao wako in LOVE…. Kaika couple 100 sidhani hata kama robo wanafika… na hao robo ndio wale ukute wameoana juzi kati…. Ama wenyewe bahati ya kusema walioana very compactible… Hivo basi yeye Teamo kasema hana Uzoefu… nimempata aliko toka…. Sasa huyu Shemeji yangu naona tatizo ni kua Mkewe is almost perfect na anafanya mambo yooote jinsi yeye babu yako anataka!! Basi yeye anafikiri ni wanawake woote ambao hufanyia hivo waume zao….. Ndio maana nasema walojaliwa wanapendana na wanandoa wao, wawe wanapiga magoti kila siku kumshukuru Mungu...
 
Mjukuu kuna kupenda na kutamani, wanaume wengi hua wanatamani nje ya ndoa na sio wanapenda!
 
Hahahaha ila AshaDii hivi haiwezekani mtu anawezakufall kwa mtu mwingine ilhali bado anampenda mkewe/mumewe? je kuna mtu anayeweza kufall kwa maana ya kufall kwa watu wawili at one time kweli??


mmmh!! Hiyo ya kufall kwa watu wawili mie hua napinga kabisa.... lazima inakua mmoja you have fallen for the other you need...lol.. Alafu MJ1 kama unampenda mme/mke... huwezi fall bana kwa mwingine... kuna mwingine mkewe kamzoea but still anakua na kimada nje out of tamaa lakini sio Mapenzi.... One thing i can say ni kua ni vigumu saana Mwanaume alooa Ku fall nje hata kama hampendi mkewe.. kuliko Mke... ambae ni rahisi but anaweza pia asifanye kitu.... (but hayo mawazo yangu tu....lol)
 
AshaDii tatizo ni kuwa Babu anatembelea kwenye ile dictionary ya zama za kale kule ambako Bibi aliolewa akiwa anajua kabisa wajibu wake kwa Babu ni upi na anatakiwa kuwajibika vipi na akishindwa kuwajibika adhabu yake itakuwa ni ipi. Tatizo leyu sie wa siku hizi hata hizo wajibu haziko sealed na hazifahamiki kwa wengine mpaka kumhudumia mumeo kwa mapenzi haramu inahesabiwa kama ni wajibu....sasa ukikutana na kichwa ngumu mwenye mtazamo tofauti wa wajibu unamuacha au unaacha kumpenda??


Babu ODM namuomba Bibi anifanyie kitchen party!!
 
Mjukuu kuna kupenda na kutamani, wanaume wengi hua wanatamani nje ya ndoa na sio wanapenda!

Amini nakuambia...unaweza kuwa na ndoa na bado ukapenda...na inapotokea hivyo mapenzi kwa mwenzako lazima yapungue sana kwani naamini huwezi penda wawili kwa level moja...
 

Hahaha shost hebu tuondoke maana tumekaribishwa nyumbani kwa watu, tumesogoa wenyeji wakatukimbia bado tupo tu, akija mwenye nyumba kudai kodi utalipa weye lol
 

Uzuri wako MJ1 Your are too intelligent hivo maana mwingine angekesha kujua reason behind hizo falsafa za Shemeji yangu... bahati nzuri saana mie nimefundwa na hao hao (kundi la bibi yako kwa ODM) hivo ndo maana kidogo niko old fashioned... (kuna raha yake) hivo Mng'ang'anie ODM ampe ruhusa, maana yeye akisema NO! Ujue hio Kitchen party haipo....lol...

Hahaha shost hebu tuondoke maana tumekaribishwa nyumbani kwa watu, tumesogoa wenyeji wakatukimbia bado tupo tu, akija mwenye nyumba kudai kodi utalipa weye lol !

Dah! Hapa naungana na wewe... Bora nimtafute Chauro popote alipo... aliaga kwenda kula, na hua hakosi kinywaji....
 
Mmmh! Pamoja na kusoma/kufuatilia mtiririko wa posts zote zilizoandikwa hapa, bado cjaelewa kabisa hili neno 'let love lead the way'. Dah!
 
Mapenzi jaman c kitu cha kuchezea jamani naona tuendeshe ss na wala c mapenzi kutuongoza 2taangukia shimon hivo naona mapenzi ni kutengeneza bwana.
 
Mmmh! Pamoja na kusoma/kufuatilia mtiririko wa posts zote zilizoandikwa hapa, bado cjaelewa kabisa hili neno 'let love lead the way'. Dah!

Kipipi ninaamini kabisa kuwa Teamo atakuelezea vizuri ila nina uhakika hamaanishi ile ya Kutake Love for Granted lol kuwa once it is there, it is going to be there lol

Mapenzi jaman c kitu cha kuchezea jamani naona tuendeshe ss na wala c mapenzi kutuongoza 2taangukia shimon hivo naona mapenzi ni kutengeneza bwana.

Robert aksante kwa kutukumbusha naona tunajisahau sana kuwa mapenzi yanawezaua uliyaendekeza BUT naamini kabisa Teamo alikuwa ana maanisha tuache kutumia nguvu za ziada (external forces) kuyalinda mapenzi.

We Teamo sijawahi kukuomba HITIMISHO kwenye threads zako but kwa hii niko chini ya miguu yako na macho nimefumba, nakuomba!
 

Lol AshaDii naona unanichongea kwa Babu sasa mwe maana kwa sasa mie si fav Mjukuu wake tena, nimeshindwa kutimiza wajibu ndo maana mapenzi yamehamia kwa Gaga.....angeweza kuni-unbaptize aninyang'anye jina la Mjukuu Mtiifu angelifanya hivyo mwe

Ngoja nianze kujaribu kutimiza wajibu labda ntalirudisha penzi la Babu!!
 
Hili nalo neno

Even if there is love bado tunatakiwa kulipalilia na kunyweshea maji ya upendo, malavidavi, jokes, heshima e.t.c.

Maty mydia nipokee jumamosi asubuhi, ukumbuke kuja na blanket la kunifuta machozi lol!! nimekumiss
 
 
Amini nakuambia...unaweza kuwa na ndoa na bado ukapenda...na inapotokea hivyo mapenzi kwa mwenzako lazima yapungue sana kwani naamini huwezi penda wawili kwa level moja...
sijakataa kiongozi ndo maana nimesema wengi means sio wote!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…