Mtindo mpya wa mademu wa facebook

Akipost picha akiwa anafanya chochote na huyo 'New' wake post comment hii,
Been there Done that!
 
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.

ur so fun, sasa hata kama angekuwa hajaziweka picha hadharani ni lazima angekua na uhusiano na mtu mwingne tu. kukomlewa wew hapa nikupitia hizo picha anazozipost na siyo kwa kutumia mwili wake. au ulikuwa unataka asipate mtu mwingne wa kumliwaza kjameni abaki tu anasosnoneka kwa sababu umemuacha? au ndo tuseme wewe umeumia zaidi kuwa mwenzako anenjoy pamoja na kuwa hayupo na wewe? byeeeeee
 
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.

ya facebook YAACHE hukohuko facebook.........................
 
Open relationship watu wanaichanganya sana. Open relationship maana yake unakuwa na mpenzi lakini still unaweza hook up na watu wengine, unaweza toka na b/f mwingine tena kwa wenzetu uunaweza hadi kulala nje ya uhusiano na mtu mwingine ni open relationship
 
Utamu wafacebuk ni kukamatia hizo kuku za kienyeji,unatafuna then unatupa kule,unamuacha anahangaika na vipost vya malalamiko.siwez kudumuna deu wa facebuk hata siku moja,utaumia bure,so bora utimue mbio fasta
 
broken heart speaks louder, ndo mana ukimmwaga anachowaza ni kucreate distance ili asikuone tena. japo huo ni utoto
 
Zamani ilikuwaga ukimwagana na demu unayetoka naye ambaye pia ni rafiki yako facebook, kwanza ana futa namba yako, halafu pili ana ku unfriend au kuku block facebook. Siku hizi, hawafanyi hivyo ( hawa ku unfriend wala kuku block ), wanacho kifanya, wanatafuta jamaa mwingine, wanaweka uhusiano wazi, like " Eva soso is in an open relationship with Adam so so ", halafu kila siku wanakuwa wana post status na picha zinazo onyesha jinsi gani wana furahia mahusiano yao na hao majamaa zao wapya, like " I have neva find a gud mine like him", " huku katupia picha ya huyo jamaa and all that..

WHY DO THEY DO THIS?

Wanasema wanataka kuwaonyesha ma ex wao kwamba, maisha ya furaha bila wao ( ma x wao ) yanawezekana.

Wanasema : I WILL NEVA BLOCK MY EX BOYFRIEND ON FACE BOOK, RATHER I WILL LET HIM SEE HOW MUCH I AM HAPPY WITH MY LIFE WITHOUT HIM "

Wadadaz, mnaweza kuwa sahihi katika hilo, but still mnaweza kuwa so wrong about it. Kwa nini nasema hivyo? Unacho kifanya hapo sio kumuonyesha ex wako jinsi unavyo weza kufurahia maisha yako bila kuwa na yeye, lakini kikuweli unacho kifanya ni kujaribu kumkomoa au kumrusha roho jamaa and all that. That is not right my dear.

Swali langu kwenu huwa ni " UNAWEZA VIPI KUFIKIRI KUWA UNAMKOMOA MWANAUME ULIYE MWAGANA NAYE KWA KUTUMIA MWILI WAKO MWENYEWE?"

Mmewahi kufikiri kuhusu hilo? Wadada wenye tabia hizi acheni hizo, mnajichora sana.
.....i don want you number...we can socialize in facebook....www....
 
Wengi hupenda kuweka nyuso zao na kushare na ndugu, jamaa na marafiki matukio mbali mbali katika maisha yao ya kila siku. Kupeana habari mbali mbali na kubadilishana mawazo na kujadiliana kuhusu matukio mbali mbali duniani.
Kwa hapa kwetu, wengi hupitia njia hii kupata wapenzi.
 
Hii mada nadhani ungeipost huko huko Facebook, hapa we are too old for this.
we wasema tu! imagine 75% of Tanzanians are under 35.
50% are under 20! Cheki mkusanyiko hapa JF then jaza...
 
Mimi si mtaalamu wa mahesabu lakini 75 + 50 = 125.
Sasa sijui ni hesabu za wapi hizi au labda mimi ndio sielewi asilimia inapatikanaje!
 
Mimi ni mtaalam wa hesabu, huwezi kujumlisha hizo takwimu mbili, moja ni under 35 na nyingine under 25.. Ni data mbili tofauti.
 
Back
Top Bottom